lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
US anatumia vita vya nje ili kuficha matatizo yake ya ndani. Pili, nani anafaidi zaidi katika vita hivyo? Military-industrial complex.Huu mzozo wa ushirika wa US na UK kushambulia Sanaa kule Yemen haiwezi leta mzozo wa kikanda? Njua Mataifa haya yana uchumi mkubwa na Nguvu kubwa ya kijeshi , lakini Wana rasilimali zao Middle East zawezwa lengwa kwa ugaidi na kusababisha hasara kwa wakandarasi wao au base zao za Kijeshi.
Nyie MNAONAJE? Vipi USA atajigawa ktk mizozo yote hii yaani UKRAINE na Middle East na Taiwan? Anatafuta kuaribu UCHUMI wa US na UK.
Kwa mkazo mkubwa sanaNaitia nguvu komenti ya jameshyela
EU needs Russia more than we need them – Putin
The leading economies of Western Europe are experiencing “difficult times,” Russia’s president says
EU needs Russia more than we need them – Putin
Russia has shown true resilience by not bowing to foreign pressure, President Vladimir Putin said on Wednesday. He stated that Russia is a “self-sufficient country,” whose economy is growing despite the sanctions, while EU member states are living through “difficult times.
Saizi Us kila anakoenda anabarikiwa na kipigo tuHuu mzozo wa ushirika wa US na UK kushambulia Sanaa kule Yemen haiwezi leta mzozo wa kikanda? Njua Mataifa haya yana uchumi mkubwa na Nguvu kubwa ya kijeshi , lakini Wana rasilimali zao Middle East zawezwa lengwa kwa ugaidi na kusababisha hasara kwa wakandarasi wao au base zao za Kijeshi.
Nyie MNAONAJE? Vipi USA atajigawa ktk mizozo yote hii yaani UKRAINE na Middle East na Taiwan? Anatafuta kuaribu UCHUMI wa US na UK.
Baada ya hapo kipigo kinaendelea tu kuwaelemea Wala Vita ilianzia cremia na itaishia cremia hatusikii tenaTutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56]
[emoji298][emoji298]The Ukrainian Defense Forces have eliminated 840 Russian invaders over the past day.
That’s according to the General Staff of Ukraine’s Armed Forces.
In total, from February 24, 2022 to January 12, 2024, Russian losses amounted to 368,460.
VIDEO OF THE DAY
Also, Ukraine’s forces destroyed 6,060 enemy tanks (+10 in the past day), 11,254 (+16) armored fighting vehicles, 8,710 (+11) artillery systems, 957 MLR systems, 642 (+1) air defense systems, 329 warplanes, 324 helicopters, 6,836 (+1) [emoji298][emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Naona wamepoteana mazima.Baada ya hapo kipigo kinaendelea tu kuwaelemea Wala Vita ilianzia cremia na itaishia cremia hatusikii tena
Kama anaeongoza kutoa kipigo watu wake wanakufa hivyo.Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56]
[emoji298][emoji298]The Ukrainian Defense Forces have eliminated 840 Russian invaders over the past day.
That’s according to the General Staff of Ukraine’s Armed Forces.
In total, from February 24, 2022 to January 12, 2024, Russian losses amounted to 368,460.
VIDEO OF THE DAY
Also, Ukraine’s forces destroyed 6,060 enemy tanks (+10 in the past day), 11,254 (+16) armored fighting vehicles, 8,710 (+11) artillery systems, 957 MLR systems, 642 (+1) air defense systems, 329 warplanes, 324 helicopters, 6,836 (+1) [emoji298][emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mie nahisi kuwa baada ya vikwazo vyao kushindwa, wanatafuta namna ya kurejesha uhusiano na Russia.Tajiri hanuniwi.
US Reopens Ports to Russian Oil Despite Sanctions
The United States has imported Russian oil for the first time since April 2022. The imports, totaling 36,800 barrels in October and 9,900 barrels in November, were conducted for $2.7 million and $749,500, respectively.
Itakuwa mistake tu, saizi ukitaka upite salama Red sea uwe Mrusi au Mchina. Imefikia hatua baadhi ya meli zinajaza crew majority ya wachina na viashiria vinavyo itambulisha meli kuwa ya wachina ili wapite pale salamaBREAKING: HOUTHIS TARGET RUSSIAN OIL TANKER
Houthis reportedly launched an attack on a Russian oil tanker in the Red Sea.It's unclear if they aborted the missile strike when they realized who they were attacking.Allegedly, this is the second Russian oil tanker mistakenly targeted by the Houthis.
Source: Reuters
Itakua bahati mbaya ama kuna watu wanataka kutia fitnaBREAKING: HOUTHIS TARGET RUSSIAN OIL TANKER
Houthis reportedly launched an attack on a Russian oil tanker in the Red Sea.It's unclear if they aborted the missile strike when they realized who they were attacking.Allegedly, this is the second Russian oil tanker mistakenly targeted by the Houthis.
Source: Reuters
Wala hatutafika huko kuwapiga kama ngoma,Bali wakiona wakiona mfadhiri kakata moto watainua mikono juu.Sasa Rasmi Ukraine tunaenda kupiga Kama ngoma baada ya US kukimbia uwanjani
Friendship ended with Ukraine US confirms Ukraine military supplies have stopped
Mbona akina ujeremani na ufaransa walishaanza siku nyingi!wakakemewa na uingereza.Mie nahisi kuwa baada ya vikwazo vyao kushindwa, wanatafuta namna ya kurejesha uhusiano na Russia.