Kibaya zaidi, hata hizo silaha duni za US bado ni ghali sana ukilinganisha na silaha zenye ubora wa juu za Russia.Wao wanaamini kua USA ndio Kila kitu lkn ukweli sivyo.kuna maeneo mengi TU imezidiwa na Russia.
mimemwelewa sana huyu bwana inabidi wakimbizane na maridhiano ya amani haraka kabla hajaongeza mengine mengi mana wanavyochelewa ndiovyo yanachukuliwa mengine.Mwamba Amesema tena Kwa Msisitizo
Lugansk , Donetsk, Kherson na Zaporozhye Ni Raia wa Urusi na Anasema Utawala wa Ukrein na Wengineo wamsikilize kwa umakini Kuwa Haitakuja Kutokea Tena Raia hao kuwa Ukrein kwanjia yeyote ile watake wasitake
pia Kasisitiza Kuwa Kama mazungumzo ya Amani Kamwe hayata husu Majimbo hayo kama wanataka Kuzungumza
Kweli kabisa, kiburi Cha zelensky kukataa mazungumzo ya kuleta amani ndio kinapelekea Ukraine kupoteza majimbo mengi.mimemwelewa sana huyu bwana inabidi wakimbizane na maridhiano ya amani haraka kabla hajaongeza mengine mengi mana wanavyochelewa ndiovyo yanachukuliwa mengine.
kutakuwa hamna m=nchi tena manake nae poland ana mipango yake ya kumega eneo akiona limeliwa sana nae ataanza kuchukua mwisho hamna nchi.Kweli kabisa, kiburi Cha zelensky kukataa mazungumzo ya kuleta amani ndio kinapelekea Ukraine kupoteza majimbo mengi.
Siku atakapokua tayari Kwa maongezi itakua imebaki Kiev peke yake😅😅😅😅🤣🤣🤣
Jangili bado unakaza fupa la kichwa 😂Hii ni Jana tu, zaidi ya mia Tisa walichinjwa 🥱🥱🥱🥱