Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Warusi ni noma Sana , wajerumani hawana hamu nao. Kuna drones zinapaa juu ya anga la mafunzo ya kijeshi ya waukreani huko ujerumani Kwa muda sasa. Walijaribu kutumia jamming hawakuona ndani. Wakaunda jopo la wataalam wa kuzishughulikia lakini mpaka leo hawajui zinatoka wapi ni za nani, pia wameshindwa hata kutungua moja tu Kwa njia yoyote ile.
🤦‍♂️ Moscow is to blame again

For more than a year Germany has been trying to find out whose drones are flying over the training areas of the German and Ukrainian militaries. The German newspaper Bild writes.

The Bundeswehr itself, which has set up a special group to combat these drones, believes that Moscow is "behind it", although there is no evidence of this and not a single drone has been intercepted.

@ukraine_watch
 
[emoji2357] Moscow is to blame again

Nawambiga Urusi kupigana na NATO ulinganifu wake ni Kama RWANDA NA BURUNDI WAKIPIGANA VITA HAKUNA MSHINDI ILA RWANDA ATASABABISHA HASARA KUBWA . HAPA RWANDA NI RUSSIA
 
Hii ni Jana tu, zaidi ya mia nane walichinjwa 🥱🥱🥱🥱
1704630654077.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Warusi ni noma Sana , wajerumani hawana hamu nao. Kuna drones zinapaa juu ya anga la mafunzo ya kijeshi ya waukreani huko ujerumani Kwa muda sasa. Walijaribu kutumia jamming hawakuona ndani. Wakaunda jopo la wataalam wa kuzishughulikia lakini mpaka leo hawajui zinatoka wapi ni za nani, pia wameshindwa hata kutungua moja tu Kwa njia yoyote ile.
[emoji2357] Moscow is to blame again

For more than a year Germany has been trying to find out whose drones are flying over the training areas of the German and Ukrainian militaries. The German newspaper Bild writes.

The Bundeswehr itself, which has set up a special group to combat these drones, believes that Moscow is "behind it", although there is no evidence of this and not a single drone has been intercepted.

@ukraine_watch
Kama hivi

Anga la Kyiv limekua linalindwa na Air Defence systems za west lakini bado hazijaweza kudhibiti Kyiv isishambuliwe. Anga la Ukraine ni moja ya anga ambazo zinalindwa na advanced air defence systems katika bara la ulaya.

Kyiv kuna American Patriot systems ikiwa na state-of-art missiles kama;

-PAC-2 GEM (Guidance Enhanced Missile) version;
-PAC-2 in the GEM-Cruise version (GEM-C);
-PAC-2 in the GEM-Tactical version (GEM-T);
-PAC-3 in the "economic" version of the Cost Reduction Initiative (CRI);
-PAC-3 Missile Segment Enhancement (MSE) version.
Yote hayo kwa ajili ya kupambana na ndege za kivita, drones na ballistic missiles.
View attachment 2861250

Lakini pia Kyiv inalindwa na IRIS-T anti-aircraft systems za wajerumani.
View attachment 2861249
Pia kyiv inalindwa na SAMP/T medium-range anti-aircraft and anti-missile defense systems (Mamba), hii ni kazi iliyotokana na ushirikiano wa wafaransa na waitaliano.
View attachment 2861251

Bila kusahau NASAMS systems na post-Soviet S-300MS na Buk-1M anti-aircraft and anti-missile systems.

Kyiv pia inalindwa na anti aircraft guns kama Bofors za wasweden
View attachment 2861256

Na bila kusahau Gepard za wajerumani.
View attachment 2861257
Kyiv pana na "mwamvuli" wa air defence ndio maana ili kuweza kuzimudu, Russia anafanya mashambulizi makubwa sana ya anga kiasi kwamba ADs hazitaweza kuyamudu.

Kyiv kulikua na viwanda kwa ajili ya ammunitions lakini pia kulikua na kiwanda kwa ajili ya drones ambazo recently Ukraine walikua wanaendelea kutengeneza.

Russia kwa kujua kwamba Kyiv kuna "mwamvuli" wa ADs, nadhani ilibidi achanganye ballistic missiles, cruise missiles, drones na hypersonic missiles ili kuweza kulenga targets zake.

Kuna ripoti nimeona wanasema mojawapo ya maeneo yaliyolengwa ni maeneo yenye miundombinu ya kijeshi, warehouse iliyokua inahifadhi makombora kwa ajili ya Patriot systems na silaha nyingine za msaada kutoka west, na position 2 za NASAMS zilikua targeted pia.

Kutokana na "mwamvuli" uliopo Kyiv, Russia ilimbidi kufanya largest aerial attack ili kuweza kuhit target zake ndio maana kulikua na ndege nyingi zilizoenda kushambulia kwa waves za makombora.

Kuna ripoti iliandika kwenye msafara huo kulikua na Tu-95MS strategic bombers kutoka Olenya base kila moja ikiwa na makombora ya CH-101 strategic air-to-ground cruise missile, na CH-55 subsonic air-launched cruise missile, zikaungana na Tu-95MS aircraft kutoka Engels Air Base.

Tu-22M3 strategic bombers kutoka Shaykovka air base zikajiunga nazo zikiwa zimebeba Kh-32 hypersonic maneuvering missiles. Kulikua na Mig-31 ambaye anabeba Kinzhal.

The bomber aviation of the 4th Guards Air Army wakiwa na Kh-31P and Kh-59 missiles walijoin pia n.k.

Lengo ni kuhakikisha wanaweza kuupenya ule "mwamvuli" wa air defence zinazoilinda Kyiv ili waweze kuhit target zao, na wamefanikiwa.
kuna watu mnachambua vizuri sana.mtu hauchoki kusoma👍👍
 
Nimebakia page chache kabla sijaanza kwenda sawa na huu uzi pendwa
Jf walikua wananikatili sana majamaa walinipiga bench la hatari kabisa kabla sijasaidiwa na pro nato dada@Nyamizi kuendana na unavyotaka uzi
Ukraine hawezi akataka f35 mbele ya f16 mzee
F35 ni moja ya ndege mbovu kuwahi kutokea kule Usaf kwanza ndege imetumia mapesa tele ila haina lolote ndege kila siku zinaangushwa na upepo zile
F16 mnyama kwambali ila kwa bahati mbaya inaenda kupotezwa vibaya na mwamba
Kwasasa njia pekee yakuikoa ukraine na anguko inayoenda kuipata nikuipatia tu Nyuklia no moo!
Halaf nlijichanganya kumbe wanawapa f16 sio 22
Hamna maajabu hapo bora wawapelekee toys
Ni sahihi
 
Back
Top Bottom