kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Zaidi ya mia Tisa mkuu,tuwaombeeni warusi wanazidi kuangamizwa🥱🥱🥱🥱Leo wamekufa wangapi?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Zaidi ya mia Tisa mkuu,tuwaombeeni warusi wanazidi kuangamizwa🥱🥱🥱🥱Leo wamekufa wangapi?
Tuhitimishe tu kuwa Urusi kafanikiwa kuchukua maeneo ya Ukraine kwa nguvu na bado anaendelea kuwatandika . Zelensky kadanganywa wamemuachia msala 🤣Mkuu hata NATO wakiingia bado kumshinda urusi ni ndoto.
Kumbuka NATO wakiingia washirika wa Urusi nao wataingia upande wa Urusi.
Washirika wa Urusi ambao Nina uhakika wataingia upande wa Urusi hata bila kualikwa ni Korea kaskazina,Iraq na china.
Sasa unaona hiyo ninkazi ndogo?
Achilia mbali akina Syria,Wale wasoviet wa zamani walio mpakani na china na Iran,Berarus,etc.
Hii komenti ilikua 26 FebRussia kabakiza Kiev tu ili awe ameteka nchi kitu ambacho kitazua kelele ndio maana Putin aliagiza jeshi lisichukie Kiev kwanza ili kutoa nafasi ya mazungumzo na Ukraine ambapo imeshindikana,now katoa go ahead so subiri kisha utaona kama atafanikiwa au lah.Pili lazima ujue kuwa hata Ukraine wanapigana kama ambacho kila nchi ingepigana lkn wataangushwa tu pamoja na support yote wanayopewa.Na mwisho Russia anajaribu kuichukua Kiev bila mauaji mengi ya raia ya kawaida ambapo akiona kuna ugumu wa kukwepa hayo mauaji basi anaweza kuamua kufyeka wote.
Hizi habari zako unajiandikia tu hapo chumbani kwako hazina ukweli wowote.[emoji298]Ukrainian warriors have destroyed eight enemy tanks, 26 armored fighting vehicles, 12 artillery systems, and other Russian military equipment in the past 24 hours.[emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hii ilikua nzuri sanaIla pro USA mnashangaza sana na mna unonko sana yaani vita ndo kwanza ina siku tatu ila mmesha muhukumu putin kwamba kashidwa?
Urusi ina haki ya kufanya chochote pale inapoona usalama wake una tishiwa kama marekani alivyo ivamia Iraq, Afghanistan na kuuwa mamilioni ya raia.
Kama Israel anavyo uwa wapalestina bila huruma kwa kisingizio cha kujinda.
Kwenye vita ni lazima ulipie gharama hizo ulizo zitaja na Putin analijua kabisa ya kwamba hajaenda vitani kwenda kucheza ngoma bali kaenda vitani kupambana na watu wenye mafunzo kama walivyo wanajeshi wake.
Kwenye vita ni lazima upoteze wapiganaji, vifaa,na pesa hata uwe una nguvu kiasi gani ,hata kama unaye pambana naye ni dhaifu kiasi gani.
Marekani aliivamia Iraq mpaka ana iteka Baghdad alikuwa amesha poteza maelfu ya wapiganaji na vifaa vingi vya kijeshi na amepoteza matrion ya $ lakini hakujali hilo alicho jali ni kile kilicho sababisha anavamia.
Alafu kingine ukijaribu kuangalia kiuhalisia bila ushabiki utagundua ya kwamba Urusi hatumii nguvu kubwa sana kwenye hivi vita bali anatumia nguvu za wastani hata mashambilizi ya anga sio makali sana, nadhani ana hofia mauaji ya raia yatakuwa makubwa.
Gharama ambayo angeilipa Urusi baada ya NATO kiweka base zake Ukraine ni zaidi ya mia ya atakaye zilipa kwenye vita na Ukraine.
Hata ungekuwa ww mkuu ungefanya alicho kifanya Putin.
