Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,615
- 5,798
sana mimi nishaifuta naiona haina maana alafu wahusika hawalitolei ufafanuzi toka watu wameanza kulalamika mi nimeona ni dharau.Wanao Tumia JF App Hii Thread Inasumbua Sana Kufunguka
Tumieni Brws
Kumbe wazungu wa west wanawaogopa Warusi kiasi hiki.
View attachment 2893648
Niliwambia kuwa mpaka mwezi huu ukiisha Avdivka isipoanguka wanikate kichwa[emoji23][emoji23][emoji23]Avdivka imeanguka tayari Russia go ahead more.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Awamini kama wametoka salama kwenye mji wa Avdivka
Sasa huyo kizee atakumbuka kweli...?Tunakumbushana maneno ya biden aliyoyatamka mwaka 2021, alimwambia putin atapata jibu la hatari ikiwa itatokezea navalny atafia gerezani
mwaka 2024 , navalny anafia gerezani
Biden warns Putin ahead of summit: Navalny's death would hurt Russia's standing
Alexei Navalny's death "would be another indication that Russia has little or no intention of abiding by basic fundamental human rights," said Biden.www.cnbc.com