Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kweli Russia imewatengeneza vizuri wanajeshi wa Ukraine na wamagharibi wengine huko Azovstal, Mariupol...

Kichapo kilichotolewa Mariupol ni nouma, hadi wake wa wanajeshi waliojificha mashimoni kama panya na waliojeruhiwa vibaya sana na moto wa Russia wameenda kuomba kwa Erdoğan wa Turkey na Xi wa China wazungumze na Putin awaruhusu waume zao waende hospitali...sivyo watazidi kufa huko mashimoni.

Kila siku wanapelekewa moto mkali na majeshi ya Russia humo humo mashimoni walimojificha kama panya, na wanapata majeraha mapya tena na tena...huku hawana chakula wala madawa.

May 19 2022
Huyu mwamba mtoa taarifa kweli alitisha kwa update zake murua kabisa.
 
Halafu ndo anatokea mla mihogo mikavu na maji ya kandolo anakwambia Russia ina jeshi dhaifu na imeshindwa vita.

Infact, ni mpumbavu pekee ndo anaweza kusema kuwa Russia anapigana Vita na Ukraine, ila kwa sisi wenye akili tunachojua nikuwa Russia yeye anaendesha operation ya kijeshi then Ukraine ndo yupo kwenye full scale war (rejea Marshall law iliyopitishwa na zelensky)
Kwahiyo kitaalamu tunasema ni War(Ukraine) Vs Special millitary operation (Russia).

Kama Urusi ingekuwa kwenye level ya vita isingejihangaisha kuzichukua hizo panya zilizojipeleka shimoni zenyewe kwenda kuzitibu kwa gharama zake na kujaza nafasi kwenye millitary base zake, badala yake angechochea tu mabomu humo shimoni ili hizo panya zote zigeuke kuwa majivu.

Nilichogundua Putin siyo mkorofi au katili kama propaganda za western zinavyomhubiri. putin ni miongoni mwa marais wenye hekima, busara, huruma na smart sana,

Kwanini nasema hivo; siku za nyuma kiongozi wa chenchen alimuomba putin awaruhusu wapiganaji watembeze kichapo heavy, putin hakukubali, huko Maripo Majeral wake walikuwa wamefikia hatua ya kutaka kuanza kumimina mabomu kwenye kiwanda cha chuma ili Azov wote waliojificha huko wageuke kuwa majivu, putin akatoa order ya kusitisha operation hiyo, badala yake akatoa order ya kuwalinda uhai wao ili atakae ona anataka kuendelea kuishi atajisalimisha mwenyewe na atake ona nibora kufa atajiua mwenyewe huko shimoni.
Sasahivi ametoa ruhusa tena ya majeruhi wote kutolewa na kwenda kuwatibu licha ya hao kumuita the butcher, the bastard, the terrorist na n.k. ukirejea hata kauli aliyoitoa leo kuhusu Finland na sweden kujiunga NATO utaona jinsi gani huyu mwamba alivyo smart na si mtu wa kupaniki.

Viva Hon. Putin the greatest leader in the world that shakes more than 40 leaders from 40 powerfull countries.
May 19 2022
Kuna watu walikataa propaganda
 
Umeuliza kibabe [emoji41][emoji41][emoji41]

Waseme ase kwanI US alipotupia Nuke pale Japan alikosa silaha zingine za kutumia? Hata mawe na marungu kweli? Hadi kufikia hatua ya kutumia Nukes.

Kule Vietnam nako, alikosa hata visu vya kimasai hadi kufikia hatua ya kutumia mabom ya kemikali?

Hadi sasa duniani kuna taifa moja tu ambalo lishatumia aina zote za WMDs, US 'mada ni fanta'

May 17 2022

Dah!
USA bana. Mara ooh Iraq Ina WMD kumbe wao washatumia silaha zote Ilizokatazwa.
 
