Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Pia kinachonifurahisha sana ni kuona USA ilihurumia Urusi kua itapigwa na magaidi,lakini haiihurumii kwa kupeleka silaha Kwa Ukraine ili kuipiga Urusi.
USA anaihurumia Ukraine iliyovamiwa kwa kuwapa silaha ili watetee nchi yao.


Kinachonifurahisha ugaidi unaotaka kufanyika Urusi USA hua wa kwanza kujua na kujitia kutoa taarifa.
Lakini sijui intelijensia ya USA ililua wapi wakati Hamas wanataka kushambulia kwa mtoto mpendwa Israel.
USA ana macho makubwa yanayoona mbali ndio maana aliwapa Warusi taarifa ila walizipuuza.

Hata mwanzo aliwapa Ukraine taarifa watavamiwa na Urusi japo Putin alikanusha ila baadae alivamia kweli
 
Yaani wanabomoa daraja wanampa ushindi Assange wanadhani ndiyo uchunguzi wa kujua nani hasa aliamuru uharamia ndiyo utakoma? Kwa taarifa yako ni hivi, soma hapa chini
===
Plans are underway for the construction of a Russian military base in the Central African Republic (CAR), which has endured decades of violence and instability, Aleksandr Bikantov, Moscow’s ambassador to the country, has said.

The defense ministries of Moscow and Bangui have begun discussing a location for the army facility, Bikantov told TASS news agency in an interview published on Tuesday, without specifying when this will be completed.

The diplomat stated in January that around 1,890 Russian instructors, including military specialists of various profiles, were in the CAR to train the national police and soldiers, with the authorities requesting that the number be increased.
 
Hao DW wame quote nusu, ili kutengeneza hoja, Putin na Russia kwa ufupi wamesema

1. Isis wana attack maadui wa Usa tu
2. Walio attack ni Islamist ila wao wanataka huyo aliewatuma islamist
3. Watawaua wote walio husika hadi walio watuma.
Kuna ISIS Levant kuna ISIS Khorasan na kuna ISIS za huko Sahel Magharibi.

ISIS wote kwa ujumla Wanaua Waisilamu Wanaua Wakristo Wanaua Mabudha wanaua Wayahudi wanaua Watu wasio na Dini wanaua Wapagani wanaua Mashinto wanaua Wahindu.
 
Sifurahishwi na ugaidi ila Putin alijifanya kushobokea waislamu, haya ndio sasa wanamlipa, huwa hamuachi asili yenu....
Ni nani amesema shambulio la crocus limefanywa na magaidi wa kiislamu??

Kwanini husemi shambulio Hilo limeratibiwa na kufanywa na magaidi wa ulaya na marekani (WAKRISTO)

Hivi huu uongo wa ugaidi bado mnaendelea kuutumia tu hamuoni kua tayari umeshawavua nguo??

Jitafakari wewe MKRISTO wa chato
 
Usiwe unanihusisha na dini zenu za Waislamu au Wakristo,Mimi siko kwenye hizo dini nasali dini ya Asili kama Yericko Nyerere lakini Mungu namtambua kabisa.
Duuuh, MUNGU wako ni yule wa kwenye mapango ya amboni??😀😀
 
Hapa wamarekani wa chato na kaliua hawatakubaliana na wewe😀😀😀
 
Tuombe Mungu, kuna kitu kikubwa kinaendelea nyuma ya pazia! Kwa nini wanaendelea na msisitizo??

​

Britain, US and Ukraine possibly behind Moscow concert hall attack, Russia's FSB chief says​


Russia's FSB chief Alexander Bortnikov has suggested Britain, the US and Ukraine could have been behind the Moscow concert hall attack which killed more than 130 people on Friday.


According to our team in Russia, he was asked if the US, Britain and Ukraine were behind the attack and he said: "It's possible, I think so."


 
Dunia inaenda kwa Kasi sana.
Katika maisha yangu sikuwahi kama kama west watakuja kufanya ugaidi.

Pia sikuwahi kufikiri kama west na Pro west watakuja kua mashabiki wa ugaidi.lkn kwa sababu gaidi anapiga Urusi Leo west na Pro west wameshabikia ugaidi

Hebu fikiria nani alielipua Nord streamII?

Hebu fikiria kama kungekua na ushahidi kua Nord stream II imelipuliwa na Iran,au Syria,au Korea kaskazini au urusi vipi vyombo vya habari huko west kungekuaje?

Lakini Leo west na intelijensia yote kujifanya waliipa taarifa Urusi kua magaidi wataua watu Moscow lakini wameshindwa kuwatambua watu waliolipua Nord stream II.
Hiki ni kichekesho Cha Karne.

Maana hapa licha ya kuwatambua TU waliolipua Nord stream II,bali USA Kwa intelligensia yake kubwa walitakiwa kuzipa taarifa kabla ujerumani,Urusi na EU,lakini hapa intelijensia ilikua imelala usingizi wa pono.
hiki nacho ni kichekesho Cha Karne.

Intelijensia ya USA inaonaga TU Urusi ikitaka kushambuliwa na magaidi.

Dunia imejaa maigizo hii ni hatari.
Huwezi kuniambia kinyume na Imani yangu kua ISIS ni kikosi Cha kigaidi Cha USA.
 
Wanaua wote kasoro Usa na Israel, Israel wanawaomba hadi msamaha.
ISIS imeua Waandishi wa Habari kwa kuwachinja kule Syria mara kadha ISIS inaua kila Mtu kasoro ISIS wenzao wanaofuata Madhehebu ya Kisalafi na Kiwahabi.

James Foley ni Mwandishi wa Habari wa Kimarekani aliuwawa kwa kuchinjwa na ISIS huko Syria kaskazini.

Iko list kubwa ya Wamarekani na Wayahudi waliochinjwa na ISIS labda uwe na Ugonjwa wa kusahau tu ndio utanena ulichonena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…