Wanaosema Isis wamehusika ni Marekani. Haikutosha wakadai Ukraine haihusiki na hili shambulizi.Isis wameshakiri kuhusika, ila Warusi wanailaumu Ukraine kwa kuwa wapo vitani.
Uwezo wako wa kiakili ni mdogo sana kutambua siri za vita ....nato ina maadui wenye nyoyo chafu sana sema awakuwa na support ya super power nyuma yao.. kama vita ikitokea urussi inaweza kupata wanajeshi mamilioni kutoka nchi mbali mbali zenye watu wenye kuchukizwa sana na nato na hao wanajeshi watakuwa na roho chafu sana dhidi ya marekani wewe unafikili nini kitatokea endapo urussi akavamia USA na jeshi la waarabu wenye uchungu na USA ...Unadhani hivyo vita vitakuwa vya kitoto ....wewe jiulize to kwanini nato wanaiogopa korea ya kiduku kuliko urussi ni kwa sababu wanajua kuwa urussi aijavurugwa kiakili hivyo wanaweza kuichokoza kwa sababu ni wavumilivu. Urussi inao uwezo wa kupigana na nato bila hata ya kutumia jeshi lake bali kwa kuwa support maadui wa nato kwa asilimia 100 ....wewe huoni sikuizi kiduku ana furaha sana [emoji16] chunguza utagundua kuwa hakuna miaka ambayo kiduku anayo furaha kama kipindi iki cha mzozo wa urussi na ukrain + nato ...kuna hekima nyuma yake ... NARUDIA TENA NATO WALA USA KAMWEAWAWEZI VITA NA URUSI SEMA URUSI NI WASTARABU TUMkuu, nadhani tukubaliane kutoafikiana.
Vita havina macho. Ndiyo maana hata wanajeshi wanaweza kuwahofu wanamgambo tu, au maaskari wakatimka mbio na kujificha mbele ya majambazi wenye mapanga tu.
Katika karne hii ya 21 hakuna mbabe halisi wa vita.
Yeyote atakayethubutu kupima upepo huo ni mpumbavu, mwehu na adui wa dunia nzima.
Wanaodai eti NATO haina uwezo wa kupigana na Urusi, au Urusi hana uwezo wa kukabiliana na NATO ni watu wa kupuuzwa tu.
Kiongozi yeyote anayetambua wajibu mkubwa wa kulinda uhai duniani, anastahili kupongezwa na kuungwa mkono.
Mashabiki koko wanaotamani ^mvua inyeshe ili tuone panapovuja,^ ni kundi lingine la vichaa wasiojitambua.
Iwapo Marekani, NATO au Urusi au hata China na NK wangeamini vinginevyo, kitambo sana wangeshakinukisha.
Nadhani ubabe halisi duniani ni kujua una silaha na ulinzi bora, lakini ukajizuia kuzitumia ili kuwaangamiza wengine.
Katika hili, Urusi inastahili pongezi kubwa. Si ajabu watu wanajiuliza mengi bila kuwa na majibu dhahiri:
Kwa nini Zelensky angali hai hadi sasa? Kwa ni vita vimechukua muda mrefu kiasi hicho? Kwa nini anawahurumia vile? Kwa nini hajaisambaratisha ngome ya Kiev mara moja?
Bila shaka hiyo ndiyo sababu mojawapo.
Katika vita vya Ukreni vs Urusi, kwa jinsi Ukreni ilivyopondwa, ukimtathmini Zelensky kwa makini au hata baadhi ya washirika wake wa karibu kama Polandi, wanatamani Urusi afanye kosa hilo la ^kurusha jiwe la kwanza^ ili wazame wote.
Lakini imethibitika tena na tena kwamba Putin anajua fika hesabu zao chafu kiasi kwamba mara kwa mara amevunja matarajio yao na kuwapoteza maboya.
Mustakabali wa dunia utakuwaje? Muda wenyewe utaongea.
Tusisahau kwamba Marekani na NATO bado ni mataifa yenye nguvu duniani, na hivyo kuaibishwa vile ni hali inayoweza kuwafanya wachukue maamuzi ya woga ya mfamaji.
Yote kwa yote, Mungu aepushie mbali mauaji ya mamia ya raia wasiokuwa na hatia.
Wewe unataka mrs kp kipanya44 azimie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ukrain na nato kwisha habari yao wewe waache wachokonoe urussi uvumilivu wa urusi ukifika mwisho watajuta maana vitendo hivyo vinafanya warussi wazidi kumuunga mkono putinThe criminals responsible for the Crocus City Hall terrorist attack intended to cross the border between Russia and Ukraine and had contacts on the Ukrainian side, the FSB said.
