Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama nilivyosema,Ugaidi ni dalili mojawapo njia ya jeshi lililozidiwa katika uwanja wa mapambano..
 
Hizi ndizo dalili za mwisho za vita hii,Ukraine inaelekea kuinua bendera nyeupe.
Na hivi vitendo vya kigaidi vitaongezekq kidogo huko ndani ya Urusi lkn vitakomeshwa.
Rejea vita na Chechen.
 
🤦‍♂️ People need to chill for a moment and think this through.


Even if 100k NATO soldiers could be magically transported to Ukraine, they would have: no armor, no air support, no logistics.


It would take at least a year for NATO to assemble a force sufficient to even attempt to do anything meaningful in Ukraine. And they would still get slaughtered.
 
Jamaa wamewahi kujitoa haraka! Vipi mbona haraka na mapema sana??

1)​

US official says its intelligence confirms Islamic State claim​



The US has intelligence confirming Islamic State's claim of responsibility for the attack, an American official has said.


Speaking on condition of anonymity, the official said the US had warned Russia in recent weeks about the possibility of an attack.


"We did warn the Russians appropriately," the official told Reuters.

​

2)​

Kyiv says Ukraine had nothing to do with concert attacks​



Kyiv has said it had nothing to do with the attack at the Crocus concert hall.
Ukrainian presidential adviser Mykhailo Podolyak said:


"Let's be straight about this, Ukraine had absolutely nothing to do with these events.



 
Waacheni wenyewe wafanye uchunguzi, Nani asiyejua Fsb? Ila cpati picha Kama Ufaransa anausika na hili shambulio.
 
Usipime, mkuu. NATO ikiingia rasmi Ukreni, hivyo vita ni balaa kwa pande zote mbili.

Tuombe hayo yote yasitokee. Maridhiano ya amani ndiyo namna pekee ya kuishinda vita na kuinusuru dunia.

Ni wazi kwa yeyote kwamba Urusi imejizuia sana katika operesheni zake Ukreni, licha ya chokochoko na uhasama wa wazi anaofanyiwa na mahasimu wake.

Inatambua fika kwamba wao na Ukreni ni mtu na ndugu ambao wamechonganishwa na kugombanishwa na adui kutoka mbali asiyewatakia mema.

Sasa Urusi afanyeje wakati mdogoe ameshaamua kuungana na adui?

Ndiyo maana Putin anatembeza kichapo kwa masikitiko na huruma kwao akitarajia huenda wataweza kujitambua na kujirudi.

Huu ni uamuzi mzito mno kwa Urusi kwani anaelewa kwamba matokeo yawe chanya au hasi kwa Marekani na washirika wake, wao hawana la kupoteza.

Urusi amepiga hatua kubwa sana ya mafanikio kwenye SMO -- kijeshi, kisiasa, kiuchumi na uhusiano wa mataifa ya nje.

Nchi ya Urusi imeshikamana katika umoja wa kitaifa kuliko wakati wowote wa historia yake ya hivi karibuni.

Kufuatia hilo, mataifa mengi duniani yamepata ujasiri mkubwa na matarajio mema dhidi ya dhulma, uonevu na uburuzaji waliokuwa wakifanyiwa waziwazi na Amerika.

Marekani na washirika wake wasingependa kuona Putin akifanikiwa hivyo, huku wao wakidhalilika.

Ndiyo maana watatumia kila mbinu ili kuzua vurugu na vitendo vya kihalifu na kigaidi kila mahali duniani ili tu kufidia fedheha ya Ukreni.
 
TUKIO LA KIGAIDI RUSSIA
====
Poleni Warussia kwa tukio hili baya lililofanywa na watu wasio na utu. Spiritually, Tupo nanyi kuomboleza kwa ajili ya vifo vilivyotokea. Na Roho za Marehemu zilazwe sehemu ya Amani peponi. Amen.

Tunawaombea pia majeruhi wapone haraka ili waweze kuendelea na shughuli zakao kadri inavyowezékana. Amen
 
UMEANDIKA UKWELI MTUPU ILA NATO HAINA UWEZO WA KUPIGANA VITA NA URUSI MAANA KITAKACHO TOKEA NI KUVUNJIKA KWA NATO raia wa hizo nchi za nato wanasifa moja ya kutokukubali kupigana au kuziunga mkono serikali zao zinapo pigana vita visivyo na tija kwao ...hiyo ndiyo sababu biden kupoteza ushawishi marekani ....pia marekani siyo hodari wa vita tatanishi yaani vita ambavyo nchi yske pia inachapika yeye anaweza kupigana vita vya upande mmoja zaidi kuingia vitani na urusi siyo jambo la mchezo na NATO WANAOGOPA SANA HIYO KITU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…