Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🚨Update: Russian Forces reported and confirms the destruction of a NATO operation center in Starokonstantinov, Ukraine, by a Kinzhal hypersonic missile strike!!

Initial reports are that Ukrainian suffered 28 casualties and NATO lost at least 12 officers!!

The Ukrainian forces have given no statement and has disabled communication in the region!! The US and NATO are directly involved in Ukrainian combat operations against Russia now in Ukraine!!
 

Attachments

  • IMG_20231216_221320.jpg
    9.6 KB · Views: 14
Director wa Mossad, alipoulizwa atoe opinion yake kuhusu President Putin.... anasema kwamba, Putin ni:

1. Very intelligent
2. Very calculated - he calculates everything before actions
3. He knows his calculus very well
4. Very serious person
5. Hatanii anapotaka kufanya mambo yake


Link:


View: https://youtu.be/i1YhhVVX_04?si=Z2_pzUt8pOeORNGN
 

Walikuwa wamejificha kwenye bunker...
 
Hii ni Jana tu, zaidi ya elf Moja na miambili 🥱🥱🥱🥱
 

Attachments

  • 1702805548928.jpg
    91.6 KB · Views: 13
Urusi Kaja na Drone Inayo Chimba Na Kufukua Wanao jificha chini ya Bunker

Hii Drone Ukiwa Chini Mita 10 Ujue Unalo kitu ikifika Inakufukua kama Viazi Mviringo!



Russian anti-bunker FPV drones with thermobaric grenades with TBG-7V "Tanin" (ТБГ-7В «Танин») shells.

Such munitions ensure the defeat of living forces in open terrain within a radius of 10 metres and indoors with a volume of up to 300 m3.

The Ukrainian soldiers sitting in dugouts, houses and bunkers can only feel sorry for themselves.
 
kutakuwa hamna m=nchi tena manake nae poland ana mipango yake ya kumega eneo akiona limeliwa sana nae ataanza kuchukua mwisho hamna nchi.
Yaani kwa kweli zelensky ameingizwa kwenye matatizo kwa sababu ya tamaa za kijinga za kutaka kujiunga na NATO,wakati Putin alimuambia awe nyutro,yaani asiwe upande wa Urusi wala NATO lkn kw upofu akaona NATO ndio Bora,wakati ukimuuliza mtu NATO kazi yake ni Nini atakuambia ni kukabiliana na Urusi.
Kwa hiyo zelensky kwa kung'ang'ania kua upande wa NATO maana yake kachagua kua adui wa urusi,Sasa Urusi atamwacha kweli?
 
Hajakosea hata neno moja huyo jamaa wa Mossad,ni kweli kabisa Putin Yuko hivyo,Tena kaongea kwa uchache sana.
 
MILITARY OPERATION IN UKRAINE
17 DEC, 15:41
Russian forces destroy Ukrainian command post, hit HIMARS launcher over past day

MOSCOW, The Russian Armed Forces destroyed the command post of the 47th mechanized brigade of the Armed Forces of Ukraine, a HIMARS MLRS launcher, as well as aircraft fuel depots, the Russian Ministry of Defense said.

"Operational-tactical aviation, unmanned aerial vehicles, missile forces and artillery of groupings of troops of the Russian Armed Forces destroyed the command post of the 47th mechanized brigade of the Armed Forces of Ukraine.
 
Russian air defense shot down two MiG-29, Su-25, 91 drones over day
Two HIMARS MLRS shells and a JDAM guided munition were also intercepted, the Ministry of Defense added

MOSCOW, December 17. Over the past 24 hours, Russian air defense systems shot down two MiG-29 aircraft, one Su-25, and 91 unmanned aerial vehicles (UAVs) of the Ukrainian Armed Forces, according to the Russian Ministry of Defense.
 
Zelensky evacuated as Kinzhal missiles strike Patriot system near Kyiv.

Russia's effective missile strike on Kyiv's military infrastructure forced Volodymyr Zelensky to escape to Wiesbaden. The Armed Forces of Ukraine admitted to Russia's Kinzhal missile attacks on targets in Kyiv.
 
Kimeumana 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…