Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

May 19 2022
Kuna watu walikataa propaganda
Hahah, Mkuu lee Vladimir cleef umenikumbusha enzi hizo tunafanya kazi kubwa ya kufungua mafuvu magumu na yenye kutu ya Wana pro-NATO/USA.

Siku hizi nimekuwa mpenzi msomaji na mtazamaji wa mambo yanayoendelea kutokea leo tuliyoyasema mwanzoni mwa SMO, lilikuwa ni suala tu la muda Russia kuanza kutimiza yale yote tuliokuwa tunasema humu na nadhani hata hao team mafuvu magumu (NATO) wameshaanza kujionea wenyewe na bado wataendelea kuona sanaa.
 
Japo licha ya mafuvu mengi ya pro-NATO kufunguka na kuelewa tulichokuwa tunakisema ila naona bado kuna baadhi ya pro-NATO kama kina T14 Armata mafuvu yao bado yana kutu yanahitaji kupigwa msasa tena ili waache kushangaa na kujiuliza kwanini Russia hajamiliki au kuweka "No fly zone" kwa anga zima la Ukraine.

Labda tu nimusaidie huyu T14 Armata kwa ufupi sana kuwa, Russia uwezo wa kumiliki anga zima la Ukraine anao ila kwasasa hawezi kwasababu hana sababu ya kumiliki anga lote la Ukraine. Kwanini?

Kwasababu, Russia hapigani vita dhidi ya Ukraine ( It is not War against war ) bali anaendesha operation maalumu ya kijeshi kwa lugha nyepesi ni kuwa anapigana kijeshi kwa kulenga target maalumu za Ukraine alizokusudia na kuendesha nguvu ya kijeshi kwa maeneo maalumu tu nasi Ukraine yote ambayo kimsingi ni maeneo ya mashariki mwa Ukraine yani "Donbas region". Sasa unataka aiwekee Ukraine yote "no fly zone" kwa faida gani na kwa matumizi yapi na ili apate nini ambacho hajakipata/hatakipata kupitia SMO yake?

Anyway; ngoja niishie hapo nisitumie nguvu nyingi kuelewesha mambo yanayoeleweka hata kwa mtoto wa kidato cha tatu aliesoma historia za vita mbalimbali.

Poleni sana pro-NATO kwa fedheha na aibu mnazopitia sasahivi.

Heko sanaa kwa team yangu ya watu smart (Pro-Russia) AkA wanaume na wanawake halisi wasiopenda ujinga wa LGBTQ [emoji304]

Vivaa Gen. Vladmir Putin [emoji123] Viva Russia[emoji635][emoji635][emoji635]
 
Ukiona hawaripoti, elewa kinachoendelea ni hiki hapa!


Avdiivka, the eastern Ukrainian city that has seen some of the most intense fighting of the war, is on the verge of “imminent collapse” to Russian forces, according to a report.


A dispatch in the Times by its former Kyiv correspondent said Ukrainian troops defending the frontline area were “starved of ammunition” and hamstrung in their attempts to repel the advancing enemy soldiers


 
Japo licha ya mafuvu mengi ya pro-NATO kufunguka na kuelewa tulichokuwa tunakisema ila naona bado kuna baadhi ya pro-NATO kama kina T14 Armata mafuvu yao bado yana kutu yanahitaji kupigwa msasa tena ili waache kushangaa na kujiuliza kwanini Russia hajamiliki au kuweka "No fly zone" kwa anga zima la Ukraine.

Labda tu nimusaidie huyu T14 Armata kwa ufupi sana kuwa, Russia uwezo wa kumiliki anga zima la Ukraine anao ila kwasasa hawezi kwasababu hana sababu ya kumiliki anga lote la Ukraine. Kwanini?

