Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

2001 baada ya New York kushambuliwa, kauli ya Bush kwa dunia ilikuwa "you are either with us or against us".

Nasubiri kauli ya Putin baada ya shambulizi hili.
Hili shambulizi limemtia fedheha kiaina ndio maana ukimya umetawala Kremlin
 
The United States strongly condemns the Crocus attack, Blinken said.According to him,Washington condemns terrorism in all its forms and manifestations and sympathizes with the Russians after the attack on Crocus
USA sijui kama kwa kauli hii atasema kama alivyosema kwa israel
........urusi ina haki ya kufuata gaidi hadi kiev
 
kama ni kweli basi Russia hapa alicheza chess
β€œTerrorists were moving towards Ukraine” - Putin
Your browser is not able to display this video.

I'm sure that it was easy for Russia's FSS to arrest or kill all those terrorists in Moscow but they played with them to show the world that they are not just random Tajiks...
 
Kwa hiyo kwa Sasa Ukraine ndiyo hospitali ama shule sehemu iliyotulia?
===
Kazi mnayo.
"Sehemu iliyotulia" ni suala la mtazamo. Wewe ukiona mahali hapafai, mtu mwingine anaweza kupaona panafaa kuanzisha makazi mapya.

Zingatia context ya hoja yangu.
 
Unajuaje kama Trump hakuwa akieneza propaganda zake ili kujinenepesha kisiasa?

Kwa nini umwamini Trump, ila wanasiasa wengine usiwaamini?

Je, unaweza kuthibitisha zaidi kwamba Obama na Hillary ndio waanzilishi wa ISIS, mbali na maneno ya Trump?
 
Suala la msingi ni mahali walikotoka kabla ya tukio la ugaidi kufanyika.
Suala la msingi siyo mahali walikotoka, bali nani aliyewatuma na kuwafadhili ili kutekeleza shambulio hilo la kinyama, au iwapo wamejituma wenyewe.

Mtu anaweza kutokea Tanzania, ila akapewa misheni ya kwenda kupiga tukio Mosko.

Hiyo haina maana kwamba Tanzania inahusika moja kwa moja na mauaji hayo.

Kuhusu hao magaidi, taarifa za awali zinasema kwamba huko Ukreni walikuwepo mawasiliani wao (watu waliokuwa wakiwasiliana nao ili kuwaficha).

Pili, kuna fununu kwamba maafisa usalama wa Ukreni ndio waliwachorea ramani nzima ya kutekeleza tukio, na ndio waliwapa silaha.

Haohao wakaratibu mipango ya kuwatoroshea huko walikokuwa wakienda kabla ya kunaswa.

Inavyoonekana pia upande wa Ukreni ulikuwa umeandaa njia za uchochoro ili kutokomea mpakani.

NB: Kuratibu tukio kubwa kama hilo huhitaji mipango kabambe kusukwa, na bila shaka adui wake mkubwa ndiye mtuhumiwa namba moja.
 


Yaani hawa kazi wanayo.

Warusi watawatibu na watahakikisha mpaka wapone wale washibe vizuri halafu kazi sasa inaanza mpaka utasema tu ramani yote.
 
The timing may not quite match, but other details do tally closely with events on 22 March. It seems clear Washington had some kind of intelligence and that it related to Islamic State (IS) - the group that has issued a statement saying it was behind the Moscow attack.
===

BBC wanajaribu kufanya spinning waliyotumwa kuwa Ukraine haiusiki. Bahati nzuri, tayari ushahidi umeletwa hapa, ambapo muuaji aliyekamatwa Rustam Azhiyev ni Mwanajeshi wa Ukraine na ameshiriki kupambana na Russia SMO kuanzia 2022.
 
πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί
 

Attachments

  • IMG_20240323_220522.jpg
    304.3 KB · Views: 17
Wanajua ilibainika ni wao watakula kipigo Cha mbwa koko. Si umewasikia warusi walivyosema πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umeshaambiwa hata wakiingia Kwa miuniza watachapika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…