Takriban miatisa walichinjwa Jana 🥱🥱🥱
1702113085736.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] yaani ww jamaa, vipi kuhusu akina chui_2 na akina challenge drone kamikaze za kimarekani ulizo kuwa una shinda humu una tuandikia magazeti kuhusu ubora wake na ukitamba kuwa tusubiri Offenseve tuone shughuli yake.
Leo ni mwezi wa 7 hata kukomboa km moja wameshindwa zaidi ya Ukraine kupoteza ardhi yake zaidi.

Silaha za Urusi ni bora na ndio maana kipindi Ukraine inatumia silaha kirusi alikuwa angalau anaonesha pafomans nzuri kwenye uwanja wa vita ,
Ukraine mwaka 2014 alikuwa na silaha za Urusi hakurusha risasi hata moja wakati Russia inavamia Crimea. Leo Ukraine ina silaha za Western mara ipige Kerch bridge, mara ipige Moskva missile cruiser, mara ipige landing crafts, imepiga air defense systems hizo S-300 na S-400.

Kazi za Storm Shadow, HIMARS, GMLRS na nyinginezo umeona.
tofauti na sasa ambapo anatumia silaha za kimagharibi anaonesha pafomans mbovu kabisa kwenye uwanja wa vita mpaka wana fikiria kuachana na hiyo vita huku masilaha yao unayo yasifu yanaharibiwa hovyo hovyo tu.
Urusi imefanya mobilization mara mbili, mara ya mwisho kufanya mobilization ni 1941. Bado huoni Ukraine inavyowatoa jasho? Hapo ukija kwa mataifa makubwa kama Ufaransa je?
Yaani mtu asiye jua chochote kuhusu masuala ya kijeshi anaweza kukuona ni bonge la mchambuzi kumbe ni bure.

Yaani ww nadhani ulitakiwa kuwa comedian maana huwa unaongea vichekesho maana ndo inayo kufaa maana huwa unaandika mambo ya kuchekesha.

Mara mara vifaru vya Urusi vinatengenezwa kwa chip za frige na mashine za kufulia nguo,mara marubani wa Urusi wanarusha ndege bila mitungi ya oxsijen, mara Urusi haina uwezo wa kutengeneza hata furampeni na brender ya kusaga juisi yaani tafulani tupu
Naona unatumia teknolojia ya Mmarekani kuleta dharau.
Ufaransa imewagomea kuwauzia meli za Mistral. Bado Thales ya Ufaransa ikawagomea kuwauzia Catherine system kwenye vifaru vyenu. Alafu eti nyinyi ndio mna uwezo wa kuishinda China.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].

Mara vifaru vya Israel havipigiki na anti tank yeyote leo hii tunaona vina pingwa na viant tank vilivyo tengenezwa kienyeji na visivyo na nguvu.[emoji2][emoji2][emoji3]
Wapi nilisema hivyo?
 
Hivi unafikiri wamarekani,wainger,wajerumani wafaransa na wengine wanapenda vita hii,je sauti zao zinasikika?
Kama ni maandamano Warusi baadhi waliandamana lkn hawakusikilizwa poa west nao waliandamana lkn hawakusikilizwa.
Naamini hata Putin mwenyewe hapendi vita,wanapenda vita wanajulikana ni wale wanaolazimisha NATO ipanuke kuizunguka Urusi na wale wanaopeleka silaha Kila siku Ukraine ndio wanaopenda vita.
Ukraine bado anamtoa Urusi jasho japo kazidiwa kila kitu.

