lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
LoL!View attachment 2936454
haya kipanya ulilolitaka lishakuwa,
nenda kawasaidie kazi waukraine
====================
There are already Ukrainian villages in which there are no men left - The Washington Post
▪️A difficult situation is developing with Ukrainian villages in which there are no men left. All of them were killed, conscripted or immigrated.
▪️Nevertheless, military registration and enlistment office employees come into such villages and try to mobilize at least someone.
▪️The publication cites as an example the story of Olga from the village of Makiv, whose husband was caught on the street and, despite numerous illnesses, was declared fit within 10 minutes and sent to the front.
▪️Ukraine begins to prepare schoolchildren for military operations.
Mataifa zaidi 35 Vitani!!! Ilishaanza 24/02l2022Hii Ngoma ni WW3 inanukia
Du Sasa Zelensiky anatakiwa kuuwawa.View attachment 2936454
haya kipanya ulilolitaka lishakuwa,
nenda kawasaidie kazi waukraine
====================
There are already Ukrainian villages in which there are no men left - The Washington Post
[emoji3502]A difficult situation is developing with Ukrainian villages in which there are no men left. All of them were killed, conscripted or immigrated.
[emoji3502]Nevertheless, military registration and enlistment office employees come into such villages and try to mobilize at least someone.
[emoji3502]The publication cites as an example the story of Olga from the village of Makiv, whose husband was caught on the street and, despite numerous illnesses, was declared fit within 10 minutes and sent to the front.
[emoji3502]Ukraine begins to prepare schoolchildren for military operations.
Na bado mpaka waseme🤣🤣Odessa strike, western military personell hit!
Detailed analysis of a combined missile attack on one of the control and decision-making centers in Odessa
After conducting a comprehensive analysis of all available information, it was established that the main target of the strike on March 15, 2024 was one of the control and decision-making centers of the Ukrainian security forces in the Southern agglomeration.
This has been one of the largest-scale operations of the Russian Armed Forces aimed at destroying the command and control personnel of the enemy’s paramilitary, security and special units.
Coordinates: 46.3760847, 30.733856 - territory of the former Mriya sanatorium complex
The missile strike was carried out during a meeting of the command staff of Ukrainian formations with the participation of foreign representatives ("instructors", "hosts", "partners").
According to official data, the strike led to the liquidation of the commander of the Tsunami assault battalion of the National Guard and the commander of the Lyut brigade regiment.
‼️ In addition, we managed to find out the names of some liquidated foreigners:
- Klaus Fischer (Germany)
- Jurgen Schmidt (Germany)
- Kevin Miller (USA)
- Philippe Leblanc (France)
- Stefan Dragomirescu (Romania)
what positions they held and what structures they belonged to establish does not seem possible.
-> In total, the strike killed over 50 foreigners and Ukrainian military personnel, while the number of wounded exceeded 100 people.
At this time, local authorities, in their characteristic manner, claim 20 victims of the attack were civilians. But multiple Ukranian sources and family members confirmed the death of military personnel
The Militarist channel about signs of the removal of French corpses after yesterday’s strikes by the Russian Armed Forces on Odessa:
“In the area of the Romanian-Ukrainian border, increased activity of NATO aviation is recorded. Apparently this is due to the evacuation of those killed and wounded during yesterday’s attacks on southern Ukraine.”
— don_partizan & infantmilitario
Kama kawaida yangu. Nimeisoma yote hiyo habari na baadhi ya nukuu kutoka kwenye habari hiyo na mchango wangu juu ya nukuu hizo:
Sawa boss kwa taarifaWapenda haki wenzangu wa jukwaa hili,napenda kuwashirikisha maoni yangu juu ya thread hii kuhusu SMO ya Urusi kwa kifupi sana kua,kimsingi Ukraine imeshashindwa vita hii.
Ukweli ni kwamba Ukraine Kwa kupewa misaada yote na NATO na ya Kila aina imepoteza vita hii dhidi ya Russia .
Wachambuzi wote wakubwa na wenye utaalam wa masuala ya kijeshi na kiintelijensia tayari wanasema kua Ukraine tayari imeshindwa.
Majenerali mbalimbali kutoka mataifa ya Magharibi na yasiyo ya Magharibi wanakili kushindwa kwa Ukraine.