[emoji16][emoji16][emoji16] ndiyo maana kiduku sikuizi ana furaha sana ...maana akiona mambo kama haya ya kudili na wahuni wa nato kikatili lazima anawaonyesha na askari wake video kama hizi .....kiduku siku hizi ana furaha haswa [emoji23][emoji23][emoji23]Da Hawa Akhmat ni Kauzu balaa Baada ya Kumkamata Mmoja wa Shambulizi Amekatwa Sikio na Kuambiwa Alile Live!!
View attachment 2942743
Huenda wakapelekwa Black Dolphin Federal Penitentiary. Hatari sana hili gerezaVladimir anaongea:
🇺🇦🇷🇺🚨‼️Putin said “all the perpetrators of the terrorist attacks have been found and detained. They tried to hide on the territory of Ukraine. A window was prepared at the border to enter the territory of Ukraine.”
Hili wengi wetu tulitarajia kutokea. Hata Ukraine yenyewe ilijua lazima ilaumiwe kwa namna yoyote ile baada ya hayo mashambulizi.Isis wameshakiri kuhusika, ila Warusi wanailaumu Ukraine kwa kuwa wapo vitani.
Nami nimejiuliza vilevile swali hili.Wanaosema Isis wamehusika ni Marekani. Haikutosha wakadai Ukraine haihusiki na hili shambulizi.
Baada ya hapo Isis ndiyo tangazo lao limetoka. Na footage iliyotolewa na Isis ni ya muda ambayo wafuatiliaji wanasema tayari Isis walishaiacha.
Hata kama hayo maelezo yakiwa si ya kweli, swali muhimu ni kwamba; baada ya kufanya ugaidi kwa nini wakimbilie Ukraine? Kwa nini? Hili ni swali muhimu sana.
Imeshindwa vita kwa muktadha upi?Ila chukulia hadi sasa Ukraine imeshindwa vita.
Lel say it's true kua ni ISIS responsible kwa hilo... but... Do you know who created ISIS? Do you know who is training ISIS? Do you know who is sponsoring ISIS? Do you know who is "covering" ISIS when they are under attack? Lel say again hufaham yote hayo.Isis wameshakiri kuhusika, ila Warusi wanailaumu Ukraine kwa kuwa wapo vitani.
Mahali wanapokimbila sio issue. Suala la msingi ni mahali walikotoka kabla ya tukio la ugaidi kufanyika.Wanaosema Isis wamehusika ni Marekani. Haikutosha wakadai Ukraine haihusiki na hili shambulizi.
Baada ya hapo Isis ndiyo tangazo lao limetoka. Na footage iliyotolewa na Isis ni ya muda ambayo wafuatiliaji wanasema tayari Isis walishaiacha.
Hata kama hayo maelezo yakiwa si ya kweli, swali muhimu ni kwamba; baada ya kufanya ugaidi kwa nini wakimbilie Ukraine? Kwa nini? Hili ni swali muhimu sana.
Lakini Hawa jamaa si wanamtumia Satellite, inawadanganya...?Mahali wanapokimbila sio issue. Suala la msingi ni mahali walikotoka kabla ya tukio la ugaidi kufanyika.
Magaidi wanaweza kukimbilia sehemu yoyote ile yenye upenyo mara baada ya tukio lao kufanikiwa. Tena kama ni wajanja sana, huwa hawakimbilii kambini ama kwenye makazi yao mpaka wahakikishe usalama upo.
Gaidi anaweza kukimbilia hata hospitali ama shuleni akajificha humo. Baadaye hali ikitulia ndipo anatafuta njia ya kurejea kwao.
Naunga mkono hojaISIS waache kujitekenya
View attachment 2942841
Matumizi ya satellite kwenye masuala ya ugaidi yana mipaka.Lakini Hawa jamaa si wanamtumia Satellite, inawadanganya...?
Hadi Mimi nasubiria hii2001 baada ya New York kushambuliwa, kauli ya Bush kwa dunia ilikuwa "you are either with us or against us".
Nasubiri kauli ya Putin baada ya shambulizi hili.
Kwa hiyo kwa Sasa Ukraine ndiyo hospitali ama shule sehemu iliyotulia?Gaidi anaweza kukimbilia hata hospitali ama shuleni akajificha humo