 
Baada ya kubanwa mbavu,fashist Putin anajaribu kubana matumizi [emoji1782][emoji1782]

[emoji298][emoji298]Authorities in several Russian cities have canceled fireworks displays and pledged to send money to the front rather than purchase New Year decorations, Radio Free Europe/Radio Liberty reported on Dec. 8.,[emoji298][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298]The foreign ministers of Estonia and Lithuania condemned the International Olympic Committee's (IOC) decision to allow Russian and Belarusian athletes to compete in the 2024 Paris Olympic Games, according to social media posts on Dec. 8.[emoji298][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]


[emoji298][emoji298]The Armed Forces of Ukraine eliminated about 338,120 Russian invaders in Ukraine from February 24, 2022 to December 9, 2023, including 900 occupiers in the past day alone.[emoji298][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji629]Germany has delivered a new package of military aid to Ukraine

It includes:
• 1 Luna NG UAV;
• 10 Vector UAVs;
• 16 Mercedes-Benz Zetros;
• 6 vehicles for border guards;
• 70 HK GMG/GMW (automatic grenade launcher);
• 250 shells 155mm artillery ammunition;
• 100,000 First aid kits.

Join our telegram channel for more videos - link in comments



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ukraine bado anamtoa Urusi jasho japo kazidiwa kila kitu.

Dah ndugu yangu.
Hivi nyinyi wenzetu hua mnafikiri kwa kutumia vichwa tofauti na sisi wengine.?
Hua mnafurahi kusikia USA imeongeza msaada wa silaha na fedha kwa Ukraine,vivyohivyo kwa UK, Germany,France,Japan,Poland,Canada, Denmark, Norway, Greece, Belgium,n.k
Je hizo silaha na fedha zinakwendaga wapi?
Sio nyie hua mnapongezana kua package nyingine imeongezeaka.sasa je kwa misaada hiyo Urusi Warudi nyumbani kua Sasa silaha za Ukraine zimeisha hizi zinazoletwa ni za akina USA na NATO ambao sisi hatupigani nao?
Kila siku Urusi inaonya kua west Wana prolong vita.kadri Wanavyo pumb silaha ndivyo na Urusi inavyoongeza kuwasaga.
Wewe kwa akili Yako unadhani ukraiken ana silaha za kumudu vita na urusi kwa miaka miwili?
Nafikiri mngekua na uelewa mkubwa mgesema ni jinsi Gani Urusi inawatoa jasho the whole west.hivi hata hivyo vikao Wana yokaaga NATO kuisaidia Ukraine navyo Huwa huvioni?
Wewe jamaa bana hebu kua seriousl basi.
 
Fruitful bilateral work between Ukraine and Sweden on the transfer of Gripen aircraft continues, - Ministry of Defense of Ukraine.

Join our telegram channel for more videos - link in comments



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Dah ndugu yangu.
Hivi nyinyi wenzetu hua mnafikiri kwa kutumia vichwa tofauti na sisi wengine.?
Hua mnafurahi kusikia USA imeongeza msaada wa silaha na fedha kwa Ukraine,vivyohivyo kwa UK, Germany,France,Japan,Poland,Canada, Denmark, Norway, Greece, Belgium,n.k
Je hizo silaha na fedha zinakwendaga wapi?
Sio nyie hua mnapongezana kua package nyingine imeongezeaka.sasa je kwa misaada hiyo Urusi Warudi nyumbani kua Sasa silaha za Ukraine zimeisha hizi zinazoletwa ni za akina USA na NATO ambao sisi hatupigani nao?
Kila siku Urusi inaonya kua west Wana prolong vita.kadri Wanavyo pumb silaha ndivyo na Urusi inavyoongeza kuwasaga.
Wewe kwa akili Yako unadhani ukraiken ana silaha za kumudu vita na urusi kwa miaka miwili?
Nafikiri mngekua na uelewa mkubwa mgesema ni jinsi Gani Urusi inawatoa jasho the whole west.hivi hata hivyo vikao Wana yokaaga NATO kuisaidia Ukraine navyo Huwa huvioni?
Wewe jamaa bana hebu kua seriousl basi.
Dunia nzima inajua urusi anatolewa kamas na Ukraine., that's all!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hii ilikua 20 April 2022

Dah!
Ila watu hawakuthubutu kabisa kufungua vinywa vyao juu ya uonevu aliofanyiwa Iraq na Rais wake.
Sio tu WMD iliyoonekana Iraq Bali hata sumu za panya TU hawakukuta lkn Sadam wakamnyonga.Aisee.!
Maisha haya bana, kuna vitu tunaandika ama kuzungumza baada ya mda tukiletewa kisha tukaambiwa uliandika au kuzungumza hivi na vile unashituka.