Utabiri umeendaje huuUpo uwezekano mkubwa Ukrain ikamshinda mrusi katika Vita inayoendelea, baadhi ya sababu zinazotajwa kumdhiriotosha mrusi ni pamoja na
1. Vita Hii kuingiliwa na mashambulio ya kimtandao ambapo baadhi ya hackers kutoka mashirika ya kijasusi wanapambana na mitandao na mifumo ya mawasiliano ya Urusi wakiwa wamejificha Kwenye kichaka cha invisible.
Tukumbuke Vita Hii inaongozwa zaidi ya technology kuliko nguvu za mwili hivyo Urusi anapambana na Dunia kitekinologia huku akipambana na Ukraine Kwa nguvu za mwili
2. Urusi anapopigana na Ukraine analinda asipambane na raia Bali apambane na askari, yanahitajika mahesabu makubwa.
3. NATO inamsaidia Ukraine
4. Kiu ya Mataifa Makubwa nikuitumia Vita ya Ukraine kujua nguvu ya Urusi
5. Vikwazo vya kiuchumi ni jambo baya Kwa uchumi wa Urusi na wananchi wake. Urusi inapigwa Kwa maneno huku vikwazo vikianza kufanya kazi ikiwemo tukio la ufaransa kukamata meli ya Urusi.
6. Wakati Ukrain akifanya jitihada ya mazungumzo na Urusi ,upo uwezekano wa Urusi kuanza kuomba mazungumzo na wakubwa wenzie kuepusha vikwazo vya uchumi.
Natabiri ushindi wa Ukrain....
Zenye ukweli ni zile zinazotoka RT,sio?Hizi habari zako unajiandikia tu hapo chumbani kwako hazina ukweli wowote.
Za kwako hata RT hazitoki 🤣
Tumeona Sasa kama uchumi wa Urusi hauathiri Dunia ama unaathiri.Kina nani wamechoka. Hao wanaopigania kilomita 10 kwa siku mbili? Yani Belarus na Russia ndio unasema wamechoka, hata ukijumlisha uchumi wao hauathiri sana dunia. Sanasana bei ya mafuta na gesi itapanda, mafuta yatakuwa replaced na output kubwa ya OPEC. Russia ataendelea kuuza gesi Ulaya kama hataki ainywe, Ulaya ina options kibao za gharama kubwa kupata gesi. Russia isiuze gesi uchumi ufe tuone kama raia hawataandamana
Hoja motomoto zilitolewaRussia has nothing to offer economical, marekani anapendwa na nchi za ulaya sababu ya kuwa na uchumi Mkubwa na ela, urussi angekua na GDP kubwa kuliko nchi zote ulaya haya yote yasingetokea kwa sababu hata Ukraine angemngangania Ila ela Ina nguvu sana
Nadhani NATO wameshasoma mchezo na kuona Russia ni maji ya kina kirefu.ninacho kiona NATO wanataka Rashia aishiwe pumzi kwanza kwa kushindana ukrein ndio badae watengeneze zengwe ionekane kama ameishambulia moja ya memba wa NATO iliwapate validity ya kumshushia Rashia kwa sasa NATO wanausoma mchezo kisayansi huwezi kuingia kichwa kichwa bila kujua mifumo ya ulizi wa adui yako uwezo wake ukoje kwa hiyo ukrein atapewa silaha kutoka NATO katika kutest capability ya mifumo ya Rashia na inawezekana vita hii ikachuku mda ili Rashia u mtoke ulimi nje
Kuna watu walikua wanaona mbali sana hii ni 27 Feb 2022Kwa nikionacho, UKRAINE anatamani huu mzozo uishe na maisha yaendelee ila msukumo wa West unawafanya wachanganyikiwe, sasa wao ndio wamekuwa kilengeo. Nchi inaharibiwa vibaya sana. Waangalie namna ya kuondoa huu mzozo, wanaoumia zaidi ni UKRAINE na hadi sasa hakuna mji wowote wa URUSI umeshambuliwa hata na JIWE.
TUACHE USHABIKI, UKRAINE akae mezani wayamalize. WASITUMIKE NA USA na NATO maana wao ndio wataumia.
Nakumbuka speech moja Ya Ben Sanders aliwaambia wenzake USA kuwa sisi USA tungekubali USSR aweke kambi zake CUBA??
