Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Zelensky evacuated as Kinzhal missiles strike Patriot system near Kyiv.

Russia's effective missile strike on Kyiv's military infrastructure forced Volodymyr Zelensky to escape to Wiesbaden. The Armed Forces of Ukraine admitted to Russia's Kinzhal missile attacks on targets in Kyiv.
hatakiwi kuishi kwa amani huyo........akimbilie US kwa usalama wake tu
 
Hamas waficha silaha zao hospitali
Israeli ina haki ya kushambulia popote ambapo patatumika kuwashambulia!
..


This is a crime against humanity!

Hamas hid weapons inside incubators at the Kamal Adwan hospital in Gaza.

View: https://t.me/hnaftali/7087

ona nawe umepaniki hadi unakuja kutuwekea habari za hamas huku
leta habari za zeleboy
 
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo 😇😇😇


⚡⚡The Defense Forces of Ukraine eliminated 1,090 Russian troops, destroyed 44 enemy tanks in the past day.⚡⚡
 
Hii ni Jana tu, zaidi ya elf Moja walichinjwa 🥱🥱🥱🥱
 

Attachments

  • 1702888141874.jpg
    1702888141874.jpg
    91.7 KB · Views: 16
MILITARY OPERATION IN UKRAINE
18 DEC, 14:28
Russian army takes strategic stronghold near Kamensk without losses — commander

MOSCOW, The Russian army has stormed a Ukrainian stronghold in the area of Kamensk in the Zaporozhye Region, the commander of a small arms company of snipers (call sign Ali)

"As a result of an assault in the Kamensk area in the Zaporozhzhye Region we managed to capture a strategically important stronghold of the Ukrainian army without a single loss. The task was to take the stronghold and it was accomplished. The guys did a great job," the company’s commander has said.

Fierce fighting for the stronghold lasted for 24 hours.

"We managed. The enemy lost at least 10 men and various military equipment," he added.
 
MILITARY OPERATION IN UKRAINE
18 DEC, 06:18
Ukrainian forces lose up to 100 servicemen on southern Donetsk direction in 24 hours

"In addition, the enemy lost 3 automobile vehicles, 9 long-term firing points and up to 100 militants as killed or injured," Battlegroup East spokesman Alexander Gordeyev said

MOSCOW, Ukrainian forces lost up to 100 servicemen on the southern Donetsk direction in the past 24 hours, Battlegroup East spokesman Alexander Gordeyev told
 
Zile mbwembwe za UK kumpresurise Putin zimekwisha😂😂
Hii smo ya Urusi au vita Kwa Ukraine wakati inaanza pro NATo wote waliona kama huu ndio mwisho wa Putin na mwisho wa Urusi.
Lkni kwa kweli Hali imekua kinyume na matarajio Yao.
Vikwazo vilikua vinamiminwa Kila uchao kwa mbwembwe na madaha ya Hali ya juu sana. Lakini mwamba wa Moscow wala hakua na wasiwasi,Leo hii vikwazo vipya inaonekana kama vioja TU.
Au kwa lugha nyingine vikwazo ni kama kujipiga risasi ya mguu wao wenyewe.
 
Hii smo ya Urusi au vita Kwa Ukraine wakati inaanza pro NATo wote waliona kama huu ndio mwisho wa Putin na mwisho wa Urusi.
Lkni kwa kweli Hali imekua kinyume na matarajio Yao.
Nchi za magharibi hawakujua Putin kadhamiria kufanya nini, wakaingia kwa pupa na mavikwazo yao kumbe mwamba kajiandaa kuwadhuru kipindi kirefu.

Kitachofuata baadhi ya nchi wanachama wa NATO na EU watalazimika kukataa kuendelea kuburuzwa na US kama tunavyoshuhudia kwa Hungary.

Sitashangaa baadhi yao wakiomba kujinga BRICS miaka ijayo.
 
