Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
#.x.
Siyo kweliBuku ila Rwanda na burundi 400 ni brigade
Tz ni buku mpaka 10K ni brigade
Tz tuna chini ya brigade 10 nchi nzima
Brigade maarufu Tz ni FARU wenye jukumu la kulinda kigoma tabora Rukwa na mikoa jirani
So kwa Tz ukisikia brigade imechakazwa jua ni zaidi ya askari wa mikoa 4 wamefyekwa