lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Watu kama Hawa Huwa wanakua Ma spy.Kumbe wazungu wa west wanawaogopa Warusi kiasi hiki.
View attachment 2893648
Ingawa amesema kweli kuhusu Warusi.
Watu kama Hawa Huwa wanakua Ma spy.Kumbe wazungu wa west wanawaogopa Warusi kiasi hiki.
View attachment 2893648
Imeenda?Avdeevka
bado ila jamaa wana hali ngumu kwa taarifa zilizotoka saa moja lililopitaImeenda?
Pengine sisi hatujui ila mwenzetu anaweza akadhania yupo holiwudi ujuemuda ni mwalimu mzuri sana ndio shida ya kumpa nnchi msanii kila mda anajua anaigiza
Kumbe wazungu wa west wanawaogopa Warusi kiasi hiki.
View attachment 2893648
Njia ya reli iliyobaki nayo imekatwa kwa iyo usambazaji wa hata chakula ni inshu.njia pekee iliyobaki ni kukimbia mji kwa miguu.bado ila jamaa wana hali ngumu kwa taarifa zilizotoka saa moja lililopita
SawaNaam, takriban mianane na kumi walilambishwa mchanga Jana 🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱View attachment 2894986
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kipanya44 bado tu una imani na lowassa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naam, takriban mianane na kumi walilambishwa mchanga Jana 🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱View attachment 2894986
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukisoma michango mbali mbali ya wachangiaji toka special operation inaanza, ungeshajua majibu ya maswali yako.Naomba wajuzi mnieleweshe Jambo hapa.
Hivi Taifa la Ukraine litabadirishwa Jina baada ya kumegwa ama litasalia na Jina mama?
2, Nani analipa mishahara Serikari ya UKRAINE maana nasikia kila kitu ni misaada. Je wawezaje endesha Serikari kwa misaada?
3 , Je Kuna uwezekano wa Jeshi kumpindua Zelensiky?
Kantalamba singidani paleIvi zile F-16 zimeishia kijiji gani maana hatujapewa bado mrejesho[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngojea aje ajibu T14 Armata maana alisema zitaja badili mwelekeo wa SMO [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ivi zile F-16 zimeishia kijiji gani maana hatujapewa bado mrejesho[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie sio mjuvi ila ntaelezea kwa uchache kutokana na baadhi ya vita zilizopiganwa nyuma na matokeo yake ya baada ya vita ambayo ndio huamua mwenendo mzima wa taifa fulaniNaomba wajuzi mnieleweshe Jambo hapa.