Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,996
- 11,887
Asante kwa kufunguka maana amekuwa keroSamahani ndugu, hizo kumbukumbu zinatosha, tuendelee na habari nyingine mpya. Huoni kama unasumbua na kukera. Ushauri tu!
Asante kwa kufunguka maana amekuwa keroSamahani ndugu, hizo kumbukumbu zinatosha, tuendelee na habari nyingine mpya. Huoni kama unasumbua na kukera. Ushauri tu!
Yaani mrusi kila west wanapotaka kukimbilia anaweka mguu. Tanzania tuna Uranium na hii imewaleta maraisi wa Ulaya hapa mwaka huu.11 DEC, 15:14
HABARI ZENU WA BONGO WENZANGU.
TANZANIA TO BE BROUGHT INTO BRICS
Tanzania to be brought into BRICS fold at some point — Russian ambassador
According to Andrey Avetisyan, BRICS also has plans to bring other countries into its orbit, particularly African states
MOSCOW, December 11.
Tanzania's cooperation with BRICS is inevitable, Russian Ambassador to Tanzania Andrey Avetisyan said at a Valdai International Club discussion focused on relations between Russia and Africa.
"As for Tanzania's interaction with BRICS, I think it will inevitably get on the agenda, if only because Ethiopia is joining BRICS starting January 1 of next year," the ambassador said. "Tanzania and Ethiopia are not only members of the African Union, but also part of the East African Community regional association, so we have some overlap here," he said.
In addition, according to the diplomat, BRICS has plans to bring other countries into its orbit, particularly African states. "So BRICS may well become one of the tracks where our cooperation with Tanzania, with East African countries and African countries in general will develop at a growing speed," Avetisyan noted.
Ila naogopa sana,maana west kwa kuongozwa na UK,France German na wengineo wanaweza wakavuruga amani yetu.Yaani mrusi kila west wanapotaka kukimbilia anaweka mguu. Tanzania tuna Uranium na hii imewaleta maraisi wa Ulaya hapa mwaka huu.
Nimemaliza hatua ya kwanza ,Kuna hatua mbili hatua ya pili ntaanza siku zelensky akitangaza kushindwa vita rasmi.😂😂🤣🤣Asante kwa kufunguka maana amekuwa kero
Aisee mshikaji una chuki Kali sana na Russia.![]()
UK to give two Royal Navy minehunter ships to Ukraine
It forms part of a wider effort to bolster Ukraine's abilities at sea, as the war with Russia continues.www.google.com
Russia navy kama ilivyo airforce imeonyesha udhaifu mkubwa mno...…
huenda China navy ni bora mno kuliko ya Russia japo haijawa battle tested.
T14 Armata
Pitia hii makala utajifunza kitu...Aisee mshikaji una chuki Kali sana na Russia.
Ukianza na air force,
Kwamba airforce ya Urusi imeonesha udhaifu mkubwa kua imeshindwa kushika anga la ukraine.tukakujibu.
Leo umehamia kwa navy ya Urusi.
Lkn naomba nikuambie hivi.
Hata majausi wa hao unaowashabikia hawakua na taarifa za kutosha juu ya Urusi kijeshi na kiuchumi ndio maana wameshindwa kuiangusha Urusi kwa vikwazo na kijeshi.
Sasa na wewe umelewa propaganda zao na uongo wao.
Jochanganyeni TU.
Urusi amewazidi sana west kwa kuficha Siri ya silaha zake ndio maana walishindwa kumsoma.
Hii smo omewaabisha sana west.sio Mimi TU nayasema haya,hata vyombo vyao vya habari vimeshasema juu ya west kutokuijua vizuri Russia.
Endeleeni TU kujisifia na hizo navy zenu za kurusha makombora kwa Watalaban na wasomali wanaotumia AK-47 peke yake qasiokua na silaha zaidi ya hiyo.Halafu mje msifie navy zenu hizo ndio mtajua siku hiyo kia kumbikumbi nayo ni mboga.
Si waliwaamisha raia wao hawa kengeNo matter how hard Russia has tried to turn occupied territories into its own, the Ukrainians there are waiting for the blue and yellow flag of Ukraine to return to its rightful place, writes Alexander Khrebet.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tunasubiri hatua ya pili mkuu.Nimemaliza hatua ya kwanza ,Kuna hatua mbili hatua ya pili ntaanza siku zelensky akitangaza kushindwa vita rasmi.[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Sasa hivi Kesha shindwa ila hajatangaza officially.
NATO wenyewe weshakubali kushindwa ndio maana Kila siku wanshauri zele atamke.ila zele anawaza mengi.[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]