D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
haka kamama n kalitengeneza mkataba feki ndio maana Putin akakadharau akaleta mbwa akijua kabisa ni mwoga wa mbwa
Upuuzi.Hili si suala la BAVICHA ni suala la yoyote anafikiri vizuri.Rostam awamu ya nne alimvuruga sana Chikwete naona sasa anataka kutuuuza jumla.
Tulia wewe kijambio cha saa 100 ...chadema na ccm wote ni [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90]tuUpuuzi.
Hatima ya Bavicha uzeeni wengi wenu mtakuwa wachawi.
Putin anajua kucheza na akili zao.
Nimekusamehe bure maana haujuhi ulitendalo. Ila naomba ysiendelee kunifsnanisha na wanyama kwa ajili ya Chama Cha Siasa. Vinginevyo nitakuchukulia hatua za kisheria.Ccm ni mafii wewe kima
Nahisi Ukraine kwa Sasa wapo 200000Kwa takwimu hizi NATO hawana ubavu wa kukipiga na Russia. Kumbukeni China wamesema NATO ikipigana na Russia nao wanaingua mzigoni
Active military manpower:
[emoji630] China: 2,035,000
[emoji1128] India: 1,455,550
[emoji631] USA: 1,328,000
[emoji635] Russia: 1,320,000
[emoji1188] North Korea: 1,320,000
[emoji1255] Ukraine: 900,000
[emoji1191] Pakistan: 654,000
[emoji1130] Iran: 610,000
[emoji2406] South Korea: 600,000
[emoji1264] Vietnam: 600,000
[emoji1093] Egypt: 440,000
[emoji1166] Mexico: 412,000
[emoji1129] Indonesia: 400,000
[emoji1242] Thailand: 360,850
[emoji1054] Brazil: 360,000
[emoji1250] Turkey: 355,200
[emoji1224] Sri Lanka: 346,000
[emoji1026] Algeria: 325,000
[emoji1075] Colombia: 293,200
[emoji1210] Saudi Arabia: 257,000
[emoji627] Japan: 247,150
[emoji1184] Nigeria: 230,000
[emoji1061] Cambodia: 221,000
[emoji1239] Taiwan: 215,000
[emoji1200] Poland: 202,100
[emoji632] France: 200,000
[emoji1173] Morocco: 195,800
[emoji1131] Iraq: 193,000
[emoji1223] South Sudan: 185,000
[emoji636] UK: 184,860
According to Global Fire Power
Inawezekana kabisaNahisi Ukraine kwa Sasa wapo 200000
Sheria [emoji16] wewe kweli ng'ombe....baba yako aliuza ng'ombe wake kukusomesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe...Nimekusamehe bure maana haujuhi ulitendalo. Ila naomba ysiendelee kunifsnanisha na wanyama kwa ajili ya Chama Cha Siasa. Vinginevyo nitakuchukulia hatua za kisheria.
Hujakosea.Nahisi Ukraine kwa Sasa wapo 200000
Jitahidi kuishi katika tabia zenye ustaarabu. Usiruhusu kinywa chako kuongea au moyo wako kuwaza maneno machafu.Tulia wewe kijambio cha saa 100 ...chadema na ccm wote ni [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90]tu
Kabisa mkuu.Sasa ESTONIA inaweza kuifanya nini nchi kama Urusi ambayo Ulaya wote na Marekani wameungana wameshindwa?? Nimewahi kufika Estonia mara 3 yaani ni kanchi kadogo mnoo..Kuhusu maendeleo hapa kwetu sisi sio Masikini shida ni Majizi ndio yanatuchelewesha...Tungekua na uongozi imara hata mikufu na bangili za dhahabu zingeuzwa hapa na sio GOLD SOUK pale Dubai...
Hivi viinchi vidogo kama Estonia vyatumikia kwa maslahi ya Marekani na West.Sasa ESTONIA inaweza kuifanya nini nchi kama Urusi ambayo Ulaya wote na Marekani wameungana wameshindwa?? Nimewahi kufika Estonia mara 3 yaani ni kanchi kadogo mnoo..Kuhusu maendeleo hapa kwetu sisi sio Masikini shida ni Majizi ndio yanatuchelewesha...Tungekua na uongozi imara hata mikufu na bangili za dhahabu zingeuzwa hapa na sio GOLD SOUK pale Dubai...