Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Naona lengo la Urusi lilikuwa kuutanua mgogoro! Je, kweli hawakufahamu licha ya kupewa taarifa za kijasusi?? Haya mataifa makubwa huwa na mambo yao!

Poland activates military aircraft after attacks on western Ukraine​



Russia has launched air strikes on Kyiv and the western Ukrainian region of Lviv.

The attack on western Ukraine, with missiles flying close to Poland, prompted Polish armed forces to "activate aircraft" to ensure the safety of airspace near its border.


 
Hilo la "kuchukua maeneo" nimemjibu mdau huko nyuma ambaye naye alisema hivyo.

Ukraine imeshakomboa maeneo kadhaa yaliyokuwa yakidhibitiwa na Urusi mara tu baada ya ule uvamizi kamili wa 2022. Eneo linalodhibitiwa na Urusi hivi sasa ni dogo kuliko lile ambalo Urusi ilikuwa ikilidhibiti miezi ya mwanzoni mwa uvamizi mwaka 2022.

Silaha zimekuwa zikipungua pande zote.

So far, pande zote zimekuwa zikipokea misaada ya silaha kutoka nje. Hata hivyo Ukraine mpaka hivi sasa inazalisha kwa kasi baadhi ya silaha zake zikiwemo suicide drones. Tumeona jinsi zinavyoleta maafa kwenye vituo vya kusafishia mafuta maeneo mbalimbali ndani ya Urusi. Which means, malengo ya kile kinachoitwa "special military operation" bado hayajafanikiwa.
Maelezo mengi sana alafu uongo tu.

Tuambie ni maeneo(umesema maeneo kadhaa) gani Ukraine kayakomboa toka kwa Russia.
 
Tonight’s attacks by Russia on Stryi, south of Lvov, are most likely related to the deployment of F-16 fighters. The Stryi airfield has been extensively upgraded recently to accommodate the F-16 and related logistics., and the nearby rail-yard provides the most efficient means of transportation from Poland. The decision by Russia to carry out such a massive strike on one location indicates that Russian intelligence had very specific information regarding the arrival of F-16 fighters and associated equipment/infrastructure. Anyone who thought the F-16 would be a game changer for Ukraine might want to rethink their position.
Right,


20240324_095108.jpg
 
Medvedev is currently deputy chair of the National Security Council. In a Telegram post on Friday evening, he sent condolences to the families of those killed and encouragement to the relatives of the wounded.

“Terrorists understand only terror in response. No trials or investigations will help if force is not countered with force, and deaths with executions of terrorists and a crackdown on their families,” he wrote, noting this was “the way of the world.”

“If these terrorists turn out to be the Kiev regime, we can’t deal with them and their ideological inspirers differently. All of them must be found and mercilessly destroyed as terrorists – including officials of the state that committed such an atrocity,”
he added.
 
Hilo la "kuchukua maeneo" nimemjibu mdau huko nyuma ambaye naye alisema hivyo.

Ukraine imeshakomboa maeneo kadhaa yaliyokuwa yakidhibitiwa na Urusi mara tu baada ya ule uvamizi kamili wa 2022. Eneo linalodhibitiwa na Urusi hivi sasa ni dogo kuliko lile ambalo Urusi ilikuwa ikilidhibiti miezi ya mwanzoni mwa uvamizi mwaka 2022.

Silaha zimekuwa zikipungua pande zote.

So far, pande zote zimekuwa zikipokea misaada ya silaha kutoka nje. Hata hivyo Ukraine mpaka hivi sasa inazalisha kwa kasi baadhi ya silaha zake zikiwemo suicide drones. Tumeona jinsi zinavyoleta maafa kwenye vituo vya kusafishia mafuta maeneo mbalimbali ndani ya Urusi. Which means, malengo ya kile kinachoitwa "special military operation" bado hayajafanikiwa.
So Russia ndo looser mpaka sasa.

Daah we jamaa wewe!

Russia anasaidiwa silaha na nani?

Nani ameharibu nchi ya mwenzake mapaka sasa?

Maeneo gani yamekombolewa na ukraine ?

😀🙌🙌😂
 
“If these terrorists turn out to be the Kiev regime, we can’t deal with them and their ideological inspirers differently. All of them must be found and mercilessly destroyed as terrorists – including officials of the state that committed such an atrocity,” he added.
I concur with Medvedev.
 
Jamaa wamepiga sehemu muhimu huko!

Russian airstrike hits 'critical infrastructure' in Lviv​


A Russian air strike has hit critical infrastructure in the western Ukrainian region of Lviv, local governor Maksym Kozytskyi has said.


"There were two preliminary hits to the same critical infrastructure facility that the occupiers targeted at night," Mr Kozytskyi said on Telegram.


As we reported below, Russia attacked both Lviv and the capital, Kyiv, with 57 missiles and drones early on Sunday, officials said.


 


Kuna aina ya Mifumo ni rahisi sana kutengeneza Viongozi wa asili wa kuzaliwa. Sisi ya Kwetu inatengeneza CHAWA kiasili. Bwana Mdogo anatambua ni wajibu wake, Huu ni Uanaume, Kiongozi kwa kuzaliwa bila kuuza UTU.
 
Sikujua katika maisha yangu kama itakuja kutokea siku moja Pro west na west wakawafurahia magaidi.
Lakini Leo nimeshuhudia mwenyewe.
Dunia inakwenda kwa Kasi mno.
Hata wakati Al-qaida anapambana na wasoviet Afghanistan Marekani alitoa misaada mingi kwa hao waliokuja kuitwa magaidi.

It's all about their interests and mood.
 
Hata wakati Al-qaida anapambana na wasoviet Afghanistan Marekani alitoa misaada mingi kwa hao waliokuja kuitwa magaidi.

It's all about their interests and mood.
Enzi hizo Al Qaida haikuwepo Bali waliitwa Mujahideen.

Yes walipokea misaada na kushangiliwa kama National hero wa Afghanistan kule Ulaya Magharibi.
 
Back
Top Bottom