lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Nimegumdua wewe ni mwana Simba mwenzangu🤣😂😂😂vipi Leo tutatoboa?Hata Warusi hawasemi haya ..
Nimegumdua wewe ni mwana Simba mwenzangu🤣😂😂😂vipi Leo tutatoboa?Hata Warusi hawasemi haya ..
The discussions are an acknowledgment of the dynamics militarily on the ground in Ukraine and politically in the U.S. and Europe, officials said.Huenda njia ya Mazungumzo ya amani ikatumika kumaliza hii Vita.
![]()
U.S., European officials broach topic of peace negotiations with Ukraine, sources say
The conversations have included very broad outlines of what Ukraine might need to give up to reach a deal with Russia.www.google.com
Hata Warusi wamechoshwa na hii Vita Ila sauti zao zimeminywa zisisikike.The discussions are an acknowledgment of the dynamics militarily on the ground in Ukraine and politically in the U.S. and Europe, officials said.
The big question is will Putin agree to sit down for negotiations? Has the goals of his operation been achieved?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] yaani ww jamaa, vipi kuhusu akina chui_2 na akina challenge drone kamikaze za kimarekani ulizo kuwa una shinda humu una tuandikia magazeti kuhusu ubora wake na ukitamba kuwa tusubiri Offenseve tuone shughuli yake.Sio suala la ndege tu, hata silaha nyingine Urusi imegundulika ni maneno mengi vitendo hafifu. Ndio maana mwaka huu Urusi imebeba sample tofauti 250 za silaha kwenda Dubai expo wakakosa kuambulia hata kuuza kifaa kimoja. Wakati Marekani imejizolea deals kadhaa.
"We have been working without (international financial transaction service) SWIFT, without the dollar and without the euro for a long time," huyu ni mkuu wa kampuni mama ya kuuza silaha ya Urusi Rosoboronexport, Alexander Mikheev akilialia.
Data za SIPRI zinasema Russia ilikuwa na share ya 22% ya arms exports duniani miaka ya 2013-2017, ikashuka kuwa 16% miaka ya 2018-2022. Hapa 2022 hadi 2024 wakipata 10% ya arms exports Warusi muombe mods wa JF wanipige ban.
Kama vipi leteni mikataba ya mauzo ya silaha ya Urusi mimi nilete ya nchi za kawaida hata Uturuki tulinganishe mwaka 2022 au 2023 tuone nani kauza silaha nyingi. Au tulinganishe orders za silaha za Urusi zilizokuwa cancelled na silaha za superpowers.
Superpower mwenyewe sasa kazidi kusaini deals za hela nyingi. Hata nisiandike mengi UAE pekee ilisaini deal la dola bilioni 52 kununua ndege za Boeing. Ila angekuwepo muuza maji aliyeyabeba kichwani angeingiza hela nyingi kuliko Urusi wiki ile November mwaka huu. Hii ni Il-76MD90A ya Urusi iliungana na silaha zao nyingine katika harakati za kupigwa vumbi pale Dubai kisha kurudishwa nyumbani mikono mitupu.View attachment 2837077
Kulingana na TASS (TBC ya Urusi) kumbe vikwazo viliwasumbua Rosoboronexport, wanadai wametatua matatizo ila Dubai wamesaini deal la kuuza silaha sifuri.View attachment 2837074
Tatizo sio kumiliki anga bali tatizo ni unamiliki anga dhidi ya nani?Performance ya jeshi la anga la Urusi ni mbovu mpaka sasa, walikuwa na uwezo wa kutawala anga la Ukraine mapema kabla ya kuja kwa AD's ila walishashindwa.
Hata SEAD iliwashinda kufanya japo wana ndege nyingi kuliko Ukraine, walivamia kwa pupa bila maandalizi.
T14 Armata
Hii mbona imeshaisha mkuu!!Hii Vita haitabiriki inaishaje...
![]()
Volodymyr Zelenskyy: The forgotten man
As Russia’s invasion approaches the two-year mark, the world seems to have lost interest in Ukraine, and its president.www.google.com
Ha ha haa majibu mijarab kabisa haya.![]()
![]()
![]()
yaani ww jamaa, vipi kuhusu akina chui_2 na akina challenge drone kamikaze za kimarekani ulizo kuwa una shinda humu una tuandikia magazeti kuhusu ubora wake na ukitamba kuwa tusubiri Offenseve tuone shughuli yake.![]()
Leo ni mwezi wa 7 hata kukomboa km moja wameshindwa zaidi ya Ukraine kupoteza ardhi yake zaidi.
Silaha za Urusi ni bora na ndio maana kipindi Ukraine inatumia silaha kirusi alikuwa angalau anaonesha pafomans nzuri kwenye uwanja wa vita ,tofauti na sasa ambapo anatumia silaha za kimagharibi anaonesha pafomans mbovu kabisa kwenye uwanja wa vita mpaka wana fikiria kuachana na hiyo vita huku masilaha yao unayo yasifu yanaharibiwa hovyo hovyo tu.
Yaani mtu asiye jua chochote kuhusu masuala ya kijeshi anaweza kukuona ni bonge la mchambuzi kumbe ni bure.
Yaani ww nadhani ulitakiwa kuwa comedian maana huwa unaongea vichekesho maana ndo inayo kufaa maana huwa unaandika mambo ya kuchekesha.
