lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Umeongea ukweli mtupu,Mkuu.Mimi siwezi kushangaa NATO kupeleka majeshi Ukraine ukizingatia NATO ni US. Hao wengine ni vibaraka wasio na maamuzi.
Russia wana lengo pana zaidi kwenye hii vita ambalo ni kumaliza ukiritimba wa US duniani. Wakifanikiwa kwenye hili US ataathirika sana kiuchumi.
Tusitarajie US kukubali kukalishwa kirahisi. Atatumia kila mbinu, ikiwezekana hata hizo silaha za maangamizi, kuhakikisha anabaki na ushawishi/utapeli alionao duniani.
Kauli tunazosikia hizi za "hatutakubali Putin ashinde" zinaashiria hatari iliyo mbele ya dunia.
Hiyo hasa ndiyo hofu yangu, kwamba tukose wote.Umeongea ukweli mtupu,Mkuu.
Nimekuelewa vizuri sana.
Ila kama NATO wataamua kuingiza majeshi Yao basi watakua wamekata tamaa kabisa kua wameshashindwa vita kupitia kibaraka wao Ukraine,hivyo itakua ni "liwalo na liwe."
Kwamba Sasa tukose wote.
Vatican anahusika vipi na hii vita?!Some of these days or later Russia is going to nuke the Vatican and U.S soil to ashes, sababu muhuni ana missiles zimelekea hizo sehemu husika ni swala la gumba na kitufe tu. Na hivi wanavyo mchachafya Putin!
Mashirika yanayotengeneza silaha za jeshi Russia yanamilikiwa na serikali, wakati ya US ni makampuni ya watu binafsi, silaha zao zinakuwa ghali sana.Waziri wa ulinzi wa Italy, amekiri kwamba Jeshi la Russia limeliacha mbali sana Jeshi la NATO.
Na NATO hawana uwezo wa kupigana na Russia.
Ameongeza zaidi kwamba, uwezo wa Russia kwenye kuzalisha zana za vita umejionesha dhahiri kuwa ni mkubwa sana. NATO hawana uwezo wa kuzalisha silaha kama Russia.
View attachment 2931487
Yaani hata sasa hivi yaani saa hii tunavyoongea, Urusi anauwezo wa kwenda U.S na kuiweka chini ya ulinzi na hatofanya chochote.Duh, walisema hana uwezo!
Exclusive: Russia producing three times more artillery shells than US and Europe for Ukraine
CNN -Updated 6:44 AM EDT, Mon March 11, 2024
Russia appears on track to produce nearly three times more artillery munitions than the US and Europe, a key advantage ahead of what is expected to be another Russian offensive in Ukraine later this year.
Russia is producing about 250,000 artillery munitions per month, or about 3 million a year, according to NATO intelligence estimates of Russian defense production shared with CNN, as well as sources familiar with Western efforts to arm Ukraine.
Collectively, the US and Europe have the capacity to generate only about 1.2 million munitions annually to send to Kyiv, a senior European intelligence official told CNN.
Umuulize Putin maana ana missiles zimelekezwa huko kama tu zilivyoelekezwa Ulaya na Marekani. Sasa sijui anahusika vipi, kiongozi.Vatican anahusika vipi na hii vita?!
Vatican anahusika vipi na hii vita?!
Umuulize Putin maana ana missiles zimelekezwa huko kama tu zilivyoelekezwa Ulaya na Marekani. Sasa sijui anahusika vipi, kiongozi.
Kiongozi nakuona vizuri sana vile unasema. 👍👍Historia iko wazi kama nuru ya adhuhuri.
Hakuna tofali kwenye jengo la kisiasa linaloweza kuanguka au hata kumeguka, bila kuhusika mkono wa Mvatikano.
Vatikani inaweza kuchochea vita vya Ukreni kwa upande mmoja, wakati huohuo ikahamasisha juhudi za amani kwa upande mwingine.
Inaweza kuwa na marafiki wa Magharibi na Mashariki kwa wakati mmoja, ambao huwagonganisha wachapane.
Vatikani ndiyo dola pekee duniani inayoweza kufanya mbina (antics) za kucheka na kununa kwa wakati uleule mmoja.
Vatikani inaamini kwamba yenyewe ndiyo utawala maalum wa dini, siasa, uchumi na masuala ya kijamii ambao umevikwa mamlaka na Mungu ili kutenda kwa niaba ya mbingu -- ikiwa na maana kwamba yenyewe inategemea kwamba watu, jamii, nchi na serikali zote zipate kwanza shauri na idhini kwake kuhusu mambo yao.
Vatikani inaamini kwamba kuna mungu-mtu duniani ambaye ndiye papa mwenyewe, anastahili kuabudiwa na kufuatwa anachosema.
Marekani kwa sasa ni taifa la Kikatoliki kwa asilimia kubwa, tofauti na ilivyokuwa 1776.
Kwa nini Marekani na Russia hawajawahi kuwa marafiki? Jibu like hapo.
Ukatoliki uliokuwepo katika zama za giza, ndio huuhuu uliopo leo -- haujabadilika hata jino moja.
Taifa lolote linaweza kutenda vyovyote (hata kuendesha mauaji ya kimbari kama Rwanda & Burudi au mauaji ya Wayahudi chini ya Hitler), ilimradi maslahi ya Vatikani yamewekwa kipaumbele.
Huamini? Soma historia, ambayo iko wazi kama jua la adhuhuri msimu wa kiangazi.
