Operation imezaa wajukuu kama BRICS NA KUUA DOLLAR hivyo mikakati imebadilika tunataka na kuichapa k8boko cha moto marekani kwa hivyo vijukuu vi 2Special Military operation ambayo ingedumu kama wiki moja tu, imekuwa vita ya miaka miwili na haijajulikana itakwisha lini. Urusi hatapata chochote katika vita hii na atatoka akiwa taifa dhaifu kuliko wakati anaaza vita yenyewe. Sasa hivi China inaidharau sana Urusi kuliko mwanzo
Hii kali aiseee.....hata Warusi hawajivunii haya.Vita vina faida sana kwa urusi tukivimaliza haraka dollar inaweza kubaki salama ...maana hii vita imafanikisha swala la BRICS ambalo ni pigo kuu kwa USA...pia hii vita inasaidia kuonyesha nani ni bigwa wa kuunda silaha na kukimbiza tec mpya za kivita kwa sasa hakuna ubishi kuwa mrusi ndiye injinia wa dunia...silaha ambayo marekani kaiunda kwa miaka kumi yenye tec ya juu kabisa inapoingia uwanja wa vita dhidi ya mrusi inatamba kwa miezi 3 tu baada ya hapo maijinia wa kirusi wanaigeuza krepa zinakuwa useless vitani cheki ...kuanzia drone zilitamba sana zikaja himas .. zikaja patrot ..zikaja stinger zote leo kimya ....mainjinia wa urusi ni hatari sana....marekani yenyewe imekiri kuwa vita vimefanya urussi kuwa na tec kubwa zaidi ya kijeshi kuliko zamani
Ni kwa sababu hawana tabia ya kujipigia chapuo.Hii kali aiseee.....hata Warusi hawajivunii haya.
Wewe ni kiazi ...sikuizi unasikia manung'uniko kwenye jeshi la urussi kama zamani unajua ni baada ya wanajeshi wake kutambua kuwa silaha zao ni bora kuliko NATO NA USA hivyo wamejipinda kupigana ..mwanzoni waliamini silaha zao ni dhaifu.tuliwaambia usa [emoji631] amwezi mrussi tena kwenye vita vya nchi mbili ndiyo kabisaHii kali aiseee.....hata Warusi hawajivunii haya.
Several sources have told Reuters that Putin has decided to run in the March presidential election, a move that will keep him in power until least 2030.Russia has managed to adapt, and constantly injects funds into its defence sector. Russia proved to be more resilient to the west’s sanctions, as expected.
Russia is increasingly putting its economy on a war footing. Total mobilisation may follow the 2024 presidential elections.
Russia ni arrogant kuliko maelezo, wakati wewe unasema "hii vita" wao wanasema " operation maalum ya kijeshi"., The mighty Russia,.......Ni kwa sababu hawana tabia ya kujipigia chapuo.
Wanawaachia wamagharibi waongee wenyewe.
The economist limeandika:
Russia is beginning to rely on its superiority in electronic warfare: there may be little the West can do to help Ukraine - The Economist
▪️The publication calls electronic warfare “a less discussed weakness” of Ukraine, because Russia “has spent many years paying great attention to using its military-industrial complex to produce and develop an impressive range of electronic warfare capabilities for countermeasures.”
▪️“But Kyiv, according to the Commander-in-Chief of the Armed Forces of Ukraine Zaluzhny, found itself at the beginning of the war mainly with electronic warfare systems from the times of the USSR. Initially, this discrepancy had only a limited impact, but as relatively static front lines emerged, Russia was able to place its vast electronic warfare capabilities where they could have the greatest effect.”
▪️“Even more worrying is the growing ability of Russian electronic warfare to counter the multitude of cheap UAVs used by the Ukrainian Armed Forces for various tasks: from battlefield reconnaissance and communications to attacks on tanks and command centers... Neither increase their resistance to interference, nor give them artificial intelligence that allows them to fly without live communication with a human operator is not yet possible, at least for mini-drones.
Quantity still beats quality, but here too the Russian Federation may have an advantage. The skies above the battlefield are now filled with Russian drones.
According to Ukrainian Armed Forces soldiers, in the Bakhmut area Russia is deploying twice as many assault drones as they are capable of.”