Kwasababu, Russia hapigani vita dhidi ya Ukraine ( It is not War against war ) bali anaendesha operation maalumu ya kijeshi kwa lugha nyepesi ni kuwa anapigana kijeshi kwa kulenga target maalumu za Ukraine alizokusudia na kuendesha nguvu ya kijeshi kwa maeneo maalumu tu nasi Ukraine yote ambayo kimsingi ni maeneo ya mashariki mwa Ukraine yani "Donbas region". Sasa unataka aiwekee Ukraine yote "no fly zone" kwa faida gani na kwa matumizi yapi na ili apate nini ambacho hajakipata/hatakipata kupitia SMO yake?

Anyway; ngoja niishie hapo nisitumie nguvu nyingi kuelewesha mambo yanayoeleweka hata kwa mtoto wa kidato cha tatu aliesoma historia za vita mbalimbali.

Poleni sana pro-NATO kwa fedheha na aibu mnazopitia sasahivi.

Heko sanaa kwa team yangu ya watu smart (Pro-Russia) AkA wanaume na wanawake halisi wasiopenda ujinga wa LGBTQ [emoji304]

Vivaa Gen. Vladmir Putin [emoji123] Viva Russia[emoji635][emoji635][emoji635]
Nikitazama Biden pale Poland akiji proud Sana! Wala Nato Sasa imeshikamana kuliko Siku zote na mbaya zaidi akatamka kuwa Putin hatakiwi kuishi.
Nikajiuliza yeye ni MUNGU?
 
Kuhusu miji ya Ukraine aliyoizibiti Urusi.
Nianze na maswali kwanza kabla sijaenda mbali;
☆unaijua hata kidogo nchi ya Ukraine?
Unajua umhimu wa Odesa, Donetsik, luhansik, mariupo, kharison, snake Island na black sea kwa ujumla kwenye uchumi wa Ukraine?

☆unajua uti wa mgongo wa uchumi wa Ukraine upo miji ipi?

☆Unajua ukubwa wa eneo la miji ya Ukraine lililochini ya majeshi ya urusi ni Km² ngapi?

Haya ngoja niassume huijui Ukraine zaidi ya kuisikia tu kwenye social media. Basi bila kupoteza maana naomba nikurudishe hapa Tanzania unapo pafahamu vizuri kwa kuuliza swali ambalo ukilijibu ipasavyo litaondoa ujinga huo ulioko kichwani mwako. (NOTE; Majina kwenye mabano ni miji ya Ukraine inayofanania na hii yakwetu potentially)

☆Swali; hivi kwamfano Nchi jirani ya kenya ikiingiza majeshi yake Tanzania na kuteka miji ya Zanzibar(snake Island), Dar es salaam(Donetsik), Tanga+Bagamoyo(Luhansk) lindi(Mariupo), kilimanjaro(Kharison), ukanda wa pwani na bandari zake zote(Black sea) na kuipelekea moto Mwanza(Odesa) halafu ikaiacha Dodoma(kyiv) na mikoa iliyobaki unazani nchi yako itakuwa na hali gani kiuchumi na kihuduma za jamii?

MK254 nishakwambia akili yako ni unfit kwenye huu uzi, siyo kila kitu nikwajili ya kila mtu. Unajiaibisha mkuu, hicho kichwa chako sikwajili ya kuhifadhia meno na ulimi. Just use it to think as a human being and not as a living animal.

Juni 10 2022 hii Mwanangu.

Ha ha haa,
Aisee!
Hii Dunia haiko sawa kabisa,yaani mtu unapigwa Kwa hoja Hadi unaanza kulia
 
Ha ha ha huyo mpaka nimuibie dada ake ataacha kuniita dogo 😂

Lakini mkuu hujajitendea haki kwenye kuji-adress, wewe ni Giant pia... All Pro-Russia binafs nawakubali. Na nina waelewa sana.

No matter how deep tunapishana ila kitendo cha kuukataa uongo wa magharibi na kujiweka upande wenye ukweli ni kigezo tosha cha kuitumia vyema Rasili mali akili, Rasili mali ubongo. Hivo kuitwaa vilivyo sifa ya sie kuitwa binadam katika wanyama.

