Kitendo cha Rais Putin kuwa anarudia rudia kauli ya Meaningful Negotiation hii anawaweka viongozi wa western njia panda kwenye hii SMO.
Ukiangalia kwenye grounds, Russia Forces wanasonga mbele na wanateka maeneo mengi sana. Wakati huo huo, Ukraine wanapoteza kuanzia wapiganaji hadi vifaa vita.
Sasa tukija kwa viongozi wa westerns, wanajiuliza, pamoja na kupeleka misaada na Hela zote lakini Ukraine anapoteza hii vita. Na hapo hapo Russia anasema yupo tayari kwa mazungumzo, Je, Tuzungumze nae?
Na vilevile, upande wa US na wao wamegoma kutoa pesa za kwa sababu wanaona zinaenda kupotea tu, ndio maana Kuna kusua sua. Je, tupeleke pesa zikapotee au tufanye mazungumzo?
Kuhusu kupeleka wanajeshi wa NATO
Collectively, hawawezi kukubaliana kwa sababu Ukraine sio NATO member.