Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mwisho wa hii movie ni Russia kufirisika kabisa kiuchumi na hatimaye ndio utakuwa mwisho wa urais wa Putin pia Russia atalazimishwa kulipa War Reparations kwa Ukraine.

Russia hana miujiza ya kuweza kumuokoa dhidi ya kuporomoka kwa uchumi wake kwa sababu kuanzia sasa hawezi kuuza chochote nje baada ya kuondolewa kwenye mfumo wa malipo wa SWIFT na pia hawaruhusiwi kutumia dola.
26 Feb 2022
 
Wakuu mbona naanza kuhisi kuna mchezo unachezwa. Nahisi NATO na UN walifanya analysis mapema wakaona Urusi atavamia wakaamua wasubiri wapate justification ya kujibu na wasubiri kuona anaungwa mkono na nani. Sasa Putin yuko na vidagaa vya Chechen na Belarus, hana mbabe yeyote anayeunga mkono. Kwa sasa wanaamua watoe silaha kwa Ukraine.

Au NATO wamejishtukia baada ya kuona Ukraine imegoma kujisalimisha, response ya serikali na raia ni nzuri na wana spirit ya kupambana. Kwahiyo hata wakitoa silaha watumiaji wapo.

Au NATO walikuwa tiyari kuona Luhansk na Donetsk zinaanguka ila hawakujua kama Ukraine nzima itavamiwa. Baada ya kuona Putin anatishia madai mengine na kusemea wanachama wengine wa NATO waliojiunga baadae ikaonekana huyu mtu haaminiki ngoja tuisaidie Ukraine ili aone hatutakubali akija kwa mwanachama halisi.

Kikao cha jana jioni cha NATO plus Finland na Norway kuna siri itakuwa pale imeamuliwa. Naanza kuona response ya kina Biden haikuwa mbaya sana kama nilivyoona mwanzo. Maybe ni tunakusubiri upige wee dunia ikuone, alafu tukija utakosa visingizio vya kwamba sisi ndio tulianza
26 Feb 2022
 
Gazeti la Ujeruma Linasema Hali sio Nzuri Huko Kyive kati ya Zelensky na Zaluzhny yaani Kinaumana huko
20231207_201626.jpg
 
Vita ilisimama tangu jana.. Putin aliamuru majeshi yake kutosonga mbele baada ya Zelensky kuomba mazungumzo na kusema yupo tayari Ukraine iwe neutral country isiyofungamana na upande wowote.. Putin akasema wakutane Minsk mji mkuu wa Belarus.. Zelensky kakataa anataka Warsaw Poland ambaye hasimu wa Russia.. Baadaye ghafla alipoona mashambulizi yamesita akasitisha mawasiliano.. Putin ameamuru mashambulizi yaendelee.
NA inasemekana huyo Rais ishaondoka Kiev yupo mji wa magharibi mpakani.. Picha anazotoa kuwa eti yupo Kiev inasemekana ni pre recorded... Yaani alizirekodi kabla.
Zinatumika kuhamasisha jeshi na watu wapigane Maana wakijua alishaondoka jeshi Lita surrender..
Inaonekana aliposema anataka mazungumzo Marekani imemzuia.. Maana walimwambia wameshamwandalia namna ya kumuokoa pamoja na hifadhi ili asiachie madaraka. Sasa ukweli utajulikana baadaye.. No one know exactly. View attachment 2132027
Hapa tuliambiwa msafara mrefu wa jeshi la Urusi umesambaratishwa kumbe ulirudi kupisha mazungumzo ya amani.
 
Ha ha haa.mie najua siku zote Chechen ni sehemu ya Russia.
Of course ni sehem ya Russian Federation. Ile kauli yake ya "Russia ana Chechnya na Beralus" kama nchi zinazompa ushirikiano ni kama mtu aseme Tanzania ana Arusha na Uganda pekee kama nchi zinazo muunga mkono. A very nonsensical claim kutoka kwa mchambuzi "konki" wa team nanhi.

Jamaa ambae hajui hata geography ya Russian federation, ila anajua kila kinachoendelea Moscow, kwa kifupi anajua hadi idadi ya "kunguni" kwenye godoro la Mzee Putin.

🤣🤣🤣

Mswahili kama mswahili, mpatie muhtasari tu taarifa ataandika mwenyewe.
 
Nilikuelewa vizuri TU Mkuu,
Yaani hata Mimi niliona hilo kosa,hapo mwamba alichemka,ndio maana nikapandisha koment hiyo.
Wakati watu tunafahamu kua Chechen ni sehemu ya Russia Sasa iweje Tena Chechen iwe nchi inayomsapoti urusi?hapo mshikaji aliwaingiza watu chaka.kwa kweli nilipoona koment yake hiyo nilicheka sana.jamaa alichemka.ha ha ha haa.

Ila sio yeye TU kuchemka ,wapo wengine walisema Urusi si lolote si chochote inategemea askari wa kukodiwa wa kampuni wa Wagner.
Ha ha haa.
 
Of course ni sehem ya Russian Federation. Ile kauli yake ya "Russia ana Chechnya na Beralus" kama nchi zinazompa ushirikiano ni kama mtu aseme Tanzania ana Arusha na Uganda pekee kama nchi zinazo muunga mkono. A very nonsensical claim kutoka kwa mchambuzi "konki" wa team nanhi.

Jamaa ambae hajui hata geography ya Russian federation, ila anajua kila kinachoendelea Moscow, kwa kifupi anajua hadi idadi ya "kunguni" kwenye godoro la Mzee Putin.

🤣🤣🤣

Mswahili kama mswahili, mpatie muhtasari tu taarifa ataandika mwenyewe.
Ha ha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.yule mshikaji
Ujuaji ulipitiliza.
 
Silaha za USA zikitekwa na Urusi,USA roho inamuuma sana.
Anaona kapata bonge la hasara.

Warusi wanaendelea kujitwalia TU silaha za USA na wajinga wengine.
Mpaka OP hii iishe Urusi atakua na tech ya silaha za nchi zote za NATO.
Haha nawaza. Lee.

Russian troops capture German Leopard & US Bradley.
Several videos have surfaced on social media showing the Russian soldiers seizing and driving trophy Western equipment
Russian troops capture German Leopard & US Bradley

Russian soldiers in Ukraine have seized several Western-made pieces of heavy equipment in recent days, a series of videos published on social media has shown. The clips show Moscow’s troops driving a trophy US-made Bradley infantry fighting vehicle and trying to start a German Leopard 2 battle tank.
The soldiers speak about starting its engine and driving it back to the Russian positions. The heavy armor in the footage appears to be unharmed but abandoned by Ukrainian forces. No visible damage to the tank can be seen.

According to Soloviev, the Western equipment piece was also seized by the Russian troops and was subsequently made operational again.

Earlier this week, Russian media reported that Moscow’s troops managed to seize a Bradley IFV and safely deliver it to the Russian positions and then to the rear in late November. According to the Russian RG newspaper, Russian forces had already destroyed dozens of the US-made IFVs but their wreckage mostly remained on the battlefield.

Russian President Vladimir Putin said in summer that captured Western weaponry, such as BFVs, would be “reverse engineered” to adopt any military technology that might be useful to Moscow. According to RG, a detailed study of the captured Bradley could help Russian engineers to improve radio electronic combat systems, making all other US-made IFVs more susceptible to them. The study of the equipment piece’s armor would also make it easier for the troops to hit them, the paper added.

Western media reported as early as July that Moscow’s forces had already knocked out around a third of all Bradley IFVs supplied to Kiev by Washington by that time.
 
Back
Top Bottom