Neno digidigi linawafaa sana wale wafuasi wa Gasho wa Magharibi.

So lee van cliff, You are Great buddy, usijishushe sana mdau wangu wa nguvu!

June 13 2022
Dah huyu mwamba aliamua kujishusha ili kuleta usawa lkn huyu jamaa na yule pacha wake aliekua akitaniana nae ndg Galip Vrl
 
Mrusi ana fomula moja hatari sana ya ground fighting ambayo inaonekana jeshi la Ukraine na washirika wake wameshindwa kabisa namna ya kuizuia.

Fomula yenyewe ni "NI WAACHE WAJIKUSANYE + FUNGA NJIA ZA KUINGIA NA KUTOKA = PANYA WA SHIMONI.

hii fomula ilifanikisha kukamata wapiganaji zaidi ya 2000 baada ya kugeuzwa panya wa shimoni huko mariupo, fomula ile ile inaenda kuvuna panya wengine huko Azot plant.

Tujikumbushe kauli ya mbabe wa hii fomula;

"Hao wapiganaji waliojificha kwenye kiwanda cha azov msiwalipue kwa mabovu bali waacheni na muwape nafasi ya kujisalimisha ila hakikisheni hakuna hata nzi atakae weza kuruka ruka maeneo hayo" Putin

June 14 2022
Ha ha ha haa formula hatari
 
i
Huwa sipendi kujadiliana na wewe ...lakini Hilo la kusema sijui akina Nani tuwaache waishi watakavyo siwezi kukubaliana nayo...Mungu ameumba mwanamke na mwanaume na kwa wanyama hivyo hivyo yaani jike na dume..

Uliwahi kuona wapi jogoo anammendea au kumfukuza jogoo mwenzake kwa Mambo ya kufanya mapenzi?! Uliwahi kuona wapi dume la ng'ombe linampanda dume jingine?!?! Haiwezekani!!!!
Sasa eti binadamu ndiyo tufanye hivyo zaidi ya wanyama?!
Kitu June 15 2022 hiki

Dah huyu mwamba hakutaka kabisa maagizo ya mwenyezi Mungu yatenguliwe na binadamu.alitoa onyo kali
 
Kwani Russia [emoji635] ni nchi ya kiarabua/kiislam kama unavyofosi mambo kuwa? Ni kweli kuwa wapo waliokerwa sana na uvamizi wa USA [emoji631] huko middle East na wanaona ni kipindi kizuri sasa Russia [emoji635] arudishe "fadhila " upande wa pili.

Lakini pia USA pamoja na yote ni taifa linalochukiwa sana na Pro-Arab, that's a fact. Na ukristo wangu pia siipendi USA kwa tabia yake ya kuingilia mataifa mengine, sasa kwa vile Russia nae anafanya the same, its just a "copy and paste" from what the Americans do, nyie mnaoionea huruma Ukraine mnatakiwa mtulie na mnyolewe kwa kisu huku mkisiliizia maumivu na damu zikiwatoka taratibu.

Unapoharibu ni pale unapofosi kuwa issue ipo kidini, kila mtu anaruhusiwa kuegemea upande anaoona unafaa, iwe kwa sababu yoyote ile.

Ni sawa na unapotuambia kuwa kuoa wake wawili ni dhambi, lakini upo busy kufundisha watoto wetu from tertiary age kuwa, kuwa bwabwa ni sawa tu(huu ni mfano ambao upo huko)

Kitu June 16 2022

Mwamba huyu kama ilivyokua kwa miamba mingine pro Russia hakukubali kabisa upotoshaji.
Huyo mpotoshaji alilazimishwa kibabe kukaa mstarini.
 
Huyu putin akiwa rais wako hata kama una maisha magumu speach yake inakufanya kabisa uamini yana mwisho na neema yaja.