Amini usiamnini hata Mkuu wa majeshi wa Ukraine alieondolewa na zelensky nae hatimae alikili kua Ukraine haitaweza kutoboa dhidi ya Urusi.Ushahidi ni kwamba kilichopelekea akaondolewa na Bosi wake ni alikataa wazo la Bosi wake la kuandikisha vijana wengine kwa ajilia ya kwenda vitani,yeye alipendekeza mazungumzo ya amani, kwani aliona vijana wengi wanapoteza maisha vitani dhidi ya jeshi imara na kubwa la Urusi.
Tatizo lililopo Kwa Sasa ni ugumu wa wafadhiri kuruhusu Ukraine kuinua kitambaa cheupe kama walivyoshauriwa na Papa.
Wafadhiri wanajisikia aibu kuonekana wameshindwa.
Ushahidi mwingine kua Ukraine imeshindwa ni kwamba wafadhiri Sasa wanatamani kuingia wenyewe moja Kwa moja.
Najiuliza vita ni baina ya Urusi na Ukraine, Hawa wafadhiri wanataka kuingia kama nani?
Wametoa misaada ya Kila aina,ya Hali na Mali haijasaidia,walijaribu kuingia kama mamluki(mercenaries)lakini haijasaidia kubadilisha kitu,Sasa wanajadiliana kuingiza majeshi Yao rasmi,lakini hofu imewakamata, hawajakubaliana.
Wapenda ukweli wenzangu nimekuja kubaini kua kumbe USA,NATO na west wote pamoja na utaalamu wao wote wa kiintelijensia pamoja na vifaa vyote vyenye teknolojia ya Hali ya juu sana vya kiintelijensia hawakua na uwezo wa kupata taarifa za kutosha kuhusu uwezo wa Urusi.
Wapenda haki wenzangu Iko hivi,vita baina ya Urusi na Ukraine imekwisha na Ukraine imeshindwa,Sasa tunasubiri vita baina ya NATO na Urusi,kwa sababu NATO wanahangaika kutaka kuficha aibu ya kuishindwa Urusi kupitia kwa jeshi lao yaani Ukraine.
Hali huko Magharibi mwa Ukraine mpakani mwa Ukraine na Poland sio shwari hata kidogo,kwani majeshi ya NATO yameanza kukusanyika.Hatujui Nini wanataka kufanya.
Ufaransa ilijiapiza kua itafanya Kila iwezalo kuhakikisha Urusi haishindi.
Urusi ikatoa onyo kua Ina silaha za kufika kwa nchi zinazotaka kuingiza majeshi Yao kuisaidia Ukraine.
Jamani eeh kama Ukraine inashinda,je Hawa NATO mmoja mmoja wanataka kuingia vitani kwa ajili ya Nini?,kwa sababu mtu anaeshinda hua hahitaji msaada,Bali mtu anaeshindwa ndio huhitaji msaada.
Kwa kumalizia ni kwamba hata Sasa hivi ukiangalia utaona ni malumbano baina ya Urusi na Viongozi wa NATO wala,sio tena malumbano baina ya Urusi na Viongozi wa Ukraine kwa sababu Ukraine Sasa hivi Haina nguvu Tena kijeshi, Bali ni majibizano naona ya Urusi dhidi ya akina Ufaransa,Poland,Latvia,Estonia, Lithuania,USA,UK na washirika wao wengine.
Ajabu na kweli ni kua Ukraine sio mwanachama wa NATO wala wa EU,je Hawa NATO wanatakq kuingia vitani kwa ajili ya nani?
Ukweli ni kwamba Ukraine tayari keshakalishwa.
Mwanzo wa SMO mengi yaliongelewa nilidhani ni mwisho wa shilikisho la Urusi.Russia hawana teknolojia ya drones.
Tumetoka mbali
Kama ameshinda jeshi la urusi lilitakiwa kuwa Kiev na zelensky kuwa kolokoloni,Wapenda haki wenzangu wa jukwaa hili,napenda kuwashirikisha maoni yangu juu ya thread hii kuhusu SMO ya Urusi kwa kifupi sana kua,kimsingi Ukraine imeshashindwa vita hii.
Ukweli ni kwamba Ukraine Kwa kupewa misaada yote na NATO na ya Kila aina imepoteza vita hii dhidi ya Russia .
