passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Bado unaongea ujinga?yaani silaha zake tumeona zimempa ushindi dhidi ya silaha za NATO Ukraine alafu bado unaongea ujinga.kweli mtu mwenye akili hawezi kushabikia NATO.Sio suala la ndege tu, hata silaha nyingine Urusi imegundulika ni maneno mengi vitendo hafifu. Ndio maana mwaka huu Urusi imebeba sample tofauti 250 za silaha kwenda Dubai expo wakakosa kuambulia hata kuuza kifaa kimoja. Wakati Marekani imejizolea deals kadhaa.
"We have been working without (international financial transaction service) SWIFT, without the dollar and without the euro for a long time," huyu ni mkuu wa kampuni mama ya kuuza silaha ya Urusi Rosoboronexport, Alexander Mikheev akilialia.
Data za SIPRI zinasema Russia ilikuwa na share ya 22% ya arms exports duniani miaka ya 2013-2017, ikashuka kuwa 16% miaka ya 2018-2022. Hapa 2022 hadi 2024 wakipata 10% ya arms exports Warusi muombe mods wa JF wanipige ban.
Kama vipi leteni mikataba ya mauzo ya silaha ya Urusi mimi nilete ya nchi za kawaida hata Uturuki tulinganishe mwaka 2022 au 2023 tuone nani kauza silaha nyingi. Au tulinganishe orders za silaha za Urusi zilizokuwa cancelled na silaha za superpowers.
Superpower mwenyewe sasa kazidi kusaini deals za hela nyingi. Hata nisiandike mengi UAE pekee ilisaini deal la dola bilioni 52 kununua ndege za Boeing. Ila angekuwepo muuza maji aliyeyabeba kichwani angeingiza hela nyingi kuliko Urusi wiki ile November mwaka huu. Hii ni Il-76MD90A ya Urusi iliungana na silaha zao nyingine katika harakati za kupigwa vumbi pale Dubai kisha kurudishwa nyumbani mikono mitupu.View attachment 2837077
Kulingana na TASS (TBC ya Urusi) kumbe vikwazo viliwasumbua Rosoboronexport, wanadai wametatua matatizo ila Dubai wamesaini deal la kuuza silaha sifuri.View attachment 2837074
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app