Kama ndio hivyo mbona ninyi huwa mnaiponda Marekani kuwa haiwezi kufanya 'missions' zozote peke yake bila washirika ?
Kwa kifupi Urusi haiitegemei Iran kama unavyofikiri,zaidi ni mbinu Tu kama ifuatavyo
Moja.-ni mikakakati TU,kwa sababu Urusi Haina shida na silaha ,Bali ni Iran kutaka kujaribu uwezo wa silaha zake.
Pili- pengine ni mahesabu TU ya Urusi kutumia silaha kwa uangalifu ili kuepuka kutumia silaha nyingi na Bora kabis, ambazo adui anaweza kuzisoma na kuzichunguza.
Tatu-hata hivyo tuanaangalia maadui wa Urusi katika vita na washirika wake,tukilinganisha na maadui wa USA katika vita na washirika wa USA katika vita,
pia tuanaangalia na idadi ya washirika wa Urusi na washirika wa USA.
Mfano Urusi dhidi ya Mujahedeen.
Urusi ilikua peke yake,
Wakati mujahideen walisaidiwa na USA,NATO,china, Pakistan,Saud Arabia na nchi nyingine.
Urusi dhidi ya Ukraine.
Urusi Iko peke yake,wakati Ukraine inasaidiwa na USA NATO and non NATO states (west)
Sasa njoo kwa USA .
USA dhidi ya Iraq
Iraq peke yake.
USA akisaidiwa na NATO na non NATO s.
Yugoslavia dhidi ya NATO.
Yugoslavia peke yake, NATO wote.
Ghadafi peke yake dhidi ya waasi.
waasi walisaidiwa na USA France na UK.
USA na watalaban.
Watalaban peke Yao dhidi ya USA na NATO yake na non NATO s.
Ukianagalia utaona Urusi hua anapigana peke yake dhidi ya adui anaepewa msaada na wakubwa wengi.
Ila Urusi kuitegemea Iran kuendesha Vita ni fedheha kwa kweli, hizi sio characters za 'super power'.
Je Iran anatoa silaha pamoja na washauri wa vita? ama walimu wa kutumia drone ama silaha za iran za Iran?
Sijaiona wanajeshi wa Iran,makamanda,washauri wala ushauri wa kiitelijensia kutoka Iran kwenda Urusi,sijaiona.
Maana Ukraine anapewa silaha wataaalam wa vita,washauri na wapiganaji
Nchi ya kiislamu kama Iran kutoa silaha zinazotumika kuua raia wema wa huko Ukraine ni aibu na fedheha pia.
Hapa sijaelewa kabisa uliposema nchi ya kiislam kama Iran kutoa silaha zinazotumikabkuua raia wema huko Ukraine.
Kwa hiyo wewe unaamini Iraq Ingekua nchi ya kikristu,ama nchi isiyo ya kiislam Ingekua ni Hali kutoa silaha kwenda Kuua raia wema wa Ukraine?
Sijaelewa hapa.
Je Sasa unasemaje kwa nchi za kikristu za Amerika na Europe yaani USA ,Canada na EU kutoa silaha kupeleka Ukraine kwenda kuwaua raia wasiokua na hatia wa Donbass na Urusi?
Je nchi hizo za kikristu za NATO ni Hali kupeleka silaha na fedha na ushauri na intelligensia kwa Ukraine ili kuwaua Warusi?