Anga la Kyiv limekua linalindwa na Air Defence systems za west lakini bado hazijaweza kudhibiti Kyiv isishambuliwe. Anga la Kyiv ni moja ya anga ambazo zinalindwa na advanced air defence systems katika bara la ulaya.
Kyiv kuna American Patriot systems ikiwa na state-of-art missiles kama;
-PAC-2 GEM (Guidance Enhanced Missile) version;
-PAC-2 in the GEM-Cruise version (GEM-C);
-PAC-2 in the GEM-Tactical version (GEM-T);
-PAC-3 in the "economic" version of the Cost Reduction Initiative (CRI);
-PAC-3 Missile Segment Enhancement (MSE) version.
Yote hayo kwa ajili ya kupambana na ndege za kivita, drones na ballistic missiles.
View attachment 2861250
Lakini pia Kyiv inalindwa na IRIS-T anti-aircraft systems za wajerumani.
View attachment 2861249
Pia kyiv inalindwa na SAMP/T medium-range anti-aircraft and anti-missile defense systems (Mamba), hii ni kazi iliyotokana na ushirikiano wa wafaransa na waitaliano.
View attachment 2861251
Bila kusahau NASAMS systems na post-Soviet S-300MS na Buk-1M anti-aircraft and anti-missile systems.
Kyiv pia inalindwa na anti aircraft guns kama Bofors za wasweden
View attachment 2861256
Na bila kusahau Gepard za wajerumani.
View attachment 2861257
Kyiv pana na "mwamvuli" wa air defence ndio maana ili kuweza kuzimudu, Russia anafanya mashambulizi makubwa sana ya anga kiasi kwamba ADs hazitaweza kuyamudu.
Kyiv kulikua na viwanda kwa ajili ya ammunitions lakini pia kulikua na kiwanda kwa ajili ya drones ambazo recently Ukraine walikua wanaendelea kutengeneza.
Russia kwa kujua kwamba Kyiv kuna "mwamvuli" wa ADs, nadhani ilibidi achanganye ballistic missiles, cruise missiles, drones na hypersonic missiles ili kuweza kulenga targets zake.
Kuna ripoti nimeona wanasema mojawapo ya maeneo yaliyolengwa ni maeneo yenye miundombinu ya kijeshi, warehouse iliyokua inahifadhi makombora kwa ajili ya Patriot systems na silaha nyingine za msaada kutoka west, na position 2 za NASAMS zilikua targeted pia.
Kutokana na "mwamvuli" uliopo Kyiv, Russia ilimbidi kufanya largest aerial attack ili kuweza kuhit target zake ndio maana kulikua na ndege nyingi zilizoenda kushambulia kwa waves za makombora.
Kuna ripoti iliandika kwenye msafara huo kulikua na Tu-95MS strategic bombers kutoka Olenya base kila moja ikiwa na makombora ya CH-101 strategic air-to-ground cruise missile, na CH-55 subsonic air-launched cruise missile, zikaungana na Tu-95MS aircraft kutoka Engels Air Base.
Tu-22M3 strategic bombers kutoka Shaykovka air base zikajiunga nazo zikiwa zimebeba Kh-32 hypersonic maneuvering missiles. Kulikua na Mig-31 ambaye anabeba Kinzhal.
The bomber aviation of the 4th Guards Air Army wakiwa na Kh-31P and Kh-59 missiles walijoin pia n.k.
Lengo ni kuhakikisha wanaweza kuupenya ule "mwamvuli" wa air defence zinazoilinda Kyiv ili waweze kuhit target zao, na wamefanikiwa.