Hata hii pia ni mpya.......🙄🙄..Wewe ni kiazi ...sikuizi unasikia manung'uniko kwenye jeshi la urussi kama zamani unajua ni baada ya wanajeshi wake kutambua kuwa silaha zao ni bora kuliko NATO NA USA hivyo wamejipinga kupigana ..mwanzoni waliamini silaha zao ni dhaifu.tuliwaambia usa [emoji631] amwezi mrussi tena kwenye vita vya nchi mbili ndiyo kabisa
Alafu wanairejea kama SMO siyo vita! Huku mobilisation za kutosha!Russia may begin full mobilisation after 2024 presidential election, says senior security official
Russia may begin full mobilisation after the 2024 Russian presidential election on 17 March, the secretary of the national security and defence council of Ukraine, Oleksii Danilov, has suggested.
Danilov said in a speech to the International Security Forum in Halifax, Canada:
Several sources have told Reuters that Putin has decided to run in the March presidential election, a move that will keep him in power until least 2030.
In September, Ukraine’s military said Russia could launch a big mobilisation campaign soon to try to recruit hundreds of thousands of soldiers from inside Russia and occupied Ukraine.
===========================
Hizi mobilisation zimesaidia nini mpaka sasa ?
Ndiyo hivyo hata silaha tunatoa mpya kila leoHata hii pia ni mpya.......[emoji849][emoji849]..
Ulishawahi kusikia serikali yoyote iklalamikia upungufu wa Rouble au wa Yuen? Kila siku serikali inasema hali ni ngumu kutokana na upungufu wa dollarOperation imezaa wajukuu kama BRICS NA KUUA DOLLAR hivyo mikakati imebadilika tunataka na kuichapa k8boko cha moto marekani kwa hivyo vijukuu vi 2
Kwanini mpaka sasa Urusi imeshindwa kumaliza hii Vita ?...usiniambie eti sababu 'Ukraine anasaidiwa'....... kumbuka hata Urusi ana washirika wanaomuuzia silaha.
Kuongezea mkuu,hivi vita vimeifanya Urusi kuwa na uchumi mkubwaaaa! Kuliko ujerumani ilivyokuwa mwanzoni.Vita vina faida sana kwa urusi tukivimaliza haraka dollar inaweza kubaki salama ...maana hii vita imafanikisha swala la BRICS ambalo ni pigo kuu kwa USA...pia hii vita inasaidia kuonyesha nani ni bigwa wa kuunda silaha na kukimbiza tec mpya za kivita kwa sasa hakuna ubishi kuwa mrusi ndiye injinia wa dunia...silaha ambayo marekani kaiunda kwa miaka kumi yenye tec ya juu kabisa inapoingia uwanja wa vita dhidi ya mrusi inatamba kwa miezi 3 tu baada ya hapo maijinia wa kirusi wanaigeuza krepa zinakuwa useless vitani cheki ...kuanzia drone zilitamba sana zikaja himas .. zikaja patrot ..zikaja stinger zote leo kimya ....mainjinia wa urusi ni hatari sana....marekani yenyewe imekiri kuwa vita vimefanya urussi kuwa na tec kubwa zaidi ya kijeshi kuliko zamani
"May"Russia may begin full mobilisation after 2024 presidential election, says senior security official
Russia may begin full mobilisation after the 2024 Russian presidential election on 17 March, the secretary of the national security and defence council of Ukraine, Oleksii Danilov, has suggested.
Danilov said in a speech to the International Security Forum in Halifax, Canada:
Several sources have told Reuters that Putin has decided to run in the March presidential election, a move that will keep him in power until least 2030.
In September, Ukraine’s military said Russia could launch a big mobilisation campaign soon to try to recruit hundreds of thousands of soldiers from inside Russia and occupied Ukraine.
===========================
Hizi mobilisation zimesaidia nini mpaka sasa ?
Inaitwa,jiongezeThe US and Germany intend to force Zelensky to start negotiations with Russia
However, as Bild writes, they will not convince him of this directly. Instead, they intend to supply Kiev with enough weapons to hold the front, but not to attack.
Thus, they hope that Zelensky will understand everything himself.
View attachment 2824598
Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
Warusi wanapenda vita kuliko kula.Urusi nchi ya vita aisee.!