Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nipe hiyo surprise aliosema V. Nuland mkuu,sijwahi kuiona🙏
 
Ukicheza na mtoto mtundu atakuvua nguo hadharani, Putin ajiangalie.

Tuendelee kufuatilia huu mgogoro bila ya kuweka hisia mbele.
[emoji298][emoji298]Russian volunteers from the Siberian Battalion, fighting against Putin's regime in Russia, said that early on March 17, they entered the village of Gorkovsky in Russia's Belgorod region and seized the local administration.[emoji298][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Putin alikisema hili

BREAKING: Alabama Sen. Tommy Tuverille says Americans are losing their children to a “satanic cult.”

“I’ve traveled all over the country — all 50 states. I’ve been in good places and bad places. The one thing I saw, we are losing our kids to a satanic cult.”

“We’ve lost our moral values across the country. We’ve got to get back to the Constitution, and we have got to get back to the Bible. We’ve got to get God back in our country,” he continued. “There’s not one Democrat that can tell you they stand up for God.”

Sen. Tuverille expanded on his claims in a later interview:

“They’ve basically taken God out of everything that we’re doing. I don’t know any other way to express it other than that it’s some kind of cult that they’re trying to push on our kids and all Americans.”

“We have got to get back to our moral values. If we can’t get back to that and let the Democrats continue to push this cult on us and take God away from our country, we’re going to have huge problems.”
 

Attachments

  • 20240317_162217.jpg
    62.4 KB · Views: 24
BREAKING: UKRAINE STRIKES ANOTHER RUSSIAN OIL REFINERY

The attack on the Slavyansk-on-Kuban oil refinery in Krasnodar Krai was carried out by drones and is the 6th Russian oil refinery that's been hit by Ukraine in the last week.

Source: RN
Hayo ni mambo madogo sana ...wanapiga oil refinery kwa sababu wanajua oil inaweza kulipuka maana shambulio la droni ndogo ndogo siyo powefull effect
 
Hayo ni mambo madogo sana ...wanapiga oil refinery kwa sababu wanajua oil inaweza kulipuka maana shambulio la droni ndogo ndogo siyo powefull effect
Bila kujari ni mambo madogo au makubwa, muhimu zaidi ni kwamba Russia naye anafeel joto la vita kwa Sasa!

Zama za kurusha makombora kisha kutulia ofisini na kuanza kunywa vodka wameyasahau!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Bila kujari ni mambo madogo au makubwa, muhimu zaidi ni kwamba Russia naye anafeel joto la vita kwa Sasa!

Zama za kurusha makombora kisha kutulia ofisini na kuanza kunywa vodka wameyasahau!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hayo mambo yanamsaidia mrusi kujizatiti kimbinu na kitec ...hakuna chochote ukrain inaweza kufanya ikamrudisha nyuma urusi kiufanisi
 
 
Vip kwa upande wa ukraine,mashambulizi ya urusi hayamsaidii kujizatiti kimbinu na kitech?
Au kunya anye kuku,akinya Bata..,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Haaa wapi labda usema mataifa ya NATO.. hakuna tec yoyote inaweza kufanyika ukrain maana mrussi anaripua kila kitu kinacho leta shida mbele yake
 
Haaa wapi labda usema mataifa ya NATO.. hakuna tec yoyote inaweza kufanyika ukrain maana mrussi anaripua kita kitu kinacho leta shida mbele yake
Kama urusi analipua kila kitu kinachojaribu kuleta shida mbele yake bila Shaka kwa Sasa majeshi ya urusi yapo Kyiv na zelensiky kakimbilia Poland [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ukicheza na mtoto mtundu atakuvua nguo hadharani, Putin ajiangalie.

Tuendelee kufuatilia huu mgogoro bila ya kuweka hisia mbele.
Mheshimiwa MZANZIBARI,
Nahisi concern Yako,huenda unaonya juu ya mashambilizi anayofanya Ukraine kwenye facilities za Urusi,mfano visima vya mafuta,majengo ya serikali na hata maeneo ya jeshi.

Kwa mtazamo wangu naona haya mashambulizi anayoyafanya Ukraine hayana mafanikio kijeshi kama vile kukomboa eneo au Kuua askari wengi wa adui,Bali yamejikita katika kutia hasara.
Mtindo huu wa mashambulizi hufanywa na jeshi linaloelekea kishindwa na ni dalili ya kukata tamaa.
Mshambukizi haya yamekaa mfano wa mashambulizi ya kigaidi.

Na Ukiona jeshi limeanza kufanya vitendo vinavyofanana na vya kigaidi ujue maana yake limeona linaenda kushindwa.
Hebu fikiria jeshi la ujeremani linapanga mpango wa kulipua daraja la Urusi,hiyo ni dalili ya kishindwa kwenye uwanja wa vita.
Hata katika mchezo wa mpira timu yenye uhakika wa ushindi hua haichezi rafu,Bali timu iliyozidiwa ndio hucheza rafu.
Haiwezekani timu yenye matokeo mazuri ikaanza kucheza rafu.

Vivyohivyo kwenye vita,hata ingekua Urusi ndio inashindwa nayo ingeanza kufanya mashambulizi yasiyo na faida Bali kutia hasara adui.
Ukraine inajua inaenda kushindwa hivyo wanashambulia kwa drone maeneo ya Urusi kwa ajili ya kutia hasara na kusababisha uharibifu,hayo sio mashambulizi ya kimkakakati kwa ajili ya kumshinda adui,ama kukomboa maeneo ama kumrudisha nyuma.

Haya ni mashambulizi yasiyo na faida na hayatabadilisha chochote.
Huko mbele Ukraine itaanza uporaji na kuharibu miji,ubakaji na kitega mabomu katika maeneo wanayoyakimbia.
 
Wewe sasa ndio umetoa maelezo raisi kwa kila mmoja kuelewa. Mfano,
Ufaransa Jana katangaza KUSHINDWA kwa Ukraine(Nato).
 
Ukicheza na mtoto mtundu atakuvua nguo hadharani, Putin ajiangalie.

Tuendelee kufuatilia huu mgogoro bila ya kuweka hisia mbele.
Nimewahi kulisema hili mara nyingi sana.

Russia ujinga wake wa kujifanya ana huruma soon utamtokea puani.

Aangalie alichokifanya Israel ndio na yeye aige uone kama kuna ngonjera zitaendelea pale.

Hii vita kama ndio Marekani angekuwa anagombana na jirani yake sasa hivi tungekuwa tunashuhudia maafa makubwa sana ya maangamizi.

Huwa hapendi ujinga wakuipeleka vita nyumbani kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…