Binafsi nimeshituka hasa kwenye hizo paragraph mbili za mwisho ha ha naona morali ulikua juu kama mmasai au mkurya aliyemaliza kula kichuri. Eti m@mae 🤣🤔
Haya hizo WMD ziko hapo Russia wasogeze pua basi m@mae...
emoji848.png
Ukiwauliza kwanini hamuendi wanajifanya ooh hawataki direct confrontation na Russia...

WMD si ni zile zile... Kwanini Iraqi walipigwa Russia wanamkimbia...
 
Ukraine mwaka 2014 alikuwa na silaha za Urusi hakurusha risasi hata moja wakati Russia inavamia Crimea. Leo Ukraine ina silaha za Western mara ipige Kerch bridge, mara ipige Moskva missile cruiser, mara ipige landing crafts, imepiga air defense systems hizo S-300 na S-400.

Kazi za Storm Shadow, HIMARS, GMLRS na nyinginezo umeona.

Urusi imefanya mobilization mara mbili, mara ya mwisho kufanya mobilization ni 1941. Bado huoni Ukraine inavyowatoa jasho? Hapo ukija kwa mataifa makubwa kama Ufaransa je?



Naona unatumia teknolojia ya Mmarekani kuleta dharau.
Ufaransa imewagomea kuwauzia meli za Mistral. Bado Thales ya Ufaransa ikawagomea kuwauzia Catherine system kwenye vifaru vyenu. Alafu eti nyinyi ndio mna uwezo wa kuishinda China.



Wapi nilisema hivyo?
Mkuu ndio maana nime sema unafaa kuwa comedian sasa umeandika nn zaidi ya vichekesho?
Tangu Ukraine imeanza kutumia vifaru vya chui 2 , challenge 2 kutoka Uingereza na magari ya kufanya mashambulizi ya kimarekani mwaka jana ni mafanikio gani waliyo yapata vitani ukilinganisha na mafanikio waliyo yapata kipindi wanatumia vifaru vya kirusi?
Maana tangu waanze kutumia hizo silaha kimagharibi badala ya Ukraine ikomboe ardhi yake inazidi kupoteza ardhi zaidi na kupoteza wanajeshi wengi mpaka sasa hivi wameaanza kupeleka wazee vitani.

Yaani una ishangaa Urusi kwa kufanya uhamasishaji dhidi ya Ukraine yenye ukubwa wa eneo karibia na tz ina zaidi ya wanajeshi 250,000 ambao ni rasimi na wapiganaji zaidi ya 50,000 kutoka nchi mbali mbali duniani, inayo pokea kila silaha inazo ziitaji kwa zaidi ya 50 ,inayo pewa taarifa za kijasusi.

Ila hauishangai Israel kufanya uhamasishaji dhidi ya Hamas kikundi cha wapiganaji wasio zidi alfu 30,000 wamezingirwa kila sehemu kwa zaidi ya miaka 17 walioko kieneo kidogo sawa na nusu ya kigamboni ,wasio kuwa na silaha za maana zaidi ya ant tank vya kienyeji na bunduki ,mbaya zaidi huu ni mwezi wa tatu hawajaweza na wala hawauoneshi dalili ya kuwashinda [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

Tatizo lako una tabia ya kukana matamshi yako bila hata aibu sasa unakataa wakati ww na wenzio mlikuwa mnatuambia kuwa vifaru vya Israel havipigiki.
 
Back
Top Bottom