Orodha yako haijakamilika usiponitaja mimi hapa BhikalambaEnzi hizo mwanzo wa SMO, tulizungumza sana... Tukatoa mawazo yetu ambayo kiukweli ndio yanayojitokeza sasa. Tulitumia nguvu nyingi kuelekeza watu na mahaba yao. Data juu ya data ziliwekwa wazi kongole kwa kila mmoja aliyeshiriki Galip Vrl Nkuba25 Mr Tyang TUJITEGEMEE MR MAJANGA triga IFAC lee Vladimir cleef ama Lee Van Cleef wa enzi hizo, abdulqadirj Bwanautam Mtoto wa nzi enzo1988 mixx Akhi D A E M U S H I N mohamedidrisa789 BUSH BIN LADEN Venus Star ama Jesus Mlokozi Jasmoni Tegga na wengineo wooote nikiendelea kuwataja post itakua ndefu bila kujisahau mie mwenyewe Huk Luk ama #Ask-Q au #Qibsyl wa kipindi hicho.
Enzi hizo walitupuuza kwa kejeli na dharau, wengine wakawa wanatuuliza "kwa hiyo nyie ndio mna akili kuliko wazungu???". Wengine wakaenda mbali zaidi na kuita Pro Russia wote vichaa. Tukaona isiwe taabu, mda upewe nafasi na hatimae taratibu tunajionea "Vichaa halisi" ni akina nani.
Yako wapi leo [emoji1787]...
Yote tisa, 10 kilichonichekesha zaidi ni huyo jamaa wa shamba. Hivi nani aliwahi kuwaza kama mwenzetu atakuja kulamba matapishi yake mwenyewe? Who??? Interesting indeed.
Hii aibu haikwepeki japo Media zinajaribu kuificha kwa kimvuli cha "Hamas-Israel war" ila failure of collective west in Ukraine against Russia itabaki kwenye Historia na wajukuu zetu wataja isoma miaka ya mbeleni.
Binafsi na furaha zaidi kwani watajifunza kwa vitendo maana halisi ya ule msemo wa "Usikate tawi la mti ulilo kalia" kama hujajiandaa kudondoka.
Nakuona mzee wa data feki naona umedata kweli na hizo takataka kutoka Kyiv Independent. Anyway endelea kujipa moyo wenzako wote wametubu umebaki wewe. Wako wapi akina HIMARS T14 Armata MK254 Nyamizi TumainiEl na utabili feki wa kifo cha Putin.Hii ni Jana tu, zaidi ya elf Moja na miamoja walichinjwa 🥱🥱🥱
Nakuona mzee wa data feki naona umedata kweli na hizo takataka kutoka Kyiv Independent. Anyway endelea kujipa moyo wenzako wote wametubu umebaki wewe. Wako wapi akina HIMARS T14 Armata MK254 Nyamizi TumainiEl na utabili feki wa kifo cha Putin.
Nashangaa na kusikitika kwanba kwenye orodha hiyo Mimi simo😂😁Enzi hizo mwanzo wa SMO, tulizungumza sana... Tukatoa mawazo yetu ambayo kiukweli ndio yanayojitokeza sasa. Tulitumia nguvu nyingi kuelekeza watu na mahaba yao. Data juu ya data ziliwekwa wazi kongole kwa kila mmoja aliyeshiriki Galip Vrl Nkuba25 Mr Tyang TUJITEGEMEE MR MAJANGA triga IFAC lee Vladimir cleef ama Lee Van Cleef wa enzi hizo, abdulqadirj Bwanautam Mtoto wa nzi enzo1988 mixx Akhi D A E M U S H I N mohamedidrisa789 BUSH BIN LADEN Venus Star ama Jesus Mlokozi Jasmoni Tegga na wengineo wooote nikiendelea kuwataja post itakua ndefu bila kujisahau mie mwenyewe Huk Luk ama #Ask-Q au #Qibsyl wa kipindi hicho.
Enzi hizo walitupuuza kwa kejeli na dharau, wengine wakawa wanatuuliza "kwa hiyo nyie ndio mna akili kuliko wazungu???". Wengine wakaenda mbali zaidi na kuita Pro Russia wote vichaa. Tukaona isiwe taabu, mda upewe nafasi na hatimae taratibu tunajionea "Vichaa halisi" ni akina nani.
Yako wapi leo 🤣...
Yote tisa, 10 kilichonichekesha zaidi ni huyo jamaa wa shamba. Hivi nani aliwahi kuwaza kama mwenzetu atakuja kulamba matapishi yake mwenyewe? Who??? Interesting indeed.
