lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Jeshi lipi Sasa lililo well trained na lenye nguvu hapa duniani?Ni hivi, upinzani wa majeshi ya urusi kusonga mbele ni mdogo zaidi ingelikuwa ni kwa jeshi lenye nguvu na well trained wangelifanya zaidi mara 50 zaidi ya Inachofanya jeshi la urusi.
Urusi kumpiga Ukraine si habari ila Ukraine kusimama dhidi ya majeshi ya Urusi kwa zaidi ya siku ya 5 leo ni habari ya kusisimua. Hii unatoa picha kwamba habari kuhusu jeshi la urusi zinakuzwa tu.. Urusi ina nguvu ila sio tishio kwamba inaweza dhibiti Nato kwa namna yoyote ile.
We expected Ukraine's army to be wiped within 24 hours kama ziro brains walikuwa wanasema ila mziki bado.
Marc 1 2022
Maana USA walikimbizwa na wanamgambo wa somalia na kikundi Cha watalaban.
Lkn miaka mingi kabla sijazaliwa pia walikimbizwa na WA Vietnam.
Jeshi la ukraine like well trained na USA UK Fra German Poland. Na wengine wa NATO.