jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Taratibu mtaelewa tu
Mbinu iliyotumika Ukraine miaka kadhaa nyuma ya maidan ya kumuondoa Rais alie chaguliwa kidemokraisia kwa njia maandamano ya halaiki.Mchawi lugha
Wamagharib wanafitna sana
Huyu ni waziri Mkuu wa Slovak ambayo ni nchi mwanachama wa NATO anatoa kauli hii Kwa kua Yuko well informed na vyombo stahiki kabisa vya nchi yake na NATO.Taratibu mtaelewa tuView attachment 2853298
ProvedTaratibu mtaelewa tuView attachment 2853298
Kwa sbabu Gani Mkuu asiichukue kama miji mingine aliyoichukua ,hebu nipe darasa hapa nimepitwa kidogo.Sijuhi atauchukua kuwa sehemu ya Russia? Ama ataishikilia kwa muda.
Umeshahamia Sasa kwenye kuichoka vita,baada ya kukatishwa tamaa na counteroffensive uliyoisubiri hamu na kuitegemea kwa matumaini makubwa.![]()
‘We’re tired of being good girls’: Russia’s military wives and mothers protest against Putin
Female-led movements are challenging the official narrative that mobilised troops are required for war against Ukrainewww.google.com
Warusi wamevichoka Vita vya Putin
Hii mbinu cia kaitumia Sana kuangusha serikali ambazo ziko tofauti na maslahi ya marekani Ila Safari hii zimego ga mwamba.Huyu ni waziri Mkuu wa Slovak ambayo ni nchi mwanachama wa NATO anatoa kauli hii Kwa kua Yuko well informed na vyombo stahiki kabisa vya nchi yake na NATO.
Lakini utavikuta vijamaa humu vi pro NATo vinapata habari zao YouTube vinakuambia Russia ni dhaifu haiwezi kupigana sijua na nchi Gani sijui.
Maneno meengi utadhani vifanya mazingaombwe.ooh Russia Russia is overrated,mara wanajeshi wake walevi,mara wameiba chakula supermarket,mara wameperform poor vitani,mara ooh Ukraine peke yake wanaitoa jasho Urusi.
Sasa huyo ni PM wa Slovak na Slovak ni NATO member.
Ila nachoshukuru Mungu majibu yote yamepatikana katika smo hii.hakuna Cha kudanganyana Tena na insha ndeeeefu.
Nakuambia safari hii USA wameingiza kichwa kwenye shimo la nungunungu.Hii mbinu cia kaitumia Sana kuangusha serikali ambazo ziko tofauti na maslahi ya marekani Ila Safari hii zimego ga mwamba.
Counter offensive imeshindwa kufikia malengo na sababu tulishaziweka humu.Umeshahamia Sasa kwenye kuichoka vita,baada ya kukatishwa tamaa na counteroffensive uliyoisubiri hamu na kuitegemea kwa matumaini makubwa.
Pole rafiki.
Kurudi wapi mkuu wakati siku za mbeleni hakutakuwa na nchi itakayoitwa UkraineSijuhi atauchukua kuwa sehemu ya Russia? Ama ataishikilia kwa muda.
Kwanza Urusi walikua bado hawajashitukia ujanja wa wamarekani wa kupindua serikali za Marais waliokua wakiwachukia.VITA VYA LIBYA NA NATO!
Nashindwa kupata majibu kwa nini Uongozi wa Urusi ulikubali kupinduliw a Serikari za Libya, Iraq, wakati WALIKUWA friendly countries na Urusi?
Maana Sasa nashuhudia Urusi akiwadhibiti hawa Wanafiki ambao walituhaminisha kuwa West ndio kila kitu.
Tena namshukuru Mungu nimeona ubabe wa Urusi kabla sijafa, maana propaganda zilituhaminisha uongo.