Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wao wanaamini kua USA ndio Kila kitu lkn ukweli sivyo.kuna maeneo mengi TU imezidiwa na Russia.
Kibaya zaidi, hata hizo silaha duni za US bado ni ghali sana ukilinganisha na silaha zenye ubora wa juu za Russia.

Oparesheni hii isipokwisha mapema (ambalo ndilo lengo la Putin), inakwenda kufichua madhaifu mengi ya US na washirika wake.
 
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]

[emoji298][emoji298]The Defense Forces eliminated another 1,090 Russian invaders, destroyed 14 enemy tanks in Ukraine on December 14.[emoji298][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hii ni Jana tu, zaidi ya elf Moja walichinjwa 🥱🥱🥱🥱🥱
1702626654806.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mwamba Amesema tena Kwa Msisitizo
Lugansk , Donetsk, Kherson na Zaporozhye Ni Raia wa Urusi na Anasema Utawala wa Ukrein na Wengineo wamsikilize kwa umakini Kuwa Haitakuja Kutokea Tena Raia hao kuwa Ukrein kwanjia yeyote ile watake wasitake
pia Kasisitiza Kuwa Kama mazungumzo ya Amani Kamwe hayata husu Majimbo hayo kama wanataka Kuzungumza
 
mimemwelewa sana huyu bwana inabidi wakimbizane na maridhiano ya amani haraka kabla hajaongeza mengine mengi mana wanavyochelewa ndiovyo yanachukuliwa mengine.
 
mimemwelewa sana huyu bwana inabidi wakimbizane na maridhiano ya amani haraka kabla hajaongeza mengine mengi mana wanavyochelewa ndiovyo yanachukuliwa mengine.
Kweli kabisa, kiburi Cha zelensky kukataa mazungumzo ya kuleta amani ndio kinapelekea Ukraine kupoteza majimbo mengi.
Siku atakapokua tayari Kwa maongezi itakua imebaki Kiev peke yake😅😅😅😅🤣🤣🤣
 
Kweli kabisa, kiburi Cha zelensky kukataa mazungumzo ya kuleta amani ndio kinapelekea Ukraine kupoteza majimbo mengi.
Siku atakapokua tayari Kwa maongezi itakua imebaki Kiev peke yake😅😅😅😅🤣🤣🤣
kutakuwa hamna m=nchi tena manake nae poland ana mipango yake ya kumega eneo akiona limeliwa sana nae ataanza kuchukua mwisho hamna nchi.
 
Hii ni Jana tu, zaidi ya mia Tisa walichinjwa 🥱🥱🥱🥱
 
Attachments

  • 1702721674065.jpg
    1702721674065.jpg
    91 KB · Views: 13
Rais Macron wa France amesema kwa sasa Ukraine kujiunga kwenye umoja wa ulaya - EU ni haiwezekani. Ni sawa na ndoto ya mchana.

Amesema labda EU wabadili sheria zao kabisa ndio Ukraine inaweza kujiunga EU

Hapo juzi Waziri mkuu wa Hungary - Viktor Oban, na yeye alitoa kauli kama hii, lakini watu wakashindwa kumuelewa.

Link:

View: https://youtu.be/5zijYzH2qTI?si=mQp17mqgGsrKuuwx
 
🇬🇧Great Britain may send troops to Ukraine in case of a catastrophic development of the war — Vadym Prystaiko

The former Ukrainian ambassador to London commented on one of the arguments used by Ukraine to justify the need for assistance - "if you don't help Ukraine now, your children will sooner or later be at war with Russia."

When asked under what conditions this scenario could occur, Prystaiko answered without elaborating: "Catastrophic development of the war... Continuation of the occupation."

Join our telegram channel for more videos - link in comments

#
 
Back
Top Bottom