Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Putin keshabanwa mbavu, wenzake hata habari ya nuclear hawana, yeye linakimbilia hiyo misilaha why? hii inanikumbusha ugomvi wa shule ya msingi unapigana na mwenzio mkono kwa mkono uvyoanza mzidi nguvu mwenzio unashangaa katoa wembe. ndicho Putin anachofanya sasa keshaona umoja wa NATO hauwezi iwe jua iwe mvua. Huu ukichaa wake unaenda icost dunia kiuchumi vibaya sana.
Feb27 2022
 
Naandika kwa herufi kubwa. KIUHALISIA PUTIN AMESHINDWA NA NI AIBU KUBWA SANA. RUSSIA SIO SUPER POWER KIHIIIIVYO KAMA ILIVYOAMINIKA. ILIKUWA TU OVERRATED. Hii vita imeonyesha udhaifu mkubwa sana kwa Russia.

Nimeshangaa sana kuona Russia hana sophisticated satellites kwa ajili ya Ku track vikundi vya adui zake, yaani amekuwa anatafuta adui kama vita vyetu vya kiAfirica vita vya kuviziana atakayekuwahi. Nimeshangaa eti amelalamika kuwa huenda USA anatumia Drone kuelekeza adui mipango ya vikosi vya Russia. Na kama ni kweli basi hiyo ni credit kubwa kwa USA
Sijui alieandika hapa 27 Feb 2022 kama anajua Urusi anachowafanyia NATO wote pamoja na kaka Yao Marekani kama kuunguza satellite zao.
 
[emoji298][emoji298]in the morning, Russians launched 19 Kh-101 and Kh-555 cruise missiles at Ukraine - air defense forces managed to destroy 14 missiles, Air Force spokesman Yuryi Ignat reported

Join our telegram channel for more videos - link in comments



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tuliwaambia URUSI hana utani, wakaja PRO-NATO wa BUZA na kelele za kusema URUSI hana vifaa na amepigwa vibaya.
Kinachondelea UKRAINE nia BALAA. Tuombe wamalize tofauti zao kwa mazungumzo na sio kwa Vita. Vita ni mbaya sana, nimeona sehemu URUSI wamesema kutokana na propaganda zinazoenezwa kuwa askari wao wengi wameuawa sasa wanataka kuwaonesha kile kitu halisi kinachoitwa kipigo.
Kweli propaganda zilikua nyingi mno,lkn Dubu kapindua zote.
 
Tukiwaambia mna mihemko kama nyumbu mnatuona wakorofi..,na hii mihemko imeanza kurejea siku za hivi karibuni., ngoja zelensiky aendelee kuwachakaza Ili tuone mtakuja na ngonjera gani nyingine!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hamas mlimpa kichwa ila kilichotokea unakijua. Ukraine is too small to stand against moscow
 
Norfolk imekwisha agiza Ton 50,000 za Mafuta ghafi toka Urusi na hizo Ton zimesafirishwa na Meri ya Mizigo ya Ujerumani.
Wiki hii Putin alisema milango ipo wazi kwa wawekezaji na Wafanyabiashra hata wa Magharibi sababu Urusi ni kitovu cha Gas Dunia nzima.
Chanzo Fox news.
Norfolk ni base ya Kijeshi ya Marekani.
 
Urusi Amekabidhi Kichinjio cha Ndege Vita za Marekani F16 Kwa jeshi lake
20231208_152750.jpg



RAF receive 40N6 misl. for S400 system agst. 🇺🇸F16 fighters

When the system works with the A50U long-range radar detection aircraft, such misl. can hit targets over the horizon from the launcher at a long range & attack 🇺🇦 aircraf after their takeoff from airfields
Izvestia
 
MANENO YAMEKUWA MENGI, UKRAINE INAHARIBIWA KILA SIKU, NATO, EU, UN na USA Muda wote wanakaa vikao na hawaji na option ya kumpiga URUSI. Hii vita nimekubali kuwa kwenye VITA hakuna wa kumtishia URUSI duniani.
Anayeona kuna nchi inamuweza MRUSI, apeleke jeshi UKRAINE au atangaze kufunga ANGA LA UKRAINE kwa niaba ya UKRAINE.
Tuache ushabiki maandazi, URUSI ni mnyama.
Hapa mwamba ulitisha
March 1 2022
 
⚡Defense forces continue assault operations on the Melitopol and Bakhmut directions, while holding the line on the other directions.⚡
 
Kushikwa pabaya sio tatizo, lkn jeshi Mrusi ataweza kuhimili vita hivi kwa miezi mitatu au zaidi ijayo. Uchumi umeanguka, silaha ambazo ndio zilikuwa zinamfanya awe Super power namb mbili duniani ndio hizo zinazidi kutumika kujilinda, askari wanakufa, wanajeruhiwa, wanatekwa nk. Wakati Mrusi akipanga namna ya kutumia silaha zaidi ili a win mapambano, Mmarekani na washirika wake wao wanatumia muda huo kuendelea kuunda silaha mpya, kukuza uchumi wao, na kujizatiti zaidi kwa ajili ya vita vya serious vinavyoweza kutokea huko mbele. Sio hivi vya mtoto na baba au vita ya paka na panya.
March 1 2022
Hali halisi ni kinyume na mwamba ulivoandika.wanaoishiwa silaha ni NATO.uchumi wa Urusi bado imara ila wa west umwdorola,askari wa Ukraine ndio waliotekwa kwa wingi,kufa kwa wingi na Urusi anazalisha silaha mara Tatu zaidi kuliko kabla ya vita.
 
Wanajeshi kufa wa Urusi lazima wave,tinachobisha na hizo western media zenu ni kuwa Warusi wanakufa wengi kuliko wa Ukraine huku kila siku wanajeshi wa Urusi wanasonga mbele na Raia wanahama Nchi.
Sasa unajiuliza kama hao wanajeshi wa Ukraine hawafi kwa kiwango hicho inakuwaje wanajeshi wa Urusi kila kukicha wanachukua mini???
Huyu mwamba hakukubaliana kabisa na propaganda
March 1 2022
 
Back
Top Bottom