Wanajutia maamuzi waliyochukua; hesabu zao walipiga vibaya. Badala ya Putin/Urusi kudhoofika, ameimarika zaidi.
Hapana Mkuu,USA na NATO yake hawakupiga vibaya hesabu zao,Bali walizipiga vizuri sana,Tena sana,yaani vita na vikwazo.
Kwa kweli hakuna nchi ingechomoa hapo.
Lakini ukweli ni huu,ukisikia mtu ana akili ndio hapo,yaani mtu anakupigia hesabu sahihi kabisa za kukumaliza na anakuwekea na mitego yote anahakiki hesabu zake na kubaini kua hutoboi,lakini Kwa akili kubwa aliyonayo huyo anaepigiwa hesabu nae anapiga hesabu za juu zaidi ya maadui wake na kisha anaweza kupangua mitego Yao na kuwashinda mahasimu wake.ukisikia akili ndio hiyo.kwa kawaida Hali hiyo ndio kipimo Cha mtu kua na akili zaidi ya maadui zake.
Kwa kifupi ukimpigia hesabu za kummaliza yeye anapiga hesabu Kali zaidi juu ya yako ili kushinda hujuma.hizo ndio huitwa akili za ziada.
 
Hapana Mkuu,USA na NATO yake hawakupiga vibaya hesabu zao,Bali walizipiga vizuri sana,Tena sana,yaani vita na vikwazo.
Kwa kweli hakuna nchi ingechomoa hapo.
Lakini ukweli ni huu,ukisikia mtu ana akili ndio hapo,yaani mtu anakupigia hesabu sahihi kabisa za kumaliza na anakuwekea na mitego yote anahakiki hesabu zake na kubaini kua hutoboi,lakini Kwa akili kubwa aliyonayo huyo anaepigiwa hesabu nae anapiga hesabu za juu zaidi ya maadui wake na kisha anaweza kupangua mitego Yao na kuwashinda mahasimu wake.ukisikia akili ndio hiyo.kwa kawaida Hali hiyo ndio kipimo Cha mtu kua na akili zaidi ya maadui zake.
Kwa kifupi ukimpigia hesabu za kumaliza yeye anapiga hesabu Kali zaidi juu ya yako ili kushinda hujuma.hizo ndio huitwa akili za ziada.
Asante mkuu.
 
Kusema kweli Hali ya fedha kwa nchi za NATO juu ya Ukraine imekua tete sana.hii inapelekea kupungua kwa misaada ya silaha na fedha.

Wakati huohuo nchi iliyochimbiwa kaburi ili izikwe yenyewe Haina hata shida bado Iko salama salmini.
Kama USA inalia hivi vipi chawa wake?
Wana Hali Gani?

Pentagon to run out of funds for Ukraine on December 30 — Bloomberg

NEW YORK, December 18. /TASS/. The Pentagon has warned that its ability to help Kiev will be exhausted on December 30, unless US Congress approves additional funding for Ukraine, Bloomberg reported, citing a letter by US Under Secretary of Defense Mike McCord.
 
Japo hamna kiongozi wa Urusi aliesema jeshi lake lingeishinda Ukraine ndani ya siku 3 ila uhalisia unaanza kuonekana kwamba bila support ya magharibi huenda kweli hii vita ingeisha ndani ya siku 3
Screenshot_20231219-191032~2.png
 
Hapana Mkuu,USA na NATO yake hawakupiga vibaya hesabu zao,Bali walizipiga vizuri sana,Tena sana,yaani vita na vikwazo.
Kwa kweli hakuna nchi ingechomoa hapo.
Lakini ukweli ni huu,ukisikia mtu ana akili ndio hapo,yaani mtu anakupigia hesabu sahihi kabisa za kukumaliza na anakuwekea na mitego yote anahakiki hesabu zake na kubaini kua hutoboi,lakini Kwa akili kubwa aliyonayo huyo anaepigiwa hesabu nae anapiga hesabu za juu zaidi ya maadui wake na kisha anaweza kupangua mitego Yao na kuwashinda mahasimu wake.ukisikia akili ndio hiyo.kwa kawaida Hali hiyo ndio kipimo Cha mtu kua na akili zaidi ya maadui zake.
Kwa kifupi ukimpigia hesabu za kummaliza yeye anapiga hesabu Kali zaidi juu ya yako ili kushinda hujuma.hizo ndio huitwa akili za ziada.
Silaha ya kwanza ya marekani ni vita, ya pili ni vikwazo Sasa unapoingia confrontation na marekani jianda na hiyo equation uipata jibu wee kamzingue tu utasavive
 
Back
Top Bottom