Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wasiwasi bado unaendelea huko!!

​

Kyiv worries Putin will exploit the bloodshed in Moscow to escalate his war in Ukraine​



As Russia reels from a devastating attack at a concert hall, Kyiv is worried Vladimir Putin will exploit the bloodshed to escalate his war in Ukraine regardless of who is to blame.



In the swirl of confusion and terror, speculation also grew that the gunmen who carried out the mass shooting may have been linked to the Ukraine war, such as a so-called "false flag" operation by Russia that it could pin on Kyiv to garner more domestic support.


Hii ndio tunaita mavi yanagonga chupi na kurudi 😂😂 hili suala litawakosesha usingizi sana
 
Screenshot_20240323-223343_Chrome.jpg
 
Kwa nini umwamini Trump, ila wanasiasa wengine usiwaamini?
Unaeza kurejea ku-qoute sehem ambayo nimesema I trust trump kwenye maelezo yangu? Na kama haipo kwanini useme namuamini Trump wengine siwaamini.

Understand the context kwanza utaelewa namaanisha nini na kile nimekisema baada ya kum-qoute Trump alichowahi kukisema miaka 7 iliyopita ndio nilichokimaanisha. Sikutaka kufanya kuchukua maneno ya Putin au kwingineko ingeonekana ni side mbili ambazo zinapishana anything ill can be said. That's why nika opt kwa huyo zombie.

The point was to pique the curiosity of a friend I was talking to. The US is claiming to fight ISIS, yet someone from there is claiming ISIS was created by themselves. That contradiction is enough for a will-minded man to seek the truth rather than choose a side to blindly believe.
 
Suala la msingi siyo mahali walikotoka, bali nani aliyewatuma na kuwafadhili ili kutekeleza shambulio hilo la kinyama, au iwapo wamejituma wenyewe.

Mtu anaweza kutokea Tanzania, ila akapewa misheni ya kwenda kupiga tukio Mosko.

Hiyo haina maana kwamba Tanzania inahusika moja kwa moja na mauaji hayo.

Kuhusu hao magaidi, taarifa za awali zinasema kwamba huko Ukreni walikuwepo mawasiliani wao (watu waliokuwa wakiwasiliana nao ili kuwaficha).

Pili, kuna fununu kwamba maafisa usalama wa Ukreni ndio waliwachorea ramani nzima ya kutekeleza tukio, na ndio waliwapa silaha.

Haohao wakaratibu mipango ya kuwatoroshea huko walikokuwa wakienda kabla ya kunaswa.

Inavyoonekana pia upande wa Ukreni ulikuwa umeandaa njia za uchochoro ili kutokomea mpakani.

NB: Kuratibu tukio kubwa kama hilo huhitaji mipango kabambe kusukwa, na bila shaka adui wake mkubwa ndiye mtuhumiwa namba moja.
Huyo aliyewatuma na kuwafadhili amefanya hivyo akiwa wapi na yuko wapi kwa sasa?

Kumjua aliyewatuma pekee haitoshi.

Baadhi ya wahusika wa ugaidi huwa wanatangaza hadharani kuhusika na ugaidi na uthibitisho wanatoa. Wana social media zao na wanafanya press conference kuhusiana na matukio wanayofanya.

Ndio maana nasema kumjua aliyewatuma pia sio suala la msingi sana. Kufahamu eneo mahususi anakotoka ama alipo hivi sasa ni karata nzuri zaidi ya kiintelijensia.

Mpaka sasa hakuna majibu isipokuwa ni fununu tu kama ambavyo wewe mwenyewe umesema. Fununu.
 
Jamaa ameanza kuamka

🇷🇺⚡The President of the Russian Federation, Vladimir Putin has now passed a law exempting the Russian Forces from criminal liability during special operations.

I'm not sure if this is in response to the Moscow terrorist getting his ears cut off and fed to him by an officer.


