Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kufahamu aliewatuma ndio kufahamu chanzo cha tatizo

Kwanini wewe unakwepesha kua kufahamu aliewatuma sio suala la msingi??

When solving problems,dig at the roots instead of just hacking at the leaves

Halafu nyie Pro marekani sijui hua mnawaza Kwa kutumia kitu gani
 

Mateso yanaendelea Moja ya Gaidi limevuliwa Ngua Na Kuwekewa Waya Kwenye Dudu Olo kisha Kwenye Mashine Maalumu najua Hapa Kasema Kila Aina ya Ukweli na Uongo hapa Atataja Hadi Dhambi Za Shetani View attachment 2943697
Duuuuh hawa Russia ni wanyama...

Hivi hawaogopi moto wa ? UN.....human rights [emoji23][emoji23]
 
Hivo idadi ya hao askari wanaouliwa wanaipataje!?
Askari 900+ kuuliwa kwa siku sio mchezo aisee, hao ni askari wengi sana!
Russia anabondwa hivi na Putin anakaa kimya tu, kweli Russia ni Simba wa karatasi.
Angalia chanzo cha habari Ni Ukraine wenyewe, hapo ujue Ni full propaganda na kuwajengea morali wanajeshi, but in reality hali siyo hivyo. Kiufupi Ni fake data za waukraine.
 
Jana naona walipata ahueni kidogo,ni takriban mia sita na arobain tu walilambishwa mchanga 🥱🥱
 
Tunakukumbusha tu Incase ikiwa umesahau.

Bado kilomita moja, Warusi waingie Chasiv yar
Huyu kp kipanya44 huyu!

Kuna siku huko mbeleni, hivi vita vitakuwa vimeisha na amani imetawala, lakini utakuta meseji zake sasa:

^Naam, ni Warusi zaidi mia 900 wamelambishwa mchanga!^

Kama hana tatizo la kiakili, basi atakuwa ni roboti mbovu iliyovurugika programu zake baada ya kudukuliwa.
 
Maskini Urusi, wanapigwa na magaidi ya kiislamu kule, huku wanapigwa na Ukraine.....

A fire broke out at a transformer substation at the Novocherkasskaya GRES thermal power plant in Russia on the night of 24-25 March. Two power units at the plant have been temporarily taken out of operation.

Source: Vasily Golubev, the governor of Rostov Oblast in Russia; Eto Rostov ("This is Rostov"), a local Telegram channel

Details: A large power plant in Russia’s south has presumably been attacked by drones.

Local residents reported hearing at least ten drones flying over Rostov Oblast.

Then explosions were heard in the area of the Novocherkasskaya GRES thermal power plant.
 
Sasa wewe unafikiri nini ma IT wakisha mdukua mtu tigo ...unategemea medura abrongata itakuwa sawa kichwani
 
Droni kwenye vituo vya umeme hakuna effect yoyote kubwa labda vituo vya kuzalishaumeme wa gesi nk ambayo hiyo gesi inaweza kulipuka
 
Kakojoe Kwenye Kopo Kibera Ukalale
Mengine Yakupite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…