Wakati wanaweka vikwazo, matumaini yao yalikuwa kufanya maisha Russia yawe magumu sana, Putin achukiwe na wananchi wake, mwisho uasi utakaomwondoa madarakani.Putin has claimed 87.28% of the vote, a record share of votes, winning his fifth term in office by a landslide. Putin’s candidacy was supported by over 75 million voters.
Maana yake ulaya na Amerika untTrump wote kwa mujibu wa Nzee Trumpet wote ni wakutoka shit hole country ispokuwa Amerika na Afrika enzi za Uongozi wake😂Wakati wanaweka vikwazo, matumaini yao yalikuwa kufanya maisha Russia yawe magumu sana, Putin achukiwe na wananchi wake, mwisho uasi utakaomwondoa madarakani.
Kilichotokea na kinachoendelea kutokea kimekuwa tofauti, waweka vikwazo hawaamini.
NATO wana wanajeshi wa kutosha Ukraine na Putin kasema jana kuhusu hilo.Kitendo cha Rais Putin kuwa anarudia rudia kauli ya Meaningful Negotiation hii anawaweka viongozi wa western njia panda kwenye hii SMO.
Ukiangalia kwenye grounds, Russia Forces wanasonga mbele na wanateka maeneo mengi sana. Wakati huo huo, Ukraine wanapoteza kuanzia wapiganaji hadi vifaa vita.
Sasa tukija kwa viongozi wa westerns, wanajiuliza, pamoja na kupeleka misaada na Hela zote lakini Ukraine anapoteza hii vita. Na hapo hapo Russia anasema yupo tayari kwa mazungumzo, Je, Tuzungumze nae?
Na vilevile, upande wa US na wao wamegoma kutoa pesa za kwa sababu wanaona zinaenda kupotea tu, ndio maana Kuna kusua sua. Je, tupeleke pesa zikapotee au tufanye mazungumzo?
Kuhusu kupeleka wanajeshi wa NATO
Collectively, hawawezi kukubaliana kwa sababu Ukraine sio NATO member.
Waliamini kwamba wazee wa kirusi ndo walokuwa wakimuunga mkono Putin kwa wingi lakini pale Red Square ni vijana wengi sana wamejitokeza na ndo wanomuunga mkono hata kwenye sanduku la kura.Wakati wanaweka vikwazo, matumaini yao yalikuwa kufanya maisha Russia yawe magumu sana, Putin achukiwe na wananchi wake, mwisho uasi utakaomwondoa madarakani.
Kilichotokea na kinachoendelea kutokea kimekuwa tofauti, waweka vikwazo hawaamini.
Ukiua kwa upanga, utakufa kwa ncha ya upanga!Wakati wanaweka vikwazo, matumaini yao yalikuwa kufanya maisha Russia yawe magumu sana, Putin achukiwe na wananchi wake, mwisho uasi utakaomwondoa madarakani.
Kilichotokea na kinachoendelea kutokea kimekuwa tofauti, waweka vikwazo hawaamini.
Waendelee KUJADILI. Jamaa anawala vichwa.NATO wana wanajeshi wa kutosha Ukraine na Putin kasema jana kuhusu hilo.
Kasema wanawasikia wakizungumza kifaransa na kiingereza barabara hivyo Russia wafahamu kuwa mamluki wapo uwanja wa vita.
Na akasema hata kama wapo Ukraine kwa shughuli zisizohusu kutumia silaha na kupigana lakini hiyo ni kubadii tu maneno kwani wote ni mamluki na ni target.
Poland yaongoza kwa idadi ya wanajeshi mamluki walioko Ukraine na wafa kila siku.
Kuhusu hiyo ya kukaa mezani Putin ashasema mara nyingi kwamba Russia ipo tayari kukaa mezani lakini kwa terms zao wao na si terms za Ukraine/NATO,USA.
Hiyo maana yake ni kwamba kama Russia itaketi na kukubaliana "terms" yamaanisha kwamba ni lazima Ukraine wakubali kuachia majimbo yote yalokwishachukuliwa na Russia likiwemo Donbass yote na isahau Crimea.
Kwa NATO na USA hiyo itakuwa ni "nightmare" kwani ikiwa hivyo maana yake ni kwamba hawatakuwa na uhakika hatua zinofuata za Russia juu yao wote pamoja na nchi jirani na Russia.
Kwa Netanyahu natofautiana na wewe.Ukiua kwa upanga, utakufa kwa ncha ya upanga!
Wazungu walitunyanyasa Sana na kutufanya watumwa. Wanakupandisha juu ya mnazi Kisha unashushwa kwa risasi, Hilo Watoto wafurahi. Leo Mwamba Putin anawasaga Kama Nyama, anawakamua, hata Benjamini anawakaanga na kuwalaza nje warabu waliojihita wastaarabu.