Wachambuzi wote wakubwa na wenye utaalam wa masuala ya kijeshi na kiintelijensia tayari wanasema kua Ukraine tayari imeshindwa.
Majenerali mbalimbali kutoka mataifa ya Magharibi na yasiyo ya Magharibi wanakili kushindwa kwa Ukraine.
Amini usiamnini hata Mkuu wa majeshi wa Ukraine alieondolewa na zelensky nae hatimae alikili kua Ukraine haitaweza kutoboa dhidi ya Urusi.Ushahidi ni kwamba kilichopelekea akaondolewa na Bosi wake ni alikataa wazo la Bosi wake la kuandikisha vijana wengine kwa ajilia ya kwenda vitani,yeye alipendekeza mazungumzo ya amani, kwani aliona vijana wengi wanapoteza maisha vitani dhidi ya jeshi imara na kubwa la Urusi.
Tatizo lililopo Kwa Sasa ni ugumu wa wafadhiri kuruhusu Ukraine kuinua kitambaa cheupe kama walivyoshauriwa na Papa.
Wafadhiri wanajisikia aibu kuonekana wameshindwa.
Ushahidi mwingine kua Ukraine imeshindwa ni kwamba wafadhiri Sasa wanatamani kuingia wenyewe moja Kwa moja.
Najiuliza vita ni baina ya Urusi na Ukraine, Hawa wafadhiri wanataka kuingia kama nani?
Wametoa misaada ya Kila aina,ya Hali na Mali haijasaidia,walijaribu kuingia kama mamluki(mercenaries)lakini haijasaidia kubadilisha kitu,Sasa wanajadiliana kuingiza majeshi Yao rasmi,lakini hofu imewakamata, hawajakubaliana.
Wapenda ukweli wenzangu nimekuja kubaini kua kumbe USA,NATO na west wote pamoja na utaalamu wao wote wa kiintelijensia pamoja na vifaa vyote vyenye teknolojia ya Hali ya juu sana vya kiintelijensia hawakua na uwezo wa kupata taarifa za kutosha kuhusu uwezo wa Urusi.
Wapenda haki wenzangu Iko hivi,vita baina ya Urusi na Ukraine imekwisha na Ukraine imeshindwa,Sasa tunasubiri vita baina ya NATO na Urusi,kwa sababu NATO wanahangaika kutaka kuficha aibu ya kuishindwa Urusi kupitia kwa jeshi lao yaani Ukraine.
Hali huko Magharibi mwa Ukraine mpakani mwa Ukraine na Poland sio shwari hata kidogo,kwani majeshi ya NATO yameanza kukusanyika.Hatujui Nini wanataka kufanya.
Ufaransa ilijiapiza kua itafanya Kila iwezalo kuhakikisha Urusi haishindi.
Urusi ikatoa onyo kua Ina silaha za kufika kwa nchi zinazotaka kuingiza majeshi Yao kuisaidia Ukraine.
Jamani eeh kama Ukraine inashinda,je Hawa NATO mmoja mmoja wanataka kuingia vitani kwa ajili ya Nini?,kwa sababu mtu anaeshinda hua hahitaji msaada,Bali mtu anaeshindwa ndio huhitaji msaada.
Kwa kumalizia ni kwamba hata Sasa hivi ukiangalia utaona ni malumbano baina ya Urusi na Viongozi wa NATO wala,sio tena malumbano baina ya Urusi na Viongozi wa Ukraine kwa sababu Ukraine Sasa hivi Haina nguvu Tena kijeshi, Bali ni majibizano naona ya Urusi dhidi ya akina Ufaransa,Poland,Latvia,Estonia, Lithuania,USA,UK na washirika wao wengine.
Ajabu na kweli ni kua Ukraine sio mwanachama wa NATO wala wa EU,je Hawa NATO wanatakq kuingia vitani kwa ajili ya nani?
Ukweli ni kwamba Ukraine tayari keshakalishwa.
Hizi hatua wanazofanya Niger ni nzuri ila natamani kujua kuwa wana back up ya kutosha toka kwa Rusia.BREAKING: Niger have broken off all military ties with the United States, and told them to leave the country and close their bases.
The US' most expensive drone base ($100m) is in Niger.
Another major victory after expelling colonial French troops 6 months ago.