Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sijawahi amini counteroffensive isiyo na 3:1 kwa attacking army versus defending army kama majeshi hayo yana nguvu sawa.
Sasa kwa Ukraine na Urusi bado Urusi ndio ina advantage kwa population, number of combatants na weaponry hivyo hakuna uwezekano Ukraine ishinde labda kuwepo na uzembe wa hali ya juu kwa Urusi.
Hapa ni attrition mpaka mmoja achoke.
Hadi chaujuaji leo kakubali 😀,,, kweli shughuli imeambatana na mvua watu wanakula wima wima,,, tuliwaambia kitambo tu urusi sio Malawi mkawa mnaleta kujua na uchambuzi mwingi wa silaha wakati hata gobore hamlijui,,
 
Urusi ni jeshi lisilokuwa organized kwa nchi serious. Hiyo Ukraine kabla ya vita ilikuwa inaizidiwa hata na jeshi la Misri. Sasa imagine Urusi inapigana na adui dhaifu namna hiyo.

Kitendo cha kuilinganisha Ukraine dhidi ya Urusi ni kuionyesha Urusi kama dhoofu. Hatuwezi kuwa tunazungumzia mpira alafu ukashangilia kwa nguvu jinsi Barcelona ilivyoifunga Swansea. Hapo unaonyesha Barcelona ni timu ndogo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Iyo Swansea ukimchukua Messi, Lonardo,mbappe uwapeleke pale bado itabaki tu kuwa Swansea?.

Silaha alizopewa Ukraine hata uchukue nchi kubwa zote za Nato na bado awafikishi idadi iyo.

Kama unabisha niambia nikuwekee data
 
Wazee wa spana mnataka Tena mwana ale nduki?. Swansea
 
Urusi ni jeshi lisilokuwa organized kwa nchi serious. Hiyo Ukraine kabla ya vita ilikuwa inaizidiwa hata na jeshi la Misri. Sasa imagine Urusi inapigana na adui dhaifu namna hiyo.

Kitendo cha kuilinganisha Ukraine dhidi ya Urusi ni kuionyesha Urusi kama dhoofu. Hatuwezi kuwa tunazungumzia mpira alafu ukashangilia kwa nguvu jinsi Barcelona ilivyoifunga Swansea. Hapo unaonyesha Barcelona ni timu ndogo.

Kwanza unatakiwa uwaeshimu sana Warusi kwa sababu tulikuwa kwenye uwongo wa muda mrefu sana.

Ukraine+Nato+Marekani+washirika wengine+Vikwazo vs Urusi

Bado mwanaume kaweza kutoboa.nitajie wewe nchi tofauti ambayo unaona inaweza kuingia kwenye vita kama hii na bado ikatoboa, kama ilivyofanya Urusi.

Nipo nasubiri jibu
 
Hapo U.S.A mwenyewe hatoboi
 
Sijawahi amini counteroffensive isiyo na 3:1 kwa attacking army versus defending army kama majeshi hayo yana nguvu sawa.
Sasa kwa Ukraine na Urusi bado Urusi ndio ina advantage kwa population, number of combatants na weaponry hivyo hakuna uwezekano Ukraine ishinde labda kuwepo na uzembe wa hali ya juu kwa Urusi.
Hapa ni attrition mpaka mmoja achoke.
Ngoja nikupe like kwa sababu mmeanza kutubu.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️The enemy publishes a map of the advance of the Russian Armed Forces near Stepov, in the Avdeevsky direction.

On this section of the front, Russian troops are encircling the Ukrainian armed forces located in the settlement[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️
IMG_20231202_181536_730.jpg
 
[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️Kupyansk direction

[emoji837] The Russian army, as a result of active offensive operations, advanced south-west of Olshany and reached the eastern outskirts of Sinkovka.

[emoji837] The advance of the Russian army in the north of Sinkovka continues.Heavy fighting is underway[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️
IMG_20231202_181700_749.jpg
 
[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️South of Stepovoy, during landing, our “attack planes” liberated a fortified point of the Ukrainian armed forces.

There were Ukrainians sitting on the bench, presumably without BC, from the 45th RSB. At the exit the two were let go[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️
IMG_20231202_181900_123.jpg
 
Na hapo kwenye attrition Urusi ndiye mnufaika mkubwa mno, maana ana man power ya kutosha na artillery zisizo na idadi.....hivyo mwishowe Ukraine atashindwa.

Nadhani pia Urusi walikuwa na muda mrefu sana wa kutengeneza defense lines imara kuzuia counter offensive,

Bado tena Ukraine hana airpower nzuri ya kutoa support kwa offensive yake.

Kiufupi Ukraine sioni kama atatoboa kwenye hii counter offensive na wafadhili wake ndio hao wamegeukia huko Gaza na uchaguzi wa Marekani huenda ukaharibu kabisa mambo.
Nasoma Hii Post yako Kisha Najichekea Tu mwenyewe
Proved Toka Huko kwenye Usingizi wa Mchana Urusi Nihabari Nyingine kwenye Vita
putina Alisha Waambia Au kuwakumbusha
"Ninani Aliye Ibondabonda Ujeruman" Mpaka Sasa Hawajamjibu hilo
kwahiyo Mtazungukaa weee lakini mtarudi kwenye Uhalisia URUSI NDIO SUPER POWER
 
Back
Top Bottom