Viva Putin, Viva Netenyau.
Estonia ni Kama Bunju tu haina kitu kabisa....hao Estonia sisi tunawapiga na platoon 2 tu
Estonia ndipo yalipo majeshi ya NATO wakiongozwa na UK na Marekani.Estonia ni Kama Bunju tu haina kitu kabisa....hao Estonia sisi tunawapiga na platoon 2 tu
Marekani na NATO daima wanapenda kuzua vimbwanga kweli.Kwa NATO na USA hiyo itakuwa ni "nightmare" kwani ikiwa hivyo maana yake ni kwamba hawatakuwa na uhakika hatua zinofuata za Russia juu yao wote pamoja na nchi jirani na Russia.
utafanya mwehu kama mk254 akuone chiziMarekani na NATO daima wanapenda kuzua vimbwanga kweli.
Hivi Ukreni ingebaki nyutro kama yalivyokuwa makubaliano yao ya awali, hivi vita leo vingekuwepo?
Kama NATO isingediriki kusogeza pua zao karibu na Urusi, maelfu ya watu wasio na hatia wangeuawa?
Mwaka 2022 Februari wakati wa kuanza SMO, Zelensky na washauri wake (hasa Uingereza), wangeridhia kumsikiliza Putin, leo hii majanga haya yangekuwepo?
Marekani hataki kabisa Urusi ajisogeze karibu naye (mfano mzuri ni ule mtikasi wa Cuba na hata Venezuela); kwa nini adhani kwamba Urusi atafanya tofauti?
Ni wazi kwamba mchonganishi ni nani; na anafanya hivyo kwa manufaa yake mwenyewe.
Marekani bila vita vya nje, ndani mwao hakukaliki.
Mabepari wakubwa ndio wamiliki wa makampuni ya viwanda vya silaha na zana za kijeshi. Bila vita, miradi yao inakufa.
Marekani huvuruga amani katika mataifa kwa lengo la kujichotea rasilimali na kupanua himaya yake.
Kwa hiyo, hofu ya Marekani kuhusu kuipoteza Ukreni inatokana na ukweli kwamba maslahi na ushawishi wake vinadorora duniani.
Marekani anatumia mataifa mengine kama ngao yake mwenyewe.
Sasa ESTONIA inaweza kuifanya nini nchi kama Urusi ambayo Ulaya wote na Marekani wameungana wameshindwa?? Nimewahi kufika Estonia mara 3 yaani ni kanchi kadogo mnoo..Kuhusu maendeleo hapa kwetu sisi sio Masikini shida ni Majizi ndio yanatuchelewesha...Tungekua na uongozi imara hata mikufu na bangili za dhahabu zingeuzwa hapa na sio GOLD SOUK pale Dubai...Estonia ndipo yalipo majeshi ya NATO wakiongozwa na UK na Marekani.
Pia pana mitambo yao hapo.
Estonia pamoja na Latvia na Lithuania wao wana jukumu la kulinda anga la Baltic yaani baltic space control centre na pia wana kikosi maalum cha NATO cha Baltic battalion.
Pia wana kituo cha kijeshi sehemu iitwayo Tapa na jeshi la anga lipo sehemu iitwayo Amari.
Ni kainchi kadogo sana kana watu milioni 1.4 lakini ni kanchi tajiri na watu wake wote wana maisha bora.
Sijui tungekubaliana kwanza maana ya neno Tajiri, vinginevyo tutabisha sana.Ni kainchi kadogo sana kana watu milioni 1.4 lakini ni kanchi tajiri na watu wake wote wana maisha bora.
Samia na rostam azizi ni tatizo tzSasa ESTONIA inaweza kuifanya nini nchi kama Urusi ambayo Ulaya wote na Marekani wameungana wameshindwa?? Nimewahi kufika Estonia mara 3 yaani ni kanchi kadogo mnoo..Kuhusu maendeleo hapa kwetu sisi sio Masikini shida ni Majizi ndio yanatuchelewesha...Tungekua na uongozi imara hata mikufu na bangili za dhahabu zingeuzwa hapa na sio GOLD SOUK pale Dubai...
Huyu Rosti Tamu kila anakoenda maza nae yupo..... Mshiriki mkubwa kwenye kuuza inji......Samia na rostam azizi ni tatizo tz
Huyo ni jambazi yupo juu ya sheria zote hata akitaka kuua anaua na atalindwa na serikali dhidi ya yoyote atakaye hoji mdogo wake aliua mzungu kwenye elikopta ila kesi ikadondoshewa kwa dagaa fekiHuyu Rosti Tamu kila anakoenda maza nae yupo..... Mshiriki mkubwa kwenye kuuza inji......