Mara mara vifaru vya Urusi vinatengenezwa kwa chip za frige na mashine za kufulia nguo,mara marubani wa Urusi wanarusha ndege bila mitungi ya oxsijen, mara Urusi haina uwezo wa kutengeneza hata furampeni na brender ya kusaga juisi yaani tafulani tupu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.![]()
Mara vifaru vya Israel havipigiki na anti tank yeyote leo hii tunaona vina pingwa na viant tank vilivyo tengenezwa kienyeji na visivyo na nguvu.![]()
![]()
![]()
Hivi unafikiri wamarekani,wainger,wajerumani wafaransa na wengine wanapenda vita hii,je sauti zao zinasikika?Hata Warusi wamechoshwa na hii Vita Ila sauti zao zimeminywa zisisikike.
Maelezo darasa haya,mwenye kuelewa na aelewe.Hii mbona imeshaisha mkuu!!
Disastrous failure ya counteroffensive na matukio ya baada ya Octoba 7 yaliashiria mwanzo wa mwisho wa Zelensky na utawala wake.
Hebu nambie Zelensky anaweza kum convince nani tena ampe silaha za ku mount counteroffensive nyingine? Kwanza hao West hata kama nia ya kumpa silaha tena wangekua nayo, wanazitoa wapi wakati wao wenyewe wameishiwa kabisa na wakati huo Urusi anazalisha silaha kama hana akili nzuri baada ya kufanikiwa kuuweka uchumi wake kwenye war footing? Kwa West kwasasa Ukraine is a lost cause, a dead end, hebu apatikane mchambuzi yeyote atwambie hapa, watampa silaha ili a achieve nini? To what end???
Juzi unasikia wameweza kumpa tu 30% ya artillery shells milioni moja walizokua wamemuahidi!
Umesikia kifurushi alichotoa Ujerumani juzi? Ni kifurushi ambacho hakiwezi kutosheleza hata kambi mbili let alone kuipa nchi inayopambana na Urusi.
Tukubali tu as painful as it is, Ukraine ndo ishaenda hiyo.
Next time wengine wajifunze kupitia quote ya marehemu Henry Kissinger;
"It may be dangerous to be America's enemy, but to be America's friend is fatal"
Hawa jamaa ni mashetani kamili, kukuletea matatizo makubwa kisha wakakuacha kwenye mataa ni suala la kawaida mnoo kwao, yaani hawajiulizi mara mbili!!
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
April 12 2022View attachment 2185178
View attachment 2185180
View attachment 2185179
Urusi Taifa la hovyo sana Hizi ni baadhi ya picha ya mauaji ya Bucha.
Hii ni koment ya April 14 2022Urusi ni masikini mjeuri.
Hii ilikua 20 April 2022Uko umeenda mbali... Iraqi alivamiwa kwa speculation kua anazo WMD... Weapons of Mass Destruction. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wakampiga weee kisha wakamnyonga mzee wa watu bure...
Haya hizo WMD ziko hapo Russia wasogeze pua basi m@mae...[emoji848] Ukiwauliza kwanini hamuendi wanajifanya ooh hawataki direct confrontation na Russia...
WMD si ni zile zile... Kwanini Iraqi walipigwa Russia wanamkimbia...
Hata Warusi wamechoshwa na hii Vita Ila sauti zao zimeminywa zisisikike.
Kiev has also lost nearly 1,500 soldiers in the Krasny Liman direction, nearly 900 soldiers in the South Donetsk direction, up to 350 soldiers in the Kherson direction and up to 260 soldiers in the Zaporozhye directionTulikuwa tubahesabu .... tu...
Russia na sehemu kubwa ya dunia wamechoshwa na ukiritimba wa US na vibaraka wake. Vita hii ina malengo makubwa zaidi ya tunavyojua, tusubiri tuone itamalizwa vipi.Hata Warusi wamechoshwa na hii Vita Ila sauti zao zimeminywa zisisikike.
Hii ilikua may 6 2022
Boris Johnson popote ulipo Mungu akuadhibu.
Wewe una mchango wako kumwagika damu nyingi huko Ukraine
Possibility of talks between Zelenskyy and Putin halted after Boris Johnsons' visit
According sources close to Ukrainian President Volodymyr Zelensky, the Prime Minister of the United Kingdom Boris Johnson, who appeared in Kiev almost without warning, brought two simple messages.
The first is that "Putin is a war criminal, he should be pressured, not negotiated with."
The second, and far more important one is that "even if Ukraine is ready to sign some agreements on guarantees with Putin, the West are not."
Johnson’s position was that the collective West, which back in February had suggested Zelenskyy should surrender and flee, now felt that Putin was not really as powerful as they had previously imagined, and that here was a chance to "press him."
Three days after Johnson left for Britain, Putin went public and said talks with Ukraine "had turned into a dead end".
Three days later, Roman Abramovich arrived in Kyiv again, and President Zelenskyy officially stated that there could be two security agreements with Russia: one would concern Ukraine's coexistence with Russia, the other - only security guarantees, because not everyone "sees themselves at the same table with the Russian Federation ".
After that, according to the sources, the bilateral negotiation process was "paused."
This is the single most salient point because it now verifies that the UK, US, NATO are, IN FACT, at war with Russia and are waging that war by proxy.
May 15 2022NATO wasema Ukraine inaweza kushinda vita.
They failed to take Kyiv. They are pulling back from around Kharkiv. Their major offensive in Donbas has stalled.
"Russia is not achieving its strategic objectives.
"Ukraine can win this war."
Kama Kawa zele alipokuja akimaliza TU kubwia ugolo alitoa tamko l akuwafurahisha mabwanyenye.Russia is 'bankrupt,' unable to win and facing a 'dead end' in the war: Zelenskyy
On the 81st day of the conflict, Zelenskyy added: "Victory is beginning."
"This week, as always, there will be a lot of international activity in which I will take part," the Ukrainian president continued. "The key is weapons and financial support for Ukraine. Finances not only to maintain stability now, but also to begin rebuilding what Russia has ruined."