If marais wangekuwa wanasajiliwa kama wacheza mpira, tungeuza hata airport ya Chato na mbuga ya wanyama ya Burigi ili tumsajili Putin

A man is calm and intelligent.
June 17 2022

Ha ha ha haa.
Kumsajili Putin ni sawa na utopolo kumsajili Mbape
 
Mambo yapo well calculated.

Russia imemvizia US katika moment ambayo US yupo weak and vulnerable.

Naona kila siku Fed Reserve wanaangaika kuongeza Interest Rate.

Wiki hii, Kuna masoko mengi ya fedha yamekuwa kwenye red margin kutokana na hii ishu ya Interest Rate.

Option waliyonayo kwa Sasa Ni kuongeza hiyo Interest Rate au wa increase government debt kwa ku buy back hizo dollar kupitia fictitious offshore companies za CIA...

Juni 18 2022 kitu hiki.

Dah Kuna watu walichambua mambo kitaaluma Zaid.
Kuonesha kua USA aliwaza kumkomoa Urusi lkn aliishia kukoma yeye.
Wengi mnakumbuka baadhi ya mabenki ya USA kuanguka.
 
Authorities in Kyiv have begun dismantling a statue of Red Army commander Mykola Shchors located on one of the main streets in the center of the capital, the Kyiv City State Administration announced on Dec. 9.

Ukraine's parliament outlawed most Soviet and communist symbols, street names, and monuments as part of a decommunization process in 2015. A number of statues commemorating Soviet or Russian figures have come down since then.

Shchors was a Ukrainian communist who fought with the Soviet Red Army during the Ukrainian War of Independence following the 1917 Russian Revolution. He is known for leading troops in the fight against the short-lived Ukrainian People's Republic, established in 1917, and other anti-communist forces.

The Shchors monument on Taras Shevchenko Boulevard in central Kyiv has long been largely neglected and covered in graffiti, even before the beginning of Russia's full-scale invasion in February 2022.

Earlier in August, the Soviet hammer and sickle emblazoned on Kyiv's Motherland monument, the tallest statue in Ukraine, was removed and replaced with Ukraine's coat of arms, the trident.

President Volodymyr Zelensky also signed a law in April 2023 prohibiting naming geographic sites in Ukraine after Russian figures or historical events associated with Russian aggression.

Titled "On Geographical Names," the law aims to address the "decolonization of toponymy" and to regulate the use of place names in Ukraine, according to the text of the law.

[emoji991]: Kyiv City Administration

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Counter offensive imehamia kwenye masanamu? Mlivo wasanii hamchelewi kuomba hela kwa ajili ya siraha za kubomoa masanam
 
Mathanzua na MR MAJANGA Hawa ni mabeki Bora kabisa katika mada hii,Hawa ni mabingwa wa kuondoa magoli yaliyooelekezwa golini.
Hawa mmoja akikaa beki 5 na mwenzie beki mbili hapaitibadui
Wakati huohuo GalipVrl na ASK-Q wakishambulia.heee hee
NATO wanapoteana mazee.
Hapa sijataja viungo akina Bwana Utamu na wenzake.
Ha ha ha aa
June 20 2022

Vijimambo kama hivi pia vilikuwepo.
Uswahilini Kuna vituko,ebwana. Eeeh
 
20231210_164758.jpg
Marinka is liberated!
(only small pockets remain under AFU control)

⚠️ The now destroyed city of Marinka, after nearly 20 months, the city of Marinka was captured by the Armed Forces of the Russian Federation, and only small pockets of resistance can be found near the western outskirts of the city.

🔻 This will put pressure on the Ugledar Tactical Group and may expose Ugledar further however the villages of Novomilkhaivka, Konstantionvkoya, and Pobeda must be captured in order to turn this into a serious threat. Our forces likely will continue to push towards Heorhiivka.

🔻 I do not think the fighting will stop, instead, fighting will likely pick up pace as it will turn into non-urbanised fighting with very little defences behind the city until the village of Heorhiivka is reached. - via Slavyangrad
 
Back
Top Bottom