Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nilikua nasoma reports za MSM kuhusu Urusi kuichukua Adviika, Ukraine inaishiwa wapiganaji(kwa mujibu CDF wao ratio ni 10 to 1), mbaya zaidi waukraine wengi hawataki kujitolea kupigana kama awali, pia ukraine isipopata msaada tena toka US, haina miezi mitatu ya kupigana zaidi, watasurrender na Kuafiki masharti ya Urusi.

Kuna somo kubwa sana kuhusu hii vita katika personal life. Ni ujinga kuanzisha vagi na jirani huku ukitegemea msaada wa mtu mwingine.
 
Nimevutiwa sana na neno "vagi"katika andiko hili.
Hii imenikumbushaiaka mingi sana.
Asante kwa hilo.
 
Nilikua nasoma reports za MSM kuhusu Urusi kuichukua Adviika, Ukraine inaishiwa wapiganaji(kwa mujibu CDF wao ratio ni 10 to 1), mbaya zaidi waukraine wengi hawataki kujitolea kupigana kama awali, pia ukraine isipopata msaada tena toka US, haina miezi mitatu ya kupigana zaidi, watasurrender na Kuafiki masharti ya Urusi.

Kuna somo kubwa sana kuhusu hii vita katika personal life. Ni ujinga kuanzisha vagi na jirani huku ukitegemea msaada wa mtu mwingine.
Sijui zele alichemka wapi...... ingawa waafrica inasemekana hatuna akili.....but Huwa hatuwezi anzisha vagi na jirani

Ila tunaishi nae kinafki[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Zelensky ameitishia US kwamba kama isipompa hela, ataacha kuwaona kama washirika wake kwenye hii vita.

Anasema yeye kwa sasa anataka hela.

Zelensky will cease to consider the United States a strategic partner of Ukraine if Congress does not agree on the allocation of new aid to them.

View attachment 2907559
Kawa Mchaga sasa
 
Nilikua nasoma reports za MSM kuhusu Urusi kuichukua Adviika, Ukraine inaishiwa wapiganaji(kwa mujibu CDF wao ratio ni 10 to 1), mbaya zaidi waukraine wengi hawataki kujitolea kupigana kama awali, pia ukraine isipopata msaada tena toka US, haina miezi mitatu ya kupigana zaidi, watasurrender na Kuafiki masharti ya Urusi.

Kuna somo kubwa sana kuhusu hii vita katika personal life. Ni ujinga kuanzisha vagi na jirani huku ukitegemea msaada wa mtu mwingine.
Duu umenikumbusha Neno Vagi la Mwaka 1996
 
Naam, ni zaidi ya elf Moja walichinjwa Jana 🥱🥱🥱🥱
1708272470889.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Key points from Putin on gas supplies to Europe in interview with journalist Zarubin:

🔻Today's policy of the German authorities is causing colossal damage to the future economy of the FRG.

🔻European countries hoped that if they did not take Russian gas, Russia would collapse, but irreversible processes are beginning to occur for them.

🔻Russia does not refuse energy resources to anyone, and the Turks have proven to be the most reliable partners.

🔻Let European countries decide for themselves whether to take Russian gas or not; Russia will manage without them.

🔻Russia copes after Europe stopped taking Russian gas, using other routes, and working on its own gasification.

🔻Ukraine receives money for gas transit; they say that Russia is the aggressor, but they still collect the money.
 
Wanajeshi wa Ukraine walianza kuukimbia mji wa Adviika bila kusubiri (order) amri ya General Aleksandr Syrsky.

Baada ya tukio hilo Gen Aleksandr Syrsky na Rais Zelensky wakajitia kutoa amri ya kuondoa wanajeshi wakati walishatimua mbio kuepuka vifo na kuzungukwa.

Tukio hili linaonyesha wanajeshi wa Ukraine hawana imani na kiongozi mpya wa jeshi Gen Aleksandr Syrsky.
 
Kuna yule mlima mbilimbi sijui yukwapi kwa sasa maana alisema Warusi wana majenerali wazee,wanatumia mbinu za kizamani na wana vifaa vya kizamani.😂😂😂😂😂

Leo hii sijui atatuambia nini kwa kinachoendelea🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
Kahamia kwenye mgogoro wa mashariki akiwa mnazi wa IDF
 
Avdiivka, Ukraine FALLS to Russian Army - "Complete Rout"​

FEBRUARY 2024
Once considered impregnable, the KEY city for Ukraine defense, Avdiivka, the most heavily fortified city on the entire planet, has fallen to the Russian Army. Avdiivka has been conquered in what observers say is a "complete rout" of the Ukraine Army.

Within hours, the bloodiest battle of the 21st century (so far) will be over.
For those who have not kept up on developments in the Russian Special Military Operation (SMO), Avdiivka is the place from which the Ukrainian Army has shelled the civilians of Donetsk City for TEN YEARS!
There are going to be lots of tactical, strategic, and political implications from this that we will see over the next days and weeks.

There are reportedly very FEW Ukrainian defenses behind Avdiivka; the Ukrainians put all their eggs into one basket, counting on the deep Soviet-era nuclear bunker system, and defenses built since the end of the civil war to make it "impregnable."
ALL of those defenses have failed and the Russian Army now controls the city.
(HT Remark: Remember how CNN and Bloomberg crowed endlessly that cutting Russia off from SWIFT was like using a Nuclear Weapon, and that there was no way Russia could survive that? Here we are, two years later, and now, there is no way for UKRAINE to survive!)
This is a developing story . . . check back for updates.
UPDATE
Confirmation video of Russian soldiers under a main highway bridge in the city of Avdiivka:

View: https://x.com/hy3ze0_m/status/1758453024425390556?s=20

Russian troops in Avdiivka City Park:

View: https://x.com/hy3ze0_m/status/1758549457304510590?s=20

Ukrainians SURRENDERING en-masse:

View: https://x.com/AlTopeyPunto/status/1758620216731267302?s=20
 
Dah!
Hii ni mbaya sana Kwa Ukraine,USA na EU.achilia mbali NATO.nimesoma wanajeshi 1500 wa Ukraine wameuliwa kwa siku moja!.na wale waliokua wakikimbia katika magri ya kivita wamekua wakipigwa na drone.huruma aisee.
Zelensky anaua vijana wa Ukraine.
 
Back
Top Bottom