RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,731
- 11,470
Acha atafute hakuna ubaya, Ingawa BBC source yake ya haabari imekua wahindi nasio warusi.
Ana hali mbaya sana kisiasa nchini kwake.tokea mzizi wa uchumaji mali za bara la afrika kupunguzwa urefu huyu bwana mdogo bado akili yake haijakaa sawa sawa.
=========
Macron says that French troops will be sent to Ukraine if the Russian Army advances towards Odessa or Kiev
Ha ha haa,Msimuue, mpaka aje Moscow kwa magoti kuomba usitisgwaji mapigano.
inasemekana ukitaka kukaa salama from hasira za mwamba huko ukraine kaa karibu na zele, putin's words- we will not kill zeleMsimuue, mpaka aje Moscow kwa magoti kuomba usitisgwaji mapigano.
Vijana wanatoroka wanakamatwa, wanarejeshwa na kupelekwa front wakafie huko 😂, naitizama hii video najiuliza hao jamaa (hilo kundi la watu wanaotoroka kutoka Ukraine) wapo karib 34 inakuaje ni wengi haswa ila ajabu wanakamatwa na watu wa 4 tu na wao wanakubali yaishe kiroho safi au ndio kutii mamlaka kwenyewe huko mh?Vijana wapatao 34 wa ki Ukraine wamekamatwa kwenye border ya Romania wakiwa wanatoroka ili wasijiunge na jeshi kwa akili ya kwenda kupigana vita.
A full-size van with 34 men of conscription age who hoped to avoid mobilization was stopped near the Romanian border in Ukraine, the Ukrainian newspaper “Strana” reported on its Telegram channel, citing a local source.
According to media reports, the draft dodgers paid 10,000 euros each for a chance to cross into the neighboring country illegally to avoid fighting for the Kiev regime.
View attachment 2928829
Kwenye comments kuna mtu kaandika eti ndo maana zile ufo hazikatizi kwenye anga la Russia, kila siku zinatua US, ndo zimewafanya kuwa jamii ya LGBTQ 😆😆Ngoma ya Urusi hiyo inayodungua mpaka setilaiti ikifanya mambo , na ina speed ya ajabu.
View attachment 2928876
Ina maana zibawafundisha ushoga na UsagajiKwenye comments kuna mtu kaandika eti ndo maana zile ufo hazikatizi kwenye anga la Russia, kila siku zinatua US, ndo zimewafanya kuwa jamii ya LGBTQ [emoji38][emoji38]
Walidhani RUSSIA atatumia NUCLEAR Kwa sababu atashindwa na Ukrein, kulingana na misaada waliyokuwa wamejipanga kumpatia Ukrein ikiwa nipamoja na vikwazo Kwa urusi lkn Hali imekua tofauti. Kwahio acha waendelee na dhahaania zao===========================
Dunia ina wakubwa hii
Itary ni mfadhiri Mkuu wa Vita na huyo Papa alilaumiwa Sana na Warusi kuwa walimwomba amshauri Ukraine iwe Neutral kabla ya Vita, akakubali, badae alionekana kutoa kauri za kuunga Mkono Ukraine anachofanya. Kama ameamua kutoa kauri ya kusitisha Vita, basi Mungu pia awasaidie kufikia mhafaka.Ukiona mpaka huyu anasema hivi, ujue hali ni mbaya sana na ukweli wanaufahamu!
Pope says Ukraine should have 'courage of the white flag' of negotiations
ROME, March 9 (Reuters) - Pope Francis has said in an interview that Ukraine should have what he called the courage of the "white flag" and negotiate an end to the war with Russia that followed Moscow's full-scale invasion two years ago and that has killed tens of thousands.
"But I think that the strongest one is the one who looks at the situation, thinks about the people and has the courage of the white flag, and negotiates," Francis said, adding that talks should take place with the help of international powers.
"The word negotiate is a courageous word. When you see that you are defeated, that things are not going well, you have to have the courage to negotiate," Francis said.
Mungu anataka kumuonesha Biden kuwa ushoga ni chukizo kwa Mungu.Itary ni mfadhiri Mkuu wa Vita na huyo Papa alilaumiwa Sana na Warusi kuwa walimwomba amshauri Ukraine iwe Neutral kabla ya Vita, akakubali, badae alionekana kutoa kauri za kuunga Mkono Ukraine anachofanya. Kama ameamua kutoa kauri ya kusitisha Vita, basi Mungu pia awasaidie kufikia mhafaka.
Swali linakuja, yeye ana ushawishi ktk Serikari za Magharibi na Ukraine yao? Nijuavyo hii Vita ipo chini ya Biden, pia ni Mkatholic. Mungu amguse ktk namna ya tofauti Watu wasiendelee kufa.