PD_Magumba
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 721
- 2,228
Dah! Uchoki tu mpaka leo?Huenda kwa njia ya picha huamini,nakupa update kwa maandishi[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji298][emoji298]Ukraine's defense forces eliminated about 385,230 Russian invaders between February 24, 2022 and January 31, 2024, including 1,090 in the past 24 hours alone.
The General Staff of the Armed Forces of Ukraine said this in a posat on Facebook, Ukrinform reports.
[/color]
Tukisema wewe hujitambui usikasilike.
Kwa mjibu wa post zako kwenye huu uzi tunaweza pata total ya zaidi ya milioni mbili ya warusi walio uawa na Ukraine force.
Inakuwaje unaamini kiasi kidogo hivyo kuliko uhalisia wako?
Taarifa yenyewe ya facebook lakini unakomaa tu.