D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Huko Urusi anatembeza Kipigo kama kawaHuko Avdeevka kulikoni warusi wenzangu?
Kwanini mpaka sasa Urusi imeshindwa kumaliza hii Vita ?...usiniambie eti sababu 'Ukraine anasaidiwa'....... kumbuka hata Urusi ana washirika wanaomuuzia silaha.Jeshi la Urusi limefuta kabisa ghala la mabomu ya ndege ya Ukraine na kuteketezwa kabisa mtambo wa ulinzi wa anga wa Ukraine unaoitwa S300 vilivyokua katika mji wa krasny Liman
MILITARY OPERATION IN UKRAINE
22 NOV, 17:15
Russian forces wipe out Ukrainian aircraft ammunition depot, S-300 air defense system
It is also reported that the Russian military destroyed roughly 65 Ukrainian troops in the Krasny Liman area over the past day
Russian forces destroyed a Ukrainian air-launched ammunition depot and an S-300 surface-to-air missile system over the past day in the special military operation in Ukraine, Russia’s Defense Ministry reported on Wednesday.
"An air-launched ammunition depot of the Ukrainian Air Force and an S-300 anti-aircraft missile system were destroyed," the ministry said in a statement.
Unataka amalize vipi?Kwanini mpaka sasa Urusi imeshindwa kumaliza hii Vita ?...usiniambie eti sababu 'Ukraine anasaidiwa'....... kumbuka hata Urusi ana washirika wanaomuuzia silaha.
Special Military operation ambayo ingedumu kama wiki moja tu, imekuwa vita ya miaka miwili na haijajulikana itakwisha lini. Urusi hatapata chochote katika vita hii na atatoka akiwa taifa dhaifu kuliko wakati anaaza vita yenyewe. Sasa hivi China inaidharau sana Urusi kuliko mwanzoUnataka amalize vipi?
Yeye mwenyewe anasema bado malengo yake hayajatimia.
Yeye mwenyewe anajua anataka Nini.
Malengo ya uvamizi mpaka sasa yapo mbali kufikiwa.Still a botched invasion!
Wahuni si watuHuko Urusi anatembeza Kipigo kama kawa
yaani Miji ya Ukrein inaharibiwa sio Mchezo Vita Visikie Tu usishuhudie live njugu zinapigwa kama Wana kaanga Dagaa wabichi wa Kigoma
View attachment 2823411
Cha msingi kipigo kinatolewa na kuongeza maeneo kuchinjwa Ni kawaida sanaHii ni Jana tu, zaidi ya elf Moja na miamoja walichinjwa 🥱🥱🥱View attachment 2823449
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Shida ni kwamba wewe unataka vita iishe kwa akili Yako,nao Urusi wanataka kuimaliza vita kwa akili Yao.Malengo ya uvamizi mpaka sasa yapo mbali kufikiwa.
Demilitarization and denazification imekuwa ngumu kutekelezeka.
Kwanini mpaka sasa Urusi imeshindwa kumaliza hii Vita ?...usiniambie eti sababu 'Ukraine anasaidiwa'....... kumbuka hata Urusi ana washirika wanaomuuzia silaha.
Vita vina faida sana kwa urusi tukivimaliza haraka dollar inaweza kubaki salama ...maana hii vita imafanikisha swala la BRICS ambalo ni pigo kuu kwa USA...pia hii vita inasaidia kuonyesha nani ni bigwa wa kuunda silaha na kukimbiza tec mpya za kivita kwa sasa hakuna ubishi kuwa mrusi ndiye injinia wa dunia...silaha ambayo marekani kaiunda kwa miaka kumi yenye tec ya juu kabisa inapoingia uwanja wa vita dhidi ya mrusi inatamba kwa miezi 3 tu baada ya hapo maijinia wa kirusi wanaigeuza krepa zinakuwa useless vitani cheki ...kuanzia drone zilitamba sana zikaja himas .. zikaja patrot ..zikaja stinger zote leo kimya ....mainjinia wa urusi ni hatari sana....marekani yenyewe imekiri kuwa vita vimefanya urussi kuwa na tec kubwa zaidi ya kijeshi kuliko zamaniKwanini mpaka sasa Urusi imeshindwa kumaliza hii Vita ?...usiniambie eti sababu 'Ukraine anasaidiwa'....... kumbuka hata Urusi ana washirika wanaomuuzia silaha.