Kiendelee kuwaka tu mamaeee mpaka waite maji mumaUsiku waleo Kimewaka Tena Ukrein
Aisee mambo sio mazuri side BNaona hawaongelewi kabisa! Ila preghozin yupo Africa. Wala hakufa.
inatakiwa iitwe kivu na siyo kievLeo kimewaka huko! Angalia makombora yaliyopenya na yaliyotunguliwa! Hii ni wao wenyewe!
Russia unleashes missile, drone attacks across Ukraine.
Russia unleashes a further wave of missile and drone strikes across a number of regions in Ukraine Monday with at least four civilians killed in the latest attacks.
Ukraine said its air defences had destroyed 18 out of 51 missiles, a much lower shoot-down rate than normal which Kyiv attributed to the large number of ballistic missiles fired by Russia.
They are more difficult to intercept, air force spokesman Yuriy Ihnat said on Ukrainian television. All eight drones launched by Russia were also shot down.
Yaleo ipo wapi mkuu.Hii ni Jana tu, zaidi ya mia nane walichinjwa 🥱🥱🥱View attachment 2866425
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Russia wala hawana haraka. ....zile mbwembwe za EU zimeanza kupungua😂😂........ zelensky anazidi ku sacrifice raiaTunazidi kuwachinjaView attachment 2867092
Hiyo ni mwaka Jana,yaani 2023,vipi mwaka juzi yaani mwaka 2022?Tunazidi kuwachinjaView attachment 2867092
Najiuliza zile AD zimefunguliwa kule ukraine ama zimezimwa?Usiku waleo Kimewaka Tena Ukrein