mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,106
- 3,158
Vuta subra kidogo,hawa west wapenda LIWATI tuwape funzosiku hivi vita vikaisha nitafurahi sana. Naomba Mungu hivi vita viishe.
Vuta subra kidogo,hawa west wapenda LIWATI tuwape funzosiku hivi vita vikaisha nitafurahi sana. Naomba Mungu hivi vita viishe.
Heheeee [emoji3][emoji599][emoji635] President Putin: "The only thing we can regret is that we did not start our active actions in Ukraine earlier, believing that we were dealing with decent people."
Hawa majamaa hawana akili hata kidogo wapuuzi hawa
Inabidi Vita icheleweshwe sababu lengo la Putin halijakamilika la kupunguza thamani ya Dora na kupaisha uchumi wa Urusi sambamba na kuidharilisha US na NATO yake na kwa Sasa hakuba asiyejua kuwa ubora wa silaha zao ni ktk media ila ground ni zero.Heheeee [emoji3]
PUT IN hua ananikera sana huyu bwana awatie tactical nyuklia pale kivu tuone wanavyo tapa tapa wale magaidi ya kinazi anawachekea sana
PUT IN roho yake nzuri ndio inayomponza huyu bwana
Naona DW wanatoa taarifa kinyonge sana!!
Kiev bado tu au ndio imefanywa ya mwisho
Una moyo mgumu sana kiukweliNaam, ni zaidi ya elf Moja walichinjwa Jana 🥱🥱🥱🥱