Pitia hii makala utajifunza kitu...
A look at the Russian Navy past and present in light of the events in Ukraine.
T14 Armata
Ok Sasa nakujibu kwa kifupi sana.
Vyovyote itakavyokua juu ya jeshi la urusi.lakini Urusi ni lazima tuipe sifa za Hali ya juu mno.
Kumbuka hapo awali Urusi ilipojua USSR ilikua sawa na USA kijeshi.
USSR ila ikavunjika ikaibuka Russia federation.
Rf ilikua dhofuli Hali ilikua dhifu Kila sekta kwa sababu ule uwezo wake wote kwa Kila sekta ulipungua na kwenda sehemu nyingine zilizojitenga.
Kwa mfano Kuna majimbo yaliondoka na viwanda vya silaha na viwanda vya kawaida,Kuna majimbo yaliondoka ya sehemu ya silaha muhimu,mfano navy,ndege na hata vifaaa vyavjeshi la ardhini,mengine yaliondoka na lada mifumo ya ulinzi wa anga na mengine vifaa vingine vyav kijeshi.
Mfano Kuna jamhuri ilibahatika kubaki naKu eneo la kurushia vyomo viendavyo anga la mbali.
Ndio maana Leo unaona nchi kama Ukraine,beralus,Moldova,uzebakistan,Tajikista, Azerbaijan,Kyugistan,Lithuania,Estonia,Latvia,Armenia n.k Zina majeshi na silaha zao.kwa taarifa Yako silaha zao asilimia kubwa ni zile zilizokua za USSR.
Mbali na mtawanyiko huo wa silaha na vifaa vya kijeshi vya landforce, airforce na navy pia usisahau kua hata wataalamu,wanasayansi,wagunduzi,wavumbuzi,wabunifu ,great thinkers,askari Bora kabisa kutoka jamhuri zilizojitenga ambao mwanzo walikua ni sehemu ya USSR waliiathiri pakubwa sana Urusi.
Hivyo Urusi hii ilibaki dhaifu sio kama ilivyokua USSR.
Hali ilikua ngumu kwa miaka takriban 20.
Kwa muktadha huo ilipitwa na USA na hata washirika wengine wa USA akina UK na wengineo.
Lakini ndugu yangu ndio maana mwanzo nimekuambia tuipe heshima yake Urusi.
Urusi imeweza kupiga comeback ya karne.urusi imejengwa na inalijenga upya jeshi lake na uchumi wake na kurudi kua ndani ya kumi Bora kiuchumi duniani,na kurudi kua na jeshi namba moja duniani(hutaki juu Yako).
Urusi imeweza kuwadhibiti NATO wote na wasio NATO Kawa mara moja Kwa pamoja.
Usijaribu kabisa kufananisha Urusi na china na USA.
Hao wawili china na USA hawajapitia changamoto aliyopitia urusi.inawezekana USA na china zikisambaratika inawezekana zisirudi tena.(inawezwkana).
Fikiria mashindano ya riadha USA na Russia.
Fikiria wote wako mbele halafu Urusi anateleza na kuanguka anaumia,anaamka,anajishika alipoumia ,ananza kuchechemea kisha anapata nguvu,anaongeza Kasi hatimae anachanganyq,kisha anamfikia USA aliefika mbali.je hapo huoni kama Urusi ni mwanariadha wa ajabu?
Tafakari.