Siajona Russia kiwanda kimefungwa hata kimoja,lakini west vipo vilivyofungwa.Russia ikifungiwa SWIFT watafanyaje. Watalipua ofisi za IMF au mabenki makubwa duniani?
Aeroflot shirika la ndege kubwa la serikali la Urusi limepigwa air blockade na nchi 9 mpaka jana usiku, sijui leo zimefika ngapi. Watafanyaje au kwamba Russian Airforce itaenda kulipua airports za hizo nchi?
Makampuni yamezuiwa kuuza baadhi ya teknolojia muhimu isipokuwa za afya na za kuongozea ndege. Russia watavamia makampuni? Sasa ngoja uone kama viwanda vyao vitafanya kazi, mpaka leo hawana gas turbine engines za uhakika kutengeneza warships tangu wavamie Ukraine. Wanaishia kutengeneza corvettes tu.
Huyo China unayemsema ni yule aliyekimbia kikao cha UNSC juzi ili asipige kura ya hapana kwa Russian invasion. Siku yoyote ukisikia superpower hakuwepo kwenye kamati yoyote ya UN ujue anasikilizia upepo na mara nyingi utakuta anajua kura yake haitobadilisha chochote ila ana hasara kwa kila chaguo atalofanya. Ili kukwepa lawama anakuwa absent, ile sio ndoa kwamba Bwana Harusi kafiwa kwahiyo tuhaihirishe, ile ni uwakilishi wa nchi huwezi sema wawakilishi wote walikuwa na dharula
Aliandila hivi 27 feb2022 akajibiwa hivi naMnajua kwa nini hatupati video na picha za upande wa Urusi zikielezea wanavyoshambulia Ukraine? Urusi hawaruhusu matumizi ya simu wakiwa kwenye military deployment. Ilianza miaka kama mitatu nyuma walivyoenda Libya wakajirekodi jamaa mmoja wa OSINT anatambua location ikajulikana wana mission ya siri. Pia pale Syria Israel ilikuwa inatumia signals za simu kujua concentration ya wanajeshi wako wapi.
Kwahiyo tunaishia kupata video na picha za Ukraine kwa kuwa kuna raia kibao na wanajeshi smartphones wanazo. Wanajeshi wa Russia hata hawajui kinachoendelea wakikutana na raia mtaani asiye na silaha wanauliza jeshi lao linafanyaje. Wanashambulia wana scores, wana kills ila tunapata taarifa za upande mmoja. Clips kibao za kuwachafua, jana kuna walioiba vyakula leo kuna waliobomoa ATM
BBC Wala ALJAZEELA Wala Washington DC radio hazipoZa kwako hata RT hazitoki [emoji1787]
Aisee,kumbe Hali ilikua hivi pia.Hao Ukraine wameanza ubaguzi wa rangi
Mtu mweusi anashushwa kwenye Train huko
Yaani bora watembee kwa miguu tu sasa
Acha Putin awasulubu hao Eastern Europe
Hakuna kuwahurumia kuanzia sasa mwenye damu na aelewe
Urusi Sasa ni imara kuliko kabla ya hii SMO.Warusi wako busy kwenye ATMs wanatoa hela, thamani ya ruble inashuka kila muda ukienda, volatility ni kubwa na hapa pressure ya nchi kuiondoa Russia kwenye SWIFT inaendelea. Benki kuu yao huwa ni wazoefu wa kufanya intervention na walijiandaa muda ila kuna muda ujanja unatumia gharama.
Hakuna namna Urusi itakwepa vikwazo eti "imevizoea". Vile vilikuwa vinawekwa na Uingereza na USA mara hii wanaoshinikiza ni majirani wa Urusi waoga wanaotaka kuiangusha. Hapa ndio shida kwa wanasiasa kina Lavrov inakuja, wao walidai vikwazo tulijipanga navyo. Extent inayokuja sidhani kama walijipanga nayo. Jeshi lao limechelewa hivyo linazidi kuwaumiza. Kila projection waliyokuwa nayo walikosea. Should we say that this is the beginning of the end?
Ningependelea Urusi iwepo imara. Hawa NATO watatutia vidole machoni wakiachwa wenyewe