The Roman Empire is the last gentile empire according to Daniel's vision of the statue and according to the book of Revelation (sio kuwa mtu wa kidini bali wa kihistoria!)Historia iko wazi kama nuru ya adhuhuri.
Hakuna tofali kwenye jengo la kisiasa linaloweza kuanguka au hata kumeguka, bila kuhusika mkono wa Mvatikano.
Vatikani inaweza kuchochea vita vya Ukreni kwa upande mmoja, wakati huohuo ikahamasisha juhudi za amani kwa upande mwingine.
Inaweza kuwa na marafiki wa Magharibi na Mashariki kwa wakati mmoja, ambao huwagonganisha wachapane.
Vatikani ndiyo dola pekee duniani inayoweza kufanya mbina (antics) za kucheka na kununa kwa wakati uleule mmoja.
Vatikani inaamini kwamba yenyewe ndiyo utawala maalum wa dini, siasa, uchumi na masuala ya kijamii ambao umevikwa mamlaka na Mungu ili kutenda kwa niaba ya mbingu -- ikiwa na maana kwamba yenyewe inategemea kwamba watu, jamii, nchi na serikali zote zipate kwanza shauri na idhini kwake kuhusu mambo yao.
Vatikani inaamini kwamba kuna mungu-mtu duniani ambaye ndiye papa mwenyewe, anastahili kuabudiwa na kufuatwa anachosema.
Marekani kwa sasa ni taifa la Kikatoliki kwa asilimia kubwa, tofauti na ilivyokuwa 1776.
Kwa nini Marekani na Russia hawajawahi kuwa marafiki? Jibu like hapo.
Ukatoliki uliokuwepo katika zama za giza, ndio huuhuu uliopo leo -- haujabadilika hata jino moja.
Taifa lolote linaweza kutenda vyovyote (hata kuendesha mauaji ya kimbari kama Rwanda & Burudi au mauaji ya Wayahudi chini ya Hitler), ilimradi maslahi ya Vatikani yamewekwa kipaumbele.
Huamini? Soma historia, ambayo iko wazi kama jua la adhuhuri msimu wa kiangazi.
Hayo mamlaka na sheria juu ya mataifa yote, Vatikani imeyatoa wapi -- iwapo haina madai ya kidini?It has power and rules over every single nation under the Sun.
Mamlaka na sheria juu ya nchi zote iliyatoa 330 BC kutoka kwa Wayunani wakiwa chini ya Alexander the Great. Mrumi ndiye mfalme na mtawala wa ulimwengu wote. Soma historia na post zetu hapo juu vizuri. Marekani, Ukatoliki ni viti vya utawala wa Mrumi!Hayo mamlaka na sheria juu ya mataifa yote, Vatikani imeyatoa wapi -- iwapo haina madai ya kidini?
Unaweza kuitenganisha Vatikano na dini?
Hivi si kwamba Vatikani inatumia vazi la dini ili kutekeleza azma yake ya kuiweka dunia yote chini yake -- kumwabudu mungu-mtu?
Rumi ya kipagani umeonesha mwisho wake ulikuwa 476 AD. Baada ya hapo?sio kuwa mtu wa kidini bali wa kihistoria!
Hujaelewa Rumi ya dola na Rumi ya kidini ni mtu yule yule katika mavazi tofauti!Rumi ya kipagani umeonesha mwisho wake ulikuwa 476 AD. Baada ya hapo?
Ndiyo maana anatawala Rumi ya Kidini.
Mamlaka na sheria juu ya nchi zote iliyatoa 330 BC kutoka kwa Wayunani wakiwa chini ya Alexander the Great. Mrumi ndiye mfalme na mtawala wa ulimwengu wote. Soma historia na post zetu hapo juu vizuri. Marekani, Ukatoliki ni viti vya utawala wa Mrumi!
Hujaelewa Rumi ya dola na Rumi ya kidini ni mtu yule yule katika mavazi tofauti!
Nakazia kauli Yako ya mwisho kwamba,"Tuupe Muda nafasi."Hiyo hasa ndiyo hofu yangu, kwamba tukose wote.
Vita washashindwa tayari baada ya silaha yao kuu, vikwazo walivyomwekea Russia kutoa matokeo hasi kwao.
Nini kitafuata? Tuupe nafasi muda.
Hii aione Proved na Mtaalamu wakeDuh, walisema hana uwezo!
Exclusive: Russia producing three times more artillery shells than US and Europe for Ukraine
CNN -Updated 6:44 AM EDT, Mon March 11, 2024
Russia appears on track to produce nearly three times more artillery munitions than the US and Europe, a key advantage ahead of what is expected to be another Russian offensive in Ukraine later this year.
Russia is producing about 250,000 artillery munitions per month, or about 3 million a year, according to NATO intelligence estimates of Russian defense production shared with CNN, as well as sources familiar with Western efforts to arm Ukraine.
Collectively, the US and Europe have the capacity to generate only about 1.2 million munitions annually to send to Kyiv, a senior European intelligence official told CNN.
Mkuu habari zako unazoletaga humu kukwaani hua "zinanibariki sana"(kwa sauti la kilokole).Waziri wa ulinzi wa Italy, amekiri kwamba Jeshi la Russia limeliacha mbali sana Jeshi la NATO.
Na NATO hawana uwezo wa kupigana alietoa na Russia.
Ameongeza zaidi kwamba, uwezo wa Russia kwenye kuzalisha zana za vita umejionesha dhahiri kuwa ni mkubwa sana. NATO hawana uwezo wa kuzalisha silaha kama Russia.
View attachment 2931487