Hii aibu haikwepeki japo Media zinajaribu kuificha kwa kimvuli cha "Hamas-Israel war" ila failure of collective west in Ukraine against Russia itabaki kwenye Historia na wajukuu zetu wataja isoma miaka ya mbeleni.
Binafsi na furaha zaidi kwani watajifunza kwa vitendo maana halisi ya ule msemo wa "Usikate tawi la mti ulilo kalia" kama hujajiandaa kudondoka.
Yaani mnatafuta Chaka la kujificha Kama Simba Mzee. Mungu huyu ninaye mwamini hawezi kuwa Mungu wa mashoga.Hii ni Jana tu, zaidi ya elf Moja na miamoja walichinjwa 🥱🥱🥱
Hivi akichaguliwa tena Magharibi watajificha wapi? Natamani ashinde uchaguzi.Jana kuna video moja nilikuwa nacheki Drone ya Ukweli ilikuwa ikishambulia Robot ya Urusi iliyo kuwa na muundo wa Kifaru
lakini kazi yake ni kupeleka Chakula,Silaa na kuchukua Walio Jeruhiwa Msitari wa Mbele sasa Nilicho kuwa nashangaa na Kudhani kuwa Ukrein Muongoza Drone labda kalewa nikuwa Kila Drone ikituma kwenda Kuishambulia Ikikaribia Tu Mita kadhaa Inapiga Pembeni Kitu kinapita Fasta hapo hapo mbele inakuja nyingine Ikikaribia Tu inapiga Pembeni Kitu kinapeleka Zana na kuchukua Majeruhi nakusepa bila Shida
Kumbe Mrusi Balaa Kaja na Silaha Nyingine kaanza Kutumia kitu Inaitwa Volnorez" EW anti-FPV jammer, View attachment 2833857View attachment 2833858
Sasa Unaambiwa Hii kitu Ina Fanya Jamm Drone Ikikaribia na kupiga Pasipo Ndio maana Mrusi alisema Hajaweka Usiriasi kivile kwenye Operesheni hii na Kama NATO Wapo tayari waingie tu Moja kwa moja
Hii Ina maana kubwa kwetu binadamu.....kiburi hakifai .... haijawahi kuwa solutionDaah nmeanza kumuonea huruma zelensky.......
Naam ✍️Bila kusahau na mm
Yes yes ✍️Orodha yako haijakamilika usiponitaja mimi hapa Bhikalamba
Hakika, na sijakusahau kaka ni vile nikaona nikiyaandika yote nitawachosha wasomaji ila nawakumbuka vizuri mno.Nashangaa na kusikitika kwanba kwenye orodha hiyo Mimi simo😂😁
Hakika kamanda .....binafsi napenda kuwe na balance of power Duniani ....sio Kila kitu waamue western countriesNaam [emoji3578]
Yes yes [emoji3578]
Hakika, na sijakusahau kaka ni vile nikaona nikiyaandika yote nitawachosha wasomaji ila nawakumbuka vizuri mno.
Hasa kwako 1954 bro wa enzi toka day one na wengineo kama akina Labani og DeepPond green rajab Mwana Taaluma ambao mlikuepo toka awali mapema mwaka jana.
Aisee hadi nimeona haya [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila tu pamoja kaka sijawasahau.
kama ni Putin Kushinda Uchaguzi hilo wala Usiwe na shaka Asilimia Kubwa Ya Dunia Inamuhitaji sana yeye hivyo Ushindi Wake ni Mpango wa Mungu kwetu atashinda tena Kwa KishindoHivi akichaguliwa tena Magharibi watajificha wapi? Natamani ashinde uchaguzi.
Yaani Ukrein uchaguzi uwe wahaki Na Kila Raia awehuru kupiga kuraMshauri wa zamani wa Zelenskyy anataka kugombea uraisi ili aanzishe mazungumzo na Russia ya kumaliza vita .
Zelensky is losing popularity because of his mistakes, says mayor of Kyiv
Volodymyr Zelensky’s popularity is falling and he will pay for his mistakes by eventually losing power, the mayor of Kyiv Vitali Klitschko has said.www.yahoo.com
ni moja ya uchaguzi utakaovutia wengi duniani kuufwatilia na tuhitaji ashinde kwa kishindo kila pembe ya dunia.kama ni Putin Kushinda Uchaguzi hilo wala Usiwe na shaka Asilimia Kubwa Ya Dunia Inamuhitaji sana yeye hivyo Ushindi Wake ni Moango wa Mungu kwetu atashinda tena Kwa Kishindo