mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Kafara ya Zelensk kwa vijana wake inaendelea.wanaume wanaendelea kuisha Ukraine
Ona huyuPerformance ya jeshi la anga la Urusi ni mbovu mpaka sasa, walikuwa na uwezo wa kutawala anga la Ukraine mapema kabla ya kuja kwa AD's ila walishashindwa.
Hata SEAD iliwashinda kufanya japo wana ndege nyingi kuliko Ukraine, walivamia kwa pupa bila maandalizi.
T14 Armata
AtawaoaMarch 7 2022
Propaganda bana Hadi jf.kama Ingekua Urusi Haina uzoefu kama mchangiaji hapo juu asemavyo basi Leo hii NATO wangekua Moscow na Putin the Hague.lakini ajabu Leo hii NATO wamemsusia Ukraine shughuli.
Wao wameishiwa Hela na silaha Putin ndo kwanza hajaanza vita.
Usalama wa Urusi Leo umesema Ukraine ni shimo linalomeza rasilimali za Magharibi na Raia wa Ukraine.Jeshi la urusi ni kama combine harvester shambani,mpaka siku vita inaisha Ukraine haitakua na wanaume kabisa .
Ile mahakama sijui Iko wapi wakamkamateputin akiwa Dubai
View attachment 2834694
Ni vifusiYes march 9 2022
March 13 2022Hehehhe yani nipale huyo jamaa dam yake itamwagwa ndipo na Putin ataona dunia kuna serikali katili.. watamuua pia. Trust me. Putin watamuua trust me
Nahisi Zelensiky ni spy wa Russia hili afanye kazi kuu 2.March 9 2022
Dah!
Aisee Kila silaha ilipelekwa Ukraine Hadi waliopeleka wakaishiwa.
Urusi imecheza na Kila aina ya silaha kutoka NATO.
March 13 2022Huu mwaka 2022 kabla haujaisha utashangaa msimamo wako.
1. Russian aviation will collapse soon. Hakuna spare parts wala maintenance kutoka kwa Boeing wala Airbus, tegemea ajari za ndege kuwa nyingi na kuwa unreliable. Russian made Sukhoi Superjet-100 zipo chache sana na zilinunuliwa kisiasa, wengine walionunua kina Mexico walizirudisha baada ya ajari na maintenance problems.
2. Marekani anao uwezo mkubwa wa kuzalisha mafuta, ni kitendo cha yeye kuwa na uhakika hana source ya mafuta utaona kama atazima viwanda. Ana oil rigs ziko under utilized na ana fracking technology akiwa nayo yeye tu duniani. Marekani alinunua 'dirty oil' ya Russia hili kutoacha mitambo yake dormant isiharibike, kaweka sanctions na gharama za uzalishaji kwa njia nyingine kwake ni kubwa ila sio kwamba hawezi.
3. Russia WILL NEVER survive without oil money. Hii Russia haina jeuri ya kuzima gesi kwenda Ulaya maana zaidi ya nusu ya mauzo itapotea na provided that wana vikwazo sekta nyingine.
4. Muungano wa BRICS ni irrelevant kwa Russia kwa sasa. Kina EU wana sarafu moja, sheria zinazofanana za mlaji na vitu vingi vinaendana. Ndani ya BRICS hakuna nchi itasideline na Russia na iache dunia nzima. Hakuna nchi humo kwenye BRICS eti iache kutumia SWIFT ikatumie ule mfumo wa Urusi alioanzisha February ambao hautumiki popote zaidi duniani. Hakuna nchi itaachana na VISA au MasterCard itumie UnionPay kisa Urusi.
5. Immediately mdororo wa uchumi utakuwa kwa Western. Miezi michache ijayo kama vita itaendelea au iishe ila vikwazo viendelee maumivu ya vikwazo kwa Russia yataonekana waziwazi. Hii dunia haitaki uishi mwenyewe kuna global economy nchi zinategemeana
Hii vita imemvua nguo sana na itapelekea kuharibu soko la Silaha za Urusi,maana hii ni mara ya pili ndani ya mwaka Silaha za Mrusi zinaonyesha udhaifu zidi ya Silaha za Marekani na Magharibi,mara ya kwanza ilikuwa kwenye ile vita ya mpakani kati ya Armenia na Azabaijani.
March 14 2022Hawa Warusi waliotengeneza hizi Zala KYV kamikaze drones hawako serious. Betri za lithium nyingi badala ya kuweka moja kupunguza chance ya kufeli. Hizi drones nadhani zinaongoza kudondokaView attachment 2150854View attachment 2150855
14 Feb 2022Hizo ni multi-purpose zinafungwa vifaa vya reconnaissance kama camera au vinafungwa explosives. Kanabeba mzigo wa kama kilo mbili hivi na kuzunguka angani kama lisaa na nusu. Sasa kwa utengenezaji huu wa betri za ovyo ovyo utadhani walinunua dukani. Hizi si ni kama AA size
Sio suala la ndege tu, hata silaha nyingine Urusi imegundulika ni maneno mengi vitendo hafifu. Ndio maana mwaka huu Urusi imebeba sample tofauti 250 za silaha kwenda Dubai expo wakakosa kuambulia hata kuuza kifaa kimoja. Wakati Marekani imejizolea deals kadhaa.Performance ya jeshi la anga la Urusi ni mbovu mpaka sasa, walikuwa na uwezo wa kutawala anga la Ukraine mapema kabla ya kuja kwa AD's ila walishashindwa.
Hata SEAD iliwashinda kufanya japo wana ndege nyingi kuliko Ukraine, walivamia kwa pupa bila maandalizi.
T14 Armata
March 2021.Vita vya Ukraine vinaisha keshokutwa...
BBC, wakiwakoti maafaisa wa Wizara ya Ulinzi ya Ukraine, wanasema kuwa Russia ina silaha na chakula cha wanajeshi vya kutosheleza siku zisizozidi tatu tu (leo, kesho na kesho kutwa)...
Mwambieni Zelensky hilo ni jambo jema, ngoja tusubiri mtondogoo tuone mambo yanakuwa shwari Ukraine. Na yeye sasa akae kimya aache kulilia mazungumzo na Putin
View attachment 2160072
Dah!Urusi akishinda Ukraine nitatembea uchi kwa miguu kutoka Dodoma hadi kwa wakojani Zanzibar
Nitajie nchi Tatu TU nazojua wewe ambazo ziliingia vitani na nchi nyingine zikakamata anga la nchi pinzani ili tuweze kuilinganisha na Urusi kushindwa kukamata anga la ukraine.Performance ya jeshi la anga la Urusi ni mbovu mpaka sasa, walikuwa na uwezo wa kutawala anga la Ukraine mapema kabla ya kuja kwa AD's ila walishashindwa.
Hata SEAD iliwashinda kufanya japo wana ndege nyingi kuliko Ukraine, walivamia kwa pupa bila maandalizi.
T14 Armata
Hata Warusi hawasemi haya ...Baada ya Urusi kuzimaliza hizo air defense za NATO Leo hii anga la ukraine limekua.kama anga la somalia tu
Dah ila wanajeshi wa Urusi waungwana sana,wanawatendea vizuri sana waukraine.Kafara ya Zelensk kwa vijana wake inaendelea.wanaume wanaendelea kuisha UkraineView attachment 2836934