Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Naam, ni zaidi ya mia nane walichinjwa Jana
Kanali MacGregor yeye aamini kuwa Ukraine katika mwezi huu wa Februari pekee imepoteza wanajeshi 49,000.

Na hiyo ni nyongeza ya wanajeshi kati ya 300,000 na 350,000 wanofikiriwa wamekufa tangu SMO ya Russia ianze.

Kwahiyo idadi kamili tangia vita ianze ya vifo vya majeshi ya Ukraine hadi kufikia leo yaweza kuwa imezidi 400,000.

Ukraine imepoteza wanajeshi wake wengi kwenye "counter offensive" ambayo walipeleka askari wengi ambapo walikumbana na ngome imara ya majeshi ya Russia ilioundwa na mabomu ya kutega, vifaru na UAVs.

Ukraine ilikuwa yapoteza wastani wa wanajeshi wapatao 1500 kwa siku.

Hivyo Ukraine isingeweza kuilinda Adveevka na ndo maana wakaamua kukimbia (wao waita kujiondoa).
 
Mbona hawaeleweki?
Uwezo wa kuingiza jeshi la USA na NATO Ukraine upo lakini ni kwa maslahi ya nani?

Hapo ndipo wanapokwama.

Pili, raia wa Marekani na Ulaya sasa hivi wameelewa uzuri ile video ya mahojiano ya Putin na Carlson hivyo yawawia vigumu sana mataifa ya NATO na Marekani kutengeneza hoja sahihi ya malengo ya vita na namna ya kutoa msaada zaidi.
 
Sasa naelewa kwanini West walitumia mbinu nyingi kuzuia mahojiano yasifanyike.
 
Richard naamin NATO walishafanya majaribio ya kupeleka majeshi yao na wakafeli. Sio kweli kama baadhi yao walivyosema jana eti hawana mpango.

Hakuna cha F16, 22 sijui 35. Mwamba Russia kesha wavuruga NATO.


Kidogo nimejikumbusha uchambuzi wako wa July 2023
 
Kinachomponza Russia katika hii vita ni kupigana kwa huruma akiwaona Ukraine kama ndugu zake/damu yake.

Angemuiga mmarekani au Muisrael sasa hivi angekuwa anatawala eneo lote la Ukraine kwa namna alivyo na pesa za kuendesha vita,silaha za kivita,wingi wa idadi ya wanajeshi na ujasiri.

Hii vita Russia aliipanga vizuri kabsa na alijua namna nchi za magharibi zinavyomtegemea pindi wakiweka vikwazo.
 
Huu ndio ukweli.
Ni ubinadamu tu wa-Russia, lakini Russia akiamua kutumia full capacity, ni within 72 hours anaifuta NATO na Ukraine pale UKRAINE.

Russia ni kiboko yao wale wakupindwa
 
Yuko sawa mkuu,unajua akipigana Kwa kukamia,wanajeshi wengi watakufa,ndio maana anaenda slow but sure. Kwamba in case NATO wakijaribu kuingia Ukraine,awe ana man power yakuwakabili,hapo ndipo ataanza vita sasa.
 
Majibu ya hilo swali yapo wazi mbona!

Yugoslavia waliepeleka majeshi ya NATO.

Iraq walipeleka,

Afghanistan walipeleka,

Libya walipeleka,

Ukraine hawawezi kupeleka ndugu.
Huko ni kama watoto wa shule kuchokonoa mzinga wa nyuki.
 
West has failed to isolate Russia – Lavrov
The country has friends who refuse to take orders from Western elites, the top diplomat said

Attempts by the US and its allies to impose economic and diplomatic isolation on Russia have failed, partly due to support from Moscow’s genuine friends around the world, Foreign Minister Sergey Lavrov has said.

Speaking at a meeting of the International Russophile Movement on Tuesday – the second such event hosted by Moscow, bringing together supporters of Russia including government officials from 130 countries – the foreign minister told participants that they have helped to counter Western pressure.

”Russia in fact has many true time-tested friends around the world, including in the US and Europe. They not only show an interest in us, but share the values that we promote, which all world religions and civilizations have in common,” Lavrov said.

”It seems natural that the destructive line of Western elites to isolate Russia, including in the global informational and cultural spaces, and the general drive to ‘cancel’ everything even remotely connected to our nation have suffered a complete failure,” he added.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…