20240323_223740.jpg
 
Hiyo imetokea hata Marekani au UK na Ufaransa magaidi wameshambulia kumbi na umati wa watu.

Kwa nchi hizi kubwa huwezi kuzuia kila kitu hata kama una best intelligence agents", iwe FBI, MI5 au FSB maana hii ni shughuli ilotokea ndani ya Russia.

West na Marekani watataka kutumia mwanya huu kuongelea sana udhaifu wa vyombo vya usalama vya Russia lakini wakisahau kuwa na makwao hali hii hutokea khasa Marekani ambako hata watoto wa shule tu nao hushambulia wenzao mashuleni.

Ni lazima FSB wawe "exhausted" kwani wapo kushughulika vitani hivyo "resources" zote muhimu kuhamishiwa kwenye uchaguzi, matokeo ya kifo cha Navalyn na operesheni nyingi tu ambazo zingine ni za siri sana.

Hivyo katika hali kama hiyo na ukichanganya na vita majasusi pinzani huweza kutumia mwanya huo kusababisha madhara kama haya yalotokea.

Marekani na West wana info zote na ninaamini "behind the scenes" waongea na Russia kumwomba asikasirike sana maana madhara yanokuja ni makubwa sana.
 
Hawa ISIS ni decoy Tu , watu wapo kwenye racket zao , hawa ISIS ni disguise ya CIA , MI6 na Mossad kufanya uhuni wao , hawa ISIS ndio tuliambiwa walishambulia Iran na kuua mamia ya watu Kwa suicide bombs siku si nyingi nyuma hapo ,
Swali la kujiuliza why sasa ?
Na ni kwanini wanatarget adui wa nchi za magharibi tu ?


Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Huyo aliyewatuma na kuwafadhili amefanya hivyo akiwa wapi na yuko wapi kwa sasa?

Kumjua aliyewatuma pekee haitoshi.

Baadhi ya wahusika wa ugaidi huwa wanatangaza hadharani kuhusika na ugaidi na uthibitisho wanatoa. Wana social media zao na wanafanya press conference kuhusiana na matukio wanayofanya.

Ndio maana nasema kumjua aliyewatuma pia sio suala la msingi sana. Kufahamu eneo mahususi anakotoka ama alipo hivi sasa ni karata nzuri zaidi ya kiintelijensia.

Mpaka sasa hakuna majibu isipokuwa ni fununu tu kama ambavyo wewe mwenyewe umesema. Fununu.
Unaposema fununu kwani hujui Mfadhili wa makundi ya kigaidi na kwanini yalianzishwa,au bado waamini kuwa ni waislam wenye itikadi Kali na je dhamira yao ilikuwa ni Nini hilo umejiuliza kingine katika Uislam haujaelekeza kwenda kuua nama walivyofanya Kwa misingi ya kidini,kisiasa au kijamii.
 
Kwa maana kwamba silaha zimepungua kwa kasi kubwa na pia Ukraine imeondoa majeshi yake frontline.

Pia Russia yazidi kuchukua maeneo.
Hilo la "kuchukua maeneo" nimemjibu mdau huko nyuma ambaye naye alisema hivyo.

Ukraine imeshakomboa maeneo kadhaa yaliyokuwa yakidhibitiwa na Urusi mara tu baada ya ule uvamizi kamili wa 2022. Eneo linalodhibitiwa na Urusi hivi sasa ni dogo kuliko lile ambalo Urusi ilikuwa ikilidhibiti miezi ya mwanzoni mwa uvamizi mwaka 2022.

Silaha zimekuwa zikipungua pande zote.

So far, pande zote zimekuwa zikipokea misaada ya silaha kutoka nje. Hata hivyo Ukraine mpaka hivi sasa inazalisha kwa kasi baadhi ya silaha zake zikiwemo suicide drones. Tumeona jinsi zinavyoleta maafa kwenye vituo vya kusafishia mafuta maeneo mbalimbali ndani ya Urusi. Which means, malengo ya kile kinachoitwa "special military operation" bado hayajafanikiwa.
 
Unaposema fununu kwani hujui Mfadhili wa makundi ya kigaidi na kwanini yalianzishwa,au bado waamini kuwa ni waislam wenye itikadi Kali na je dhamira yao ilikuwa ni Nini hilo umejiuliza kingine katika Uislam haujaelekeza kwenda kuua nama walivyofanya Kwa misingi ya kidini,kisiasa au kijamii.
Umechanganya makabrasha.
 
Kuna watu walikuwa wakiambiwa humu kwamba URUSI inamlea Zelensky kama mtoto,na kwamba URUSI Ina uwezo wakuimaliza Ukraine within a short time wakawa wanabisha.👇👇👇
Ukraine and the west are extremely worried about Russian response to the Moscow massacar. The truth is Russia has been handling Ukraine with kid gloves. Like it or not, Russia has 100 times more killing ability and power than it has used on Ukraine.

I'll sum it up this way, Russia has viewed the situation in Ukraine 🇺🇦 thus far as a pest control problem, the pest being western owned Zelensky and his army of Nazis still loyal to Bandera. When dealing with a pest you do not burn the entire house down, you flush out the pest and remove them while doing all you can to maintain the home.

The west is worried that Russia will not hold back for long if escalations like the Moscow massacar take place. It does not take Russia two years to destroy Ukraine because Russia does not seek to destroy Ukraine, if it did then in two weeks flat Ukraine would be nothing more than a history lesson eastern European kids learned about because it would be a crater in the earth.

This plan may be more than Russia understands however, I fear this attack on Moscow has a multi-layered goal.

1. To kill innocent Russians, and install fear in the Russian people, to have them put pressure on Putin to stop the SMO because they do not feel safe.
2. To instigate Russia to go harder on Ukraine so that the west can use Ukraine as a sob story to gain support and justification to intervine.
3. To blame ISIS on behalf of Israel so that the west can once again get the uniformed public to hate Muslims once again because the western media and leaders know that western people do not differentiate one Muslim from the next, western people see ISIS, Taliban, normal Muslims, etc as all the same, violent terrorist.

In this way they can also use the Moscow attack to say, "You see, you see what the Muslims do, we must let Israel 🇮🇱 commit genocide and stop this, and we must help them!"

I pray Russia understands the intricacies involved here and proceeds calmly and carefully, this is more than a simply attack by a desperate Ukraine 🇺🇦, mark my words.
#UkraineRussianWar #ukraine #russia #Zelensky #putin #nato #BRICS #china #india #africa #Trump #biden #EU #IsraeliCrimes #Palestine #Israel #PalestineUnderAttack #Palestina #Gazagenocide #gaza #tuckercarlson #MoscowAttack #Moscu #moscow
20240324_074015.jpg
 
Hilo la "kuchukua maeneo" nimemjibu mdau huko nyuma ambaye naye alisema hivyo.

Ukraine imeshakomboa maeneo kadhaa yaliyokuwa yakidhibitiwa na Urusi mara tu baada ya ule uvamizi kamili wa 2022. Eneo linalodhibitiwa na Urusi hivi sasa ni dogo kuliko lile ambalo Urusi ilikuwa ikilidhibiti miezi ya mwanzoni mwa uvamizi mwaka 2022.

Silaha zimekuwa zikipungua pande zote.

So far, pande zote zimekuwa zikipokea misaada ya silaha kutoka nje. Hata hivyo Ukraine mpaka hivi sasa inazalisha kwa kasi baadhi ya silaha zake zikiwemo suicide drones. Tumeona jinsi zinavyoleta maafa kwenye vituo vya kusafishia mafuta maeneo mbalimbali ndani ya Urusi. Which means, malengo ya kile kinachoitwa "special military operation" bado hayajafanikiwa.
Eti URUSI inapungukiwa silaha? Kumbe humu Kuna vichwa maji!
 
Back
Top Bottom