Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Kuziamini MSM ni aina nyengine ya kukosa akiliHii inafanana na Iraq inamiliki silaha za maangamizi ya halaiki,na Colin Powell waziri wa mambo ya nje mbele ya kikao Cha UN akaonesha kichupa Cha mfano wa sumu aliyokua nayo
Iraq.
Iraq ikavamiwa na Sadam akanyongwa wala hawakupata hata sumu ya panya.
Raia wa USA na Europe wanaambiwa Kila siku Ukraine is winning.hadi watu wamegundua kua Ukraine is loosing.
Hizo ni kazi za MSM.
Ambazo wewe ndio unaziamini.
Mifumo ya ulinzi wa anga ya USA ya Patriot zilipoletwa Kwa mara ya kwanza Ukraine Warusi walipozipiga na khinzal hypersonic missile,USA wakasema hakuna mfumo wowote wa Patriot uliopigwa ila wataalamu wataichukua na kwenda kuifanyia matengenezo kwa sababu imeharibika.(sasa sijui iliharibiwa na Nini).
Silaha za Urusi zinatengenezwa kwa vipuri kutoka washing machine kwa sababu hawana tech.
Urusi imeishiwa silaha imebakiza za wiki Tatu TU.
Putin anaumwa sana atakufa wakati wowote.
Nadhani USA ndio miungu kwa sababu Mungu TU ndio hua hasemi uongo.
USA na west,north Korea is poor country,wakati imewekewa vikwazo.
Basi Kuna yule mwamba nilikua namjibu yeye anaziamini balaa.Kuziamini MSM ni aina nyengine ya kukosa akili
MSM sio zakuziamini yaani uamini kitu kwakukiona kwa MSM pekee ujue umelishwa matango pori
Anapotea maana hizo sio za kuaminiBasi Kuna yule mwamba nilikua namjibu yeye anaziamini balaa.
Leta na Ukraine loss ya janaHii ni Jana tu, zaidi ya mia Tisa walichinjwa 🥱🥱🥱View attachment 2888314
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Dah kwa takwimu hizi Russia hana jeshi tena!Ni takriban elf Moja walichinjwa Jana 🥱🥱🥱🥱View attachment 2890587
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mi nilishasema hapa ukifuatilia takwimu za kipanya ni dhahiri aliebaki Urusi ni Lavrov na Medvedev tuDah kwa takwimu hizi Russia hana jeshi tena!
Waache wapelekwe wakafyagiweKuna mgogoro unaendelea kati ya Zelensky na Mkuu wa majeshi - Valery Zaluzhny.
Sababu kubwa ya mgogoro huu ni kitendo cha Zelensky kutaka kufanya new mobilization ya wapiganaji (waende wakauliwe), wakati yeye Zaluzhny hataki mobilization, anataka Zelensky afanye political decision ya kumaliza hii vita kwa sababu haoni Ukraine ikishinda, hata pamoja na hiyo Mobilization
Jumatatu wiki hii, Zelensk alimtaka Zaluzhny ajiuuzulu. Jamaa kamkatalia na anaendelea na majukumu yake kama kawaida.
CNN wanasema kwamba;
Zelensky set to announce dismissal of Ukraine’s top commander within days as rift grows over war, source says
Link:
wanamchora tuu kwa mbalii ajikanyage wapae nae asiwaleyee ujingaWaache wapelekwe wakafyagiwe
Suala la wanasiasa kuingilia mambo wasio yajua
Yaani mwana siasa tena mchekeshaji anabishana na mwanajeshi tena ndio mkuu wa majeshi
Khatma ya ukraine mbaya ila khatma ya Elensky mbaya zaidi
Ha ha haa,nafikiria TU kizembe,pale zelensky atakapomchagua CDF mwingine halafu huyu wa Sasa akagoma,Tena akaungwa mkono na makamanda na wanajeshi watiifu na yule mpya akabaki na makamanda wake na wanajeshi watiifu kwake kisha Kila mtu akachagua Chaka lake.Kuna mgogoro unaendelea kati ya Zelensky na Mkuu wa majeshi - Valery Zaluzhny.
Sababu kubwa ya mgogoro huu ni kitendo cha Zelensky kutaka kufanya new mobilization ya wapiganaji (waende wakauliwe), wakati yeye Zaluzhny hataki mobilization, anataka Zelensky afanye political decision ya kumaliza hii vita kwa sababu haoni Ukraine ikishinda, hata pamoja na hiyo Mobilization
Jumatatu wiki hii, Zelensk alimtaka Zaluzhny ajiuuzulu. Jamaa kamkatalia na anaendelea na majukumu yake kama kawaida.
CNN wanasema kwamba;
Zelensky set to announce dismissal of Ukraine’s top commander within days as rift grows over war, source says
Link:
Na watamfyeka kweliwanamchora tuu kwa mbalii ajikanyage wapae nae asiwaleyee ujinga
Aisee...!!!Ni takriban elf Moja walichinjwa
CIA wapo macho pale kiev, zelensky ni vigumu kupinduliwa bila ya kupita baraka za MarekaniHa ha haa,nafikiria TU kizembe,pale zelensky atakapomchagua CDF mwingine halafu huyu wa Sasa akagoma,Tena akaungwa mkono na makamanda na wanajeshi watiifu na yule mpya akabaki na makamanda wake na wanajeshi watiifu kwake kisha Kila mtu akachagua Chaka lake.
Aisee!! zelensky kajimaliza.
Ndio maana Zelensiky alituma watu waweke vinasa sauti kwenye Office ya General Zaluznhy. Bahati nzuri General ana watu wakamstua mapema.Kuna mgogoro unaendelea kati ya Zelensky na Mkuu wa majeshi - Valery Zaluzhny.
Sababu kubwa ya mgogoro huu ni kitendo cha Zelensky kutaka kufanya new mobilization ya wapiganaji (waende wakauliwe), wakati yeye Zaluzhny hataki mobilization, anataka Zelensky afanye political decision ya kumaliza hii vita kwa sababu haoni Ukraine ikishinda, hata pamoja na hiyo Mobilization
Jumatatu wiki hii, Zelensk alimtaka Zaluzhny ajiuuzulu. Jamaa kamkatalia na anaendelea na majukumu yake kama kawaida.
CNN wanasema kwamba;
Zelensky set to announce dismissal of Ukraine’s top commander within days as rift grows over war, source says
Link:
Mind you Waukraine wanechoshwa na vita hii na hata Marekani yenyewe. General akiamua watu watamfuata.CIA wapo macho pale kiev, zelensky ni vigumu kupinduliwa bila ya kupita baraka za Marekani