lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Ha h ahaa haa,Nikajua labda ulipotokwa tu kwenye post yako niliyo kuquote kumbe hizi ndo akili zako halisi, basi sina muda wa kuendelea kuhangaika na akili nyeupe kiasi hiki.
Kama mtu unaamini (japo hakuna yeyote Russia or westerners aliesema hivo) kuwa operation ya Urusi ingechukua wiki moja na kumpindua rais zelensky basi wewe ni bure kabisa katika haya mambo.
Kama Operation ya jeshi lako la askari polisi kupambana na panya roads wa chanika ilichukua zaidi ya wiki mbili, ndo operation ya jeshi la wanajeshi lak1 dhidi ya jeshi la nchi nzima ya ulaya limalize mission yake ndani ya wiki moja kweli?
Kwanza hayo maneno umeyatoa wapi na nani alisema na kwa ushahidi upi?
Sehemu nyingine unayoonesha weupe wako nipale unapoiita hii operation kuwa ni Vita, kama Pentagon na EU wanatumua neno Russia-Ukraine conflict na siyo Russia-Ukraine War, wewe hiyo vita umeitoa wapi na umeipima kwa criteria zipi?
Uliona wapi vita inapiganwa huku ukimsaidia adui chakula na matibabu kwa raia na wapiganaji wake?
Ama kweli siyo kila mwenye kichwa ana akili za kung'amua mambo wengine wanavitumia kuhifadhia meno na kufugia nywele tu wakijitahidi sana basi wanavitumia kuvukia barabara.
Eeeee eeh
