whitemoney
JF-Expert Member
- Nov 9, 2023
- 1,200
- 2,572
hatakiwi kuishi kwa amani huyo........akimbilie US kwa usalama wake tuZelensky evacuated as Kinzhal missiles strike Patriot system near Kyiv.
Russia's effective missile strike on Kyiv's military infrastructure forced Volodymyr Zelensky to escape to Wiesbaden. The Armed Forces of Ukraine admitted to Russia's Kinzhal missile attacks on targets in Kyiv.
Hamas waficha silaha zao hospitali
Israeli ina haki ya kushambulia popote ambapo patatumika kuwashambulia!
..
This is a crime against humanity!
Hamas hid weapons inside incubators at the Kamal Adwan hospital in Gaza.
View: https://t.me/hnaftali/7087
Sounds great.Russia cannot, like some countries, give up its sovereignty and be someone’s satellite in exchange for sausage - Putin.
Tunamhitaji sana zelensiky hapo Kyiv,Ili aendelee kumtia adabu dikteta Putinhatakiwi kishi kwa amani huyo........akimbilie US kwa usalama wake tu
Hii smo ya Urusi au vita Kwa Ukraine wakati inaanza pro NATo wote waliona kama huu ndio mwisho wa Putin na mwisho wa Urusi.Zile mbwembwe za UK kumpresurise Putin zimekwisha😂😂
Nchi za magharibi hawakujua Putin kadhamiria kufanya nini, wakaingia kwa pupa na mavikwazo yao kumbe mwamba kajiandaa kuwadhuru kipindi kirefu.Hii smo ya Urusi au vita Kwa Ukraine wakati inaanza pro NATo wote waliona kama huu ndio mwisho wa Putin na mwisho wa Urusi.
Lkni kwa kweli Hali imekua kinyume na matarajio Yao.
Hapana Mkuu,USA na NATO yake hawakupiga vibaya hesabu zao,Bali walizipiga vizuri sana,Tena sana,yaani vita na vikwazo.Wanajutia maamuzi waliyochukua; hesabu zao walipiga vibaya. Badala ya Putin/Urusi kudhoofika, ameimarika zaidi.
Asante mkuu.Hapana Mkuu,USA na NATO yake hawakupiga vibaya hesabu zao,Bali walizipiga vizuri sana,Tena sana,yaani vita na vikwazo.
Kwa kweli hakuna nchi ingechomoa hapo.
Lakini ukweli ni huu,ukisikia mtu ana akili ndio hapo,yaani mtu anakupigia hesabu sahihi kabisa za kumaliza na anakuwekea na mitego yote anahakiki hesabu zake na kubaini kua hutoboi,lakini Kwa akili kubwa aliyonayo huyo anaepigiwa hesabu nae anapiga hesabu za juu zaidi ya maadui wake na kisha anaweza kupangua mitego Yao na kuwashinda mahasimu wake.ukisikia akili ndio hiyo.kwa kawaida Hali hiyo ndio kipimo Cha mtu kua na akili zaidi ya maadui zake.
Kwa kifupi ukimpigia hesabu za kumaliza yeye anapiga hesabu Kali zaidi juu ya yako ili kushinda hujuma.hizo ndio huitwa akili za ziada.
Pamoja comradeAsante mkuu.
SMO goals expanded
Silaha ya kwanza ya marekani ni vita, ya pili ni vikwazo Sasa unapoingia confrontation na marekani jianda na hiyo equation uipata jibu wee kamzingue tu utasaviveHapana Mkuu,USA na NATO yake hawakupiga vibaya hesabu zao,Bali walizipiga vizuri sana,Tena sana,yaani vita na vikwazo.
Kwa kweli hakuna nchi ingechomoa hapo.
Lakini ukweli ni huu,ukisikia mtu ana akili ndio hapo,yaani mtu anakupigia hesabu sahihi kabisa za kukumaliza na anakuwekea na mitego yote anahakiki hesabu zake na kubaini kua hutoboi,lakini Kwa akili kubwa aliyonayo huyo anaepigiwa hesabu nae anapiga hesabu za juu zaidi ya maadui wake na kisha anaweza kupangua mitego Yao na kuwashinda mahasimu wake.ukisikia akili ndio hiyo.kwa kawaida Hali hiyo ndio kipimo Cha mtu kua na akili zaidi ya maadui zake.
Kwa kifupi ukimpigia hesabu za kummaliza yeye anapiga hesabu Kali zaidi juu ya yako ili kushinda hujuma.hizo ndio huitwa akili za ziada.