Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sijawahi amini counteroffensive isiyo na 3:1 kwa attacking army versus defending army kama majeshi hayo yana nguvu sawa.
Sasa kwa Ukraine na Urusi bado Urusi ndio ina advantage kwa population, number of combatants na weaponry hivyo hakuna uwezekano Ukraine ishinde labda kuwepo na uzembe wa hali ya juu kwa Urusi.
Hapa ni attrition mpaka mmoja achoke.
Na hapo kwenye attrition Urusi ndiye mnufaika mkubwa mno, maana ana man power ya kutosha na artillery zisizo na idadi.....hivyo mwishowe Ukraine atashindwa.

Nadhani pia Urusi walikuwa na muda mrefu sana wa kutengeneza defense lines imara kuzuia counter offensive,

Bado tena Ukraine hana airpower nzuri ya kutoa support kwa offensive yake.

Kiufupi Ukraine sioni kama atatoboa kwenye hii counter offensive na wafadhili wake ndio hao wamegeukia huko Gaza na uchaguzi wa Marekani huenda ukaharibu kabisa mambo.
 
Ukweli ni kwamba silaha za urusi zina tec kubwa kuliko za nato ...ugumu wa kulipua kifaru kimoja cha urusi kilicho na high tec ni sawa na kulipua vifaru 8 vya marekani vyenye high tec....vifaru vya marekani vilikuwa vina shindwa hata kumuona adui maana havikuweza kata kumsogerea mrusi umbali wa km 8 uso kwa uso vililipuliwa vikiwa mbali kabisa na adui vingine vili haribika vyenyewe bila hata ya kuguswa na adui
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mmeanza kunena kwa lugha.tuliwambia nyie ila hamkutaka kusikia, sasa kipo wapi.
 
Sijawahi amini counteroffensive isiyo na 3:1 kwa attacking army versus defending army kama majeshi hayo yana nguvu sawa.
Sasa kwa Ukraine na Urusi bado Urusi ndio ina advantage kwa population, number of combatants na weaponry hivyo hakuna uwezekano Ukraine ishinde labda kuwepo na uzembe wa hali ya juu kwa Urusi.
Hapa ni attrition mpaka mmoja achoke.

Kwa iyo unashauri nini kifanyike mchambuzi wetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ni Jana tu, zaidi ya elf Moja walichinjwa 🥱🥱🥱🥱
1701502719248.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Kipanya44 una habari kuwa mji wa Marinka umeshanguka.

Mwenzako T14 Armata kashaungama kwenya madhabau ya moscow.kasema hakuna uwezekano wa Nato kushinda hii vita
Kipanya mzee wa takwimu utasikia 530 leo wamekufa.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mji wa Marinka ulikuwa unanikela kutochukuliwa mapema.

Bado Siversk haka kamji Nako Ukirene wameufanya ngome.

Uraaaaaaaaaaaaaaa
 
Ukweli ni kwamba silaha za urusi zina tec kubwa kuliko za nato ...ugumu wa kulipua kifaru kimoja cha urusi kilicho na high tec ni sawa na kulipua vifaru 8 vya marekani vyenye high tec....vifaru vya marekani vilikuwa vina shindwa hata kumuona adui maana havikuweza kata kumsogerea mrusi umbali wa km 8 uso kwa uso vililipuliwa vikiwa mbali kabisa na adui vingine vili haribika vyenyewe bila hata ya kuguswa na adui
Ukraine imekiri kabisa kuwa vifaru vya Marekani vinahitaji Service walau ya air cleaner Mara 1 kwa masaa 12 na ni vizito vinazama.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Kipanya44 una habari kuwa mji wa Marinka umeshanguka.

Mwenzako T14 Armata kashaungama kwenya madhabau ya moscow.kasema hakuna uwezekano wa Nato kushinda hii vita
Umetwaliwa? Mbona BBC hawatangazi!
Sijuhi nao utatwaliwa?
Maana Warusi kila wakiteka mji wanaugeuza wao.huo ni ujambazi.
 
Ukweli ni kwamba silaha za urusi zina tec kubwa kuliko za nato ...ugumu wa kulipua kifaru kimoja cha urusi kilicho na high tec ni sawa na kulipua vifaru 8 vya marekani vyenye high tec....vifaru vya marekani vilikuwa vina shindwa hata kumuona adui maana havikuweza kata kumsogerea mrusi umbali wa km 8 uso kwa uso vililipuliwa vikiwa mbali kabisa na adui vingine vili haribika vyenyewe bila hata ya kuguswa na adui
Hichi uliochoandika ni propaganda tu zisizo ukweli wala uhalisia wowote.

Ingekuwa ulichokiandika ni ukweli, Urusi isingepoteza vifaru 2000+ mpaka sasa huko Ukraine.

Nimelinganisha vifaru kwa vifaru
 
Nimelinganisha vifaru kwa vifaru
Unapolinganisha vifaru kuna mambo mengi sana ya kuangalia.

T14 Armata
 
Na hapo kwenye attrition Urusi ndiye mnufaika mkubwa mno, maana ana man power ya kutosha na artillery zisizo na idadi.....hivyo mwishowe Ukraine atashindwa.

Nadhani pia Urusi walikuwa na muda mrefu sana wa kutengeneza defense lines imara kuzuia counter offensive,

Bado tena Ukraine hana airpower nzuri ya kutoa support kwa offensive yake.

Kiufupi Ukraine sioni kama atatoboa kwenye hii counter offensive na wafadhili wake ndio hao wamegeukia huko Gaza na uchaguzi wa Marekani huenda ukaharibu kabisa mambo.
Proved hapa umeongea kwa kuongozwa na facts na kwa Hali hii umejikuta unaongea kama pro Russia.
Hiyo ndio Hali halisi hakuna namna Ukraine ataweza kuishinda Urusi.
 
Unapolinganisha vifaru kuna mambo mengi sana ya kuangalia.

T14 Armata
Pia elewa lengo la urusi mwanzoni lilikuwa tofauti kabla ya ya nato kuingilia kati ...urusi ilikuwa imeingia ndani kabisa ya ukrain bila ya kuangamiza jeshi la ukrain ...maana yake jeshi la ukrain lilishaona ni tatizo kupigana na urusi ...sasa nambo yalipo badilika gafla kwa nato kuingilia ndani ya mzozo ....urusi ilikuwa ndani kabisa ya ukrain bila kuua maaskali wa ukrain hivyo upepo ulipo geuka russia ikabidi kurudi nyuma na kupata hasara kubwa ya vifaru ..pia mimi sikuongelea vifaru vyovyote bali vile vya high tec
 
Vifaru vya high tech havikuingia Ukraine. Umeeleweka